Its about time Dr Slaa ajiuzulu awe tuu mshauri wa Chama...70 na bado anangangania...dang!....Uroho wa madaraka alafu mnasema CHADEMA MNATAKA CHANGE!!!....You say whaaat?...BS
hahahahaha This guy is not serious!....nimesoma mwanzo nikaona ana make sense lakini as anavyozidi kutiririka nimeona sasa ana issue binafsi....
1 issue ya kupiga picha na viongozi...what does this has to do with dual citizenship jamani eeh...
2-Kama unataka kutoa point kuhusu how to go about...
Bullshit Nyani ngabu Seriously?....yoo Wewe Hapo Nyani Ngabu ndiyo umeuliza swali kuhusu URAIA WAKE na ndiyo maana nimekujibu....lile swali lako lilikuwa kama linaonyesha kuwa unataka tuu kumchafulia au unataka watu walete debate and discuss about Nathan na siyo kuhus Mada ya hii topic...I am...
Hahaha atashangaa yatatokea kama ya Richard na Tatiyana...Bahati ya mwenzako usiilalie mlango wazi....The guy is smart but he is very very controlling and insecure....I hate a man who is insecure ina maana hana confidence
Its true asipotoka this week Feza akatambike but there is possibility kuwa anatoka on sunday yeye pamoja na bwana wake...Feza alianza vizuri sana i don't know what went wrong...i like the other girl Dillish that girl is smart anajua amekwenda pale kutafuta nini na siyo kuendekeza mapenzi...Feza...
I second that...Its a reality show...Big brother hakutakiwa kumpa Nando strike kwa kugombana ila angempe strike kwa kubeba sharp object....that si dengerous to himself and others...lakini meaning of reality show ni kuonyesha maisha yako...so kugombana ni kitu cha kawaida kabisa......This Big...
True!True...event happened on Friday Big Brother brought it up on sunday that is so lame!...Nando was a threat they knew dude would have won.....the show is staged!...fake fake fakeeeeeeeeeeeee
North Korea threatened to attack South Korea if the activist proceeded by sending leaflets with a plan to criticize the North Korean regime. South Koreas military said that they are ready to retaliate if necessary. In South Korea, the presidential election is coming up in December but they...
Eid ilikuwa very alright!...I cooked at once and i am very proud of myself the food was great..Namshukuru Mungu kwani hakuna mtu aliyepiga simu kuwa anaumwa na tumbo mpaka sasa hivi....
How about you!???????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.