Search results

  1. M

    UNESCO yakubali Uranium kuchimbwa Selous, Tanzania

    Ni jambo jema endapo tu! tutafanya shughuli hizo za uchimbaji kwa namna ambayo hatutaathiri mazingira yanayolizunguka eneo la uchimbaji,na ukizingatia mgodi huo utakuwa karibu sana (with sharp boundary) na hifadhi hiyo ya selou ni rahisi sana kuathiri bayonuai/biodiversity katika hifadhi hiyo...
  2. M

    Chama kipya chasajiliwa Tanzania

    Hao hawana lolote!! wanataka kuwapotezea watu station/hot topic zinazojadiliwa saizi na vyombo vya habari na umma wa watanzania.....then watu wabadili topic,hatudanganyiki!!!
  3. M

    Kauli ya Nape Juu ya Arusha na Tafsiri Yangu

    Tuko pamoja, ila haya ni matumizi mabaya ya jina YESU, utakumbuka kuwa waliotengeneza meli ya titanic waliapa kuwa hata Mungu hawezi kuiangusha, kilichowakuta wanakijua wao wenyewe. Tayari aliyeiweka cdm arusha mjini ni Mungu, na agano lake litabakia palepale, au sio! Mungu atusamehe.
  4. M

    Elimu ya Godbless Lema utata mtupu

    Wewe! elimu ya Lema inahusu nini kwa sasa, hawezi kuongoza?? elimu yenyewe inayouliziwa hapa ni formal, aliyekwambia kuwa elimu ni formal tu ni nani? kwa taarifa unaweza ukawa na cheti chako cha formal education na usiweze kuongoza. Wakati mwingine unaweza kumkuta mtu ana cheti na hajui hata...
  5. M

    UKIGUNDUA unasalitiwa utafanyaje?

    Only two things involve: msamehe au achana naye, na hamna jambo lolote linaloweza badilisha kilichoishatokea....lakini pia hii inaweza kumtokea mtu yeyote kwani sio wote wanaolewa au kuoa watu ambao ni wa ndoto zao (woman/man of your dream)...kwa hiyo it is very possible kwa mtu akiwa ndani ya...
  6. M

    Baraza la Taifa la Katiba Tanzania linahitajika haraka sana !!!!???

    Pengine inawezekana kuna wazo zuri katika hili unalojaribu kuzungumzia, lakini nitofautiane na wewe katika moja ya mapendekezo yako: Haiwezekani na ninarudia tene kwamba haiwezekani kumpata mtu asiyefungamana na chama chochote (Difficult to find someone who is purely ideological free).
  7. M

    Kwa wanaume wanao safiri!!

    Swali kwa mwanaume yeyote afanyaye hivyo: kama hukushiba chunguni cha kupakuliwa kwenye sahani utashiba?
  8. M

    Unavyofikiri Tanzania itajengwa na CHADEMA peke yake?

    Wewe unavyofikiri Tanzania itajengwa na ccm pekeyake?,...pengine mimi ndo sijui...hivi ccm saizi inashirkiana na chama gani? hadi uituhumu cdm kuwa unahisi haitakuwa na ushirikiano na vyama vingine? :help:
Back
Top Bottom