Ukiona hivyo ufahamu hizo unofficialy whatsapp zina uwezo mkubwa na wameweza kupenya firewall za META kuweza kukonekti platform zao na META.
Wanashindwa kuwafungia kwa sababu wamezidiwa.
Hili la kura za maoni ndo jambo linalowafanya viongozi kujikunyata kwa hofu.
Badala ya kuuboresha Muungano, wao wanaulinda hata kama una kero lufufu.
Ndoa unapoamua kuiwekea ulinzi mkali bila kutatua changamoto zake ni kujitafutia anguko la jiwe kwenye maji
Ni zaidi ya hapo
Ukiona mtu anajitetea sana na kujifanyia promo kubwa maana yake ni kwamba huyo mtu hana jipya lenye kushikika wala kutafakarika analolifanya
Mkuu umenena mule mule.
Kati ya wapiga mbiu tuliomo humu, wapo ambao wanaamini mpaka washike madaraka ndiyo wanaweza kubadilisha mfumo huu mbovu. La hasha, bali sisi tuwaandae vijana waje kusahihisha makosa yetu bila kutoana macho.
Lakini jukumu la kumuita mwizi, muuaji, fisadi, asiyewajibika...
Wiki mbili zilizopita simu yangu ilipost pisi kali kama nne hivi zimekaa kihasara kwenye Whatsapp ya ujirani hapa kwetu.
Yaani hizi tachi ukiziweka mfukoni na haujaweka screenlock unaweza hata kukuta imeandika talaka na kuituma ukweni
Kama serikali haihusiki na mauaji ya watu holela mpaka leo tungeshawafahamu waliompiga risasi Tundu Lisu. Pia hata Ben Saanane tungeshajua hatima yake.
Ndugu yangu, tunaposema serikali hatumaanishi vitengo vyote. bali ushiriki wa wenye mamlaka na wenye uwezo wa kukomesha haya matukio.
Kila mwaka tangu mpendwa wetu ashike madaraka ya uraisi kumekuwa na maadhimisho ya kuazimisha madaraka yake.
Je, haya mabango, matangazo kwenye vyombo vya habari, Makongamano na dhifa zinazoandaliwa zipo kwenye bajeti ya serikali au kuna wafadhili wenye moyo mwema wanaochangia gharama za...
Mwangosi alifanywa nini na nani? Unakumbuka Kamuhanda alishatoa neno kabla ya yale mauaji?
Akwilina aliuawa kwa risasi ya polisi. Niambie lengo la risasi ya moto kwenye ile issue ambayo raia hawana silaha na risasi ikampiga Akwilina akiwa ndani ya daladala akiwa ahusiki na maandamano...
Ndugu yangu
Serikali hii ambayo haijali hali za raia wake usidhani kama huu uchungu tunaouona hapa kwa hao wenye mamlaka yaani wakubwa wa polisi na watawala haupo kwa kuwa mhanga hana udugu nao.
Tumuombee mtanzania mwenzetu kama hajakutwa na baya basi ashtakiwe na kuhukumiwa kwa haki ili sheria...
Ni kipengele kipi cha sheria unasindikiza na hii hoja yako?
Au kuna hukumu ya kifo imeshatolewa na mahakama kisha rais ameshaisaini na polisi wametumwa kuitekeleza?
Nyie wauaji mnaotumwa na serikali msidhani mtabaki salama tukisharejea kwenye utawala wa katiba na sheria
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.