Search results

  1. M

    Mheshimiwa Rais Magufuli, kwa heshima kubwa ya Kiurafiki katuwakilishe mazishini Havana

    Naona asiende Bali hiyo hela ya kugharamia safari ikafanyie ukarabati shule za ruvu, kibiti, kilosa na ifakara zote za sekondari zilizojengwa na watu wa CUBA miaka 1970s
  2. M

    DC mdogo kuliko wote Tanzania, ashirikiana na mbunge kuimba wimbo kuhamasisha Elimu Wilayani

    Mbunge na mkuu wa wilaya ni vijana na wote wapo vizuri katika kujenga hoja tatizo lipo kwenye jamii wanayoiongeza bado haijitambui.
  3. M

    DC mdogo kuliko wote Tanzania, ashirikiana na mbunge kuimba wimbo kuhamasisha Elimu Wilayani

    Mkuu kwenye andiko lako umesema kuna shule za upili zipatszo 30's ikiwa na maana kuwa shule za sekondari? Kama ndivyo umekosea, Pangani ina shule za sekondari za serikali saba tu (7) na shule mbili za mashirika ya dini na moja ni ya jumuiya ya wazazi.
  4. M

    Je, Mbowe alipataje cheti cha Form Four ilhali hajawahi kufanya na kufaulu mtihani huo?

    Jamani tusijadili watu bali tujadili maslahi ya taifa.
  5. M

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Kwa spidi hii Nzega itabadilika sana. Wananchi wajitolee wenyewe kujenga miundombinu bora na sio kitegemea misaada.
  6. M

    Makosa yale yale kwenye elimu-maamuzi ya mtu mmoja

    Hii kitu huenda kina ukweli maana mpaka sasa hakuna ratiba ya mtihani wa form two.
  7. M

    MALEZI: Nilichokiona kwenye gari la shule la watoto wetu

    Ni hatari sana. Pia haya mambo yapo hata kwa wanaosoma shule za kutwa. Jambo la muhimu ni wazazi kuplay part yao katika ulezi wa watoto wao.
  8. M

    Kahama: Moto wateketeza maduka ya kuuza mbao

    Dah! Inatisha sana. Majanga ya moto yamezidi.
  9. M

    Nadaiwa deni la miaka minne na HESLB wakati walinilipia mwaka mmoja tuu, nifanyeje?

    Kweli kuna marafiki zangu nao waliiambiwa wanadaiwa na hii bodi tena wa diploma ila wakafuatilia huko bodi ya mikopo wakapewa barua ya kupeleka kwa mwajiri ndo wakatolewa kwenye makato. Nawe jitahidi kufuatilia.
Back
Top Bottom