Search results

  1. article

    Waafrika: Tunaweza kutatua changamoto/matatizo makubwa kwa Akili zetu tusiogope kushindwa

    Nchi za Afrika kwa muda mrefu zimekabiliwa na changamoto/matatizo makubwa ya kiuchumi,kisiasa,kiafya,kimazingira,kiteknologia na nyingine nyingi zisizosemeka huku zikiaminishwa kwamba hazina rasilimali Watu yenye uwezo wa kiakili wa kutosha kutatua changamoto hizi.Inasikitisha! Utatuzi wa...
  2. article

    Polepole: No turning back as Always!

    Only the smartest dudes can figure out what could be the next move when things seem to be falling apart in the eyes of the beholders. You are on your way out to a new destination, that’s a positive shift Comrade. I was astonished for a while as the splash of changes in some front pages started...
  3. article

    Lissu: 'Time limit' kwenye uongozi ni anasa

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA akihojiwa kwenye kipindi cha dakika 45 ITV leo usiku (tarehe 06-02-2023 09:00PM) kwanini watu wanahisi hakuna Demokrasia ndani ya chama chake hasa katika nafasi za Uongozi wa juu amesema kwamba demokrasia ipo lakini hakuna "time limit" kwa kuwa ni jambo hili ni anasa...
  4. article

    KITUKO: Nimekojolewa na mtoto kwenye basi

    Habari za Usiku Wadau, Nipo kwenye bus mida hii natokea Dar naelekea Dom pembeni yangu yupo mdada mwenye mtoto mwenye kama miaka mitatu hivi. Safari inaanza huyu mama nikampa hai hakuitikia kivile mi nikapotezea. Tumefika maeneo ya kibaigwa huyu mwanae akawa kamlaza kidizaini fulani mtoto...
  5. article

    In sight: Could this be a triger of a risky point?

    Happy New year 2022. In Fact, we start anything from a particular point. Sometimes a starting point could hardly be articulated due to a failure to track it earlier in its Development Circle. For those charged with duties and responsibilities of tracking risky points countrywide in accordance...
  6. article

    MISTARI:Nay wa Mitego Ft Mtafya-BABA inanifikirisha sijui wewe?

    Habari Wadau! Hi track inasemekana imetoka jana nimeicheki You tube kupitia shared you tube link ya globalpublishers.co.tz mistari yake imenifikirisha na bado inaendelea kunifikirisha. Sijui wewe utaipokeaje au umeipokeaje? Let us know! ARTICLE
  7. article

    Najivunia katiba yangu ya mwaka 1977

    Nawasilimu wote! Wana Jf nimepitia mijadala ,Maoni na uzi mbalimbali zinazohusu Katiba ya URT ya mwaka 1977 humu ndani na nimeguswa kusema kitu. Nafahamu Katiba husika ina mapungufu mbalimbali lakini mapungufu husika hayaendani na uzito yanayopewa kwa maoni yangu. Katiba hii ni miongoni mwa...
  8. article

    Nauliza hiv COVID- 19 imetufunza kitu gani sisi kama nchi au watu binafsi?

    Wana JF Nawasalim, Hali imekuwa haitabiriki kwenye masuala ya mengi katika ngazi ya nchi/Taifa na kwenye maisha yetu binafsi kutoka na hofu ya kupoteza uhai na uchumi kutokana na hili Janga la Covid-19. Kila kukicha hali inazidi kuwa mbaya na hofu inazidi kutanda huku tukiwa hatujui hatima ya...
  9. article

    Samsung fold:Mambo yawaendea kombo Samsung!

    Wanajamvi natumaini mpo vizuri! Niende moja kwa moja kwenye mada wadau, ipo wazi kwamba Samsung imekuwa ikifanya fizuri kwenye soko la simu za mikononi tangu robo ya kwanza mwaka 2012 ilipochukua namba moja kama mzalishaji mkuu wa simu za mikononi ikiipita Nokia iliyokuwa ikishikilia nafasi...
  10. article

    Usajili wa laini za Simu: Pata nakala yako ya Kitambulisho cha Taifa fasta

    Kwanza ,nawapongeza NIDA kwa kurahisisha upatikanaji wa nakala ya Kitambulisho cha Taifa kwa usalama na kwa muda mfupi sana kupitia tovuti yao. Najua wote tunafahamu kwamba kuanzia tarehe 01 Mei 2019 tunatakiwa tusajili laini za simu zetu upya ( kwa waishio Tanzania )kwa kutumia alama kwenye...
  11. article

    Working in an unhappy environment is detrimental to your health.

    "Laughter and crying are closely linked from a psychological and physiological standpoint. Think of the last time someone told you a joke that made you buckle up with laughter and you could hardly control yourself. How did you feel afterwards? You felt a tingling sensation all over, right...
  12. article

    KWA HERI BBM!

    BBM ni mtandao maarufu wa kijamii wa kwanza ulioanzinishwa mwaka 2005 kabla ya mitandao maarufu ya kwanza kama vile Watsapp ,facebook,instagram na mingineyo kuundwa. Blackberry Messenger maarufu kama BBM si neno geni masikioni mwa wakongwe kwenye utumiaji wa mitandao ya kijamii hasa kwa wale...
  13. article

    Legendary Zimbabwean Musician Oliver Mtukudzi has Died

    Oliver Mtukudzi, one of the greatest musicians that Zimbabwe has ever given birth to, has died after battling a long illness. He passed away at the Avenues Clinic in Harare, Zimbabwe. The beloved Mtukudzi, was referred to as 'Tuku' by his fans not only in Zimbabwe but from all over the world...
  14. article

    SOMO LA BURE: IPSAS Accruals based TZS.trilioni 1.5

    UTANGULIZI. Masuala yanayohusiana na uhasibu yanachukuliwa na watu wengi kwamba yanaboa au hayaeleweki kutokana na kuhusisha hesabu ambazo kwa upande wangu naweza kusema huwa hazifundishwi vizuri kwenye taasisi nyingi za kujifunzia na kupelekea hali hii.Uhasibu ni kitu nyeti sana hasa...
  15. article

    Laptops sasa kwisha kazi, smatifoni kuzidi kushika kasi

    Laptops ni komputa zinazobebeka kirahisi kwenye mkoba wa mgongoni au mkononi zinazopenda kutumiwa na wasomi wengi kurahisisha utatayarishaji wa kazi za kiofisi na zile zisiyo za kiofisi. Laptops silionyesha uwezo mkubwa na Ufanisi na kuzipiku PDA kirahisi ambazo zilkuwa zimeshika soko la...
  16. article

    Maamuzi :"Probabilities" za Dr.Magufuli zaongeza ugumu wa "solutions".

    "Probabilities" za kimahesabu ambazo ni "complex" ni miongini mwa hesabu zinazoweza kufanywa na watu wachache wenye upeo wa kipekee wa kiakili. Hesabu hizi zinaweza kutumika kufanya mahesabu ya kubashiri kwa ufasanisi wa hali ya juu hasa kwenye hali ya sintofahamu inapojitokeza...
  17. article

    Blackberry :Blackberry yafufuka kinamna nyingine.

    Blackberry ni miongoni mwa kampuni ulimwenguni zinazoongoza katika ufumbuzi wa teknologia mbalimbali katika ulimwenguni wa mawasiliano wa kutumia simu za mkononi maarufu hivi sasa kama smatifoni .Toka kuanzishwa kwake 1984 imeshikilia uongozi wa soko la smatifoni kwa miaka kadhaa kabla ya...
  18. article

    IMF warns Tanzania of downside economic growth risks!

    The International Monetary Fund has warned Tanzania that the country's economic policies threaten its forecast for growth in fiscal year 2016/17 (July-June) of around 7 percent. President John Magufuli promised when he was elected last year to reform an economy hobbled by red tape and...
  19. article

    Christmas:Mwanamke umuua Mumewe kwa sababu ya chakula cha Christmas.

    Shehere za Christmas hazikumundea vizuri Christiana odo huko Nigeria kwa kudaiwa kumuuwa mumewe kwa kumchoma kisu kutokana na ugomvi uliotokea baada ya mume wake kushindwa kutoa fedha kwa ajili ya kununua chakula cha Christmas, mtandao mmoja huko Nigeria umeripoti. Unaweza kusoma zaidi kupitia...
  20. article

    Swali :Taratibu za kisheria za kutangaza Matokeo ya Utafiti Nchini zipoje?

    Utafiti ni jia ya kupata ufahamu mpya kuhusiana na jambo au kitu fulani katika muda fulani ndani au nje ya dunia. Mtafiti baada ya kufanya utafiti wake kiutaratibu uwatangazia wahusika na wasiohusika matokeo ya utafiti wake kwa ajili ya utelezezaji,kuchukua hatua au kuwa na taarifa. Tafsiri...
Back
Top Bottom