Search results

  1. Castle_Lite

    Vioja / Matukio ya Bar - Hasa ya Wanawake

    Kwakuwa ID yangu inasadiki maisha yangu ambayo nimeamua kuyaonyesha JF. Nadhan, Na kwa msaada wa wadau wengine ambao wanaweza kutoa matukio yao yaliyowatokea/yanayotokea bar hasa yanayohusiana na Bia, mapenzi au mengineyo (hata ambayo hayahusiani kwa pamoja) ili tupeane matukio. Lengo ni...
  2. Castle_Lite

    Kuridhishana kimapenzi

    Ni matumaini yangu mko salama. Leo nimefikiria kitu, na nadhani pengine kina ukweli au ni mimi tu ndio naona hivi. Ningepata ukiri wa watu wawili watatu ningeshukuru na kujua kama ni ukweli au lah. Ni hivi: Mimi nadhani jinsi mwanamme/mwanamke anavyokuwa na mapenzi na wanawake/wanaume wengi...
  3. Castle_Lite

    TATIZO LIKO KWA NANI

    Long time sijaonekana huku. Anyway. Sikuhiz nimekuwa na addiction ya kuangalia Status za watu whatsapp. It's amaizing kwa sababu unaweza jua moods na vitu ving kuhusu watu kwa kupitia hivyo. Kuna watu wa karibu nawajua na kiuhalisia watu weng wanawaona kabisa Kuwa sio Wema/wanafiki/hawana...
  4. Castle_Lite

    SALAMU JF

    G
  5. Castle_Lite

    Njia mbadala ya kuzindika biashara

    Habari Zenu, Nahitaj kujua njia za Asili za kuzindika Biashara bila kwenda kwa waganga.. Biashara ilisimama vizur kwa miez miwil nyuma ila gafla hela ikawa inapotea, tukaweka mfupa wa kitimoto na mkaa, hela tukaiona ila wateja wakapungua kwa asilimia 75. tunahis kuna kitu. Tutaweka maji ya...
  6. Castle_Lite

    Car4Sale TOYOTA HARRIER CKH

    For Sale, Toyota Harrier. Model 2000 Km 148K cc 2200 Ipo Dar es Salaam, Mbezi juu (Goba). Asking price , 12 Mill, maongez yapo. ina comprehensive insuarance inaisha mwakan July. PM for more details.
  7. Castle_Lite

    GET TOGETHER PARTY - MMU

    H
Back
Top Bottom