Search results

  1. Sol de Mayo

    Nitasikitika sana kuona ndugu zangu wakiacha Salaa kisa Simba na Al ahly.

    Leo ni siku ya ijumaa, al hamdu liLlah nimesali pamoja na waislamu wenzangu, nasubiri muda wa iftar ufike kisha sala ya ISHAA then TARAWEEH inshaa Allah Ila nitasikitika sana sana Ndugu zangu Waislamu wale ambao sala kwao sio muhimu ila Mpira kwao ndio kipaumbele na muhimu kuliko sala. Je...
  2. Sol de Mayo

    Sio njaa wala ukame vitakavyo tumaliza Waafrika bali ni ujinga

    Sio njaa wala ukame vitakavyo tumaliza waafrika bali ni ujinga👆 Maghayo Demi Nelson Jacob Kagame
  3. Sol de Mayo

    Naposema Waarabu wana roho nzuri, wana imani, namaanisha kweli!

    Naposema Waarabu wana roho nzuri, wana imani, namaanisha kweli! Mara nyingi huwa nasema hakuna jamii hapa duniani watu wake wakarimu, wana imani na roho nzuri kama waarabu, namaanisha kweli. Wengi wao wamejaaliwa haswaa Hizi clip zimetrend mitandao mingi, kwa wale wabaguzi, wenye chuki dhidi...
  4. Sol de Mayo

    Kila la heri Wydad Casablanca

    Kila la heri Wydad Casablanca, nawaombea ushindi dhidi ya mamelodi, wale mashabiki wa Wydad tujuane hapa Free palestine 🇵🇸
  5. Sol de Mayo

    Ari Shebet: Hakuna ladha ya kuishi katika Nchi hii ya Israel

    Ni mwandishi wa gazeti la Haaretz Allah ajaalie ushindi kwa Ndugu zetu wapalestina Moderator ,nawaombeni sana, msifute au kuhamisha nyuzi zangu, mmezidi sasa! Kila nikianzisha thread za maovu/uhalifu wa MAZAYUNI mnakimbilia kuuondoa au kuupeleka kwingine, leo nimeleta taarifa ya maovu...
  6. Sol de Mayo

    Nisiwe mnafiki, Wydad na Raja casablanca hawastahili kucheza soka la Afrika

    Nimefurahi sana kwa ushindi wa jana wa Wydad Casablanca dhidi ya mamelodi, mafundi wa Morocco hao katika jiji la Casablanca, Wydad 2-1 mamelodi Nisiwe mnafiki, Wydad na Raja Casablanca hawastahili kucheza mashindano ya Afrika, kwa wale wanamichezo na si mashabiki watakua wamenielewa, kwa wale...
  7. Sol de Mayo

    Jabiri kuwa makini na kauli zako za kidini/kibaguzi

    Rais wetu, ifike mahala watu wa aina hii wakamatwe na kushikishwa adabu haraka Napinga sana ubaguzi wa aina yoyote, udini na ukabila. Mwenyezi Mungu akuongoze mama yetu, na Watanzania wote kwa ujumla...wale wenye chuki dhidi ya waarabu/waislamu mtambue kuwa mnachokifanya sio sahihi, na...
  8. Sol de Mayo

    Sheikh Muhammad Iddi amjibu Lema

    Safi sana Sheikh Muhammad Iddi, Allah akuhifadhi sheikh wetu. GODBLESS LEMA , na wenzio wenye element za udini, ukabila na ubaguzi + chuki dhidi ya waislamu, jirekebisheni, narudia tena jirekebisheni. Bhujiku ng'waka! Hammaz
  9. Sol de Mayo

    TANZIA Mohamed Raza afariki dunia. Ni mfanyabiashara, mwanasiasa na mdau mkubwa wa michezo Zanzibar

    Mfanyabiashara maarufu wa Zanzibar na Mwanasiasa ambaye aliwahi kuwa Mwakilishi Jimbo la Uzini Mkoa wa Kusini Unguja, Mohamed Raza amefariki leo hii wakati alipokuwa akipatiwa matibabu, Allah amrehemu ndugu yetu huyu, na amuingize katika pepo. Itakumbukwa May 09,2023 Rais wa Zanzibar na...
  10. Sol de Mayo

    Mufti Al Khalil: Mapambano ya Rais wa Uganda dhidi ya ushoga

    Allah amjaalie Mufti huyu afya njema na umri mrefu wa kuishi, Aamiin! Museven, Mwenyezi Mungu akubariki, hakika upo 💪🏽 huyumbishwi na wamagharibi. Moderator kwa hisani yenu, mmeshanifutia nyuzi zangu zaidi ya moja, nimeongea hamkunielewa, basi kwa leo nawaombeni muiache hii Waabheja sana bhabhaa
  11. Sol de Mayo

    Usiku mwema jamani

    Bhujiku ng'waka
  12. Sol de Mayo

    Ubaguzi dhidi ya ndugu zetu Wamorocco

    Leo wahaini tunawatoa kamasi👇 Sisi wana Argentina wenye mpira wetu, leo ni leo, tuna jambo letu kuhusu Wafaransa wa asili na wahaini/Waafrika wale mahaters wa Morocco mliokua mnawatukana na kuwabagua waafrika wenzetu. Leo mtalia sana sana mbele ya wanaume wa shoka Messi na Jeshi lake. Si...
  13. Sol de Mayo

    Waafrika na suala la ubaguzi na ukatili katika soka

    Afrika itabaki kuwa Afrika tu, hususani hapa Tanzania. Nimefuatilia katika social media's za bongo, aise ni kama vile walikua wanatafuta vijisababu kutoka kwa hawa ndugu zetu Waarabu (Morocco) ili wapatiamo cha kusema/kuwatukana na kulialia. Unakuta mwanaume mzima anawakandia wanaume wa...
  14. Sol de Mayo

    Kila la heri Morocco team

    Kila la heri Morocco team, wengine tupo nyuma yenu dhidi ya Portugal, wale maadui na wasiowapenda Morocco/waarabu haiwahusu mada hii. Kila la heri ndugu zetu Morocco, tupigieni hao ndugu zao brazili warudi nyumbani kwao haraka kama ilivyo kwa croatia jana wamemfukuzisha kocha wao tite, leo ni...
  15. Sol de Mayo

    Rais wa FIFA: Inahitaji kuomba msamaha kutoka kwao kwa miaka elfu tatu ijayo

    👆 Rais wa FIFA, INFATINO👇 Maachallah, hakika Qatar imeuheshimisha Uisilamu, Pindi itakapofika nusra ya Allah na ushindi, utawaona watu wakiingia katika dini ya Allah makundi kwa makundi, basi Sali na umtukuze Mola wako, hakika yeye ndie anaepokea toba! Allah atuongoze, Aamiin! Sol de Mayo...
  16. Sol de Mayo

    Nimeachana na vifurushi vya TIGO, hawafai hata kidogo

    Nimeachana rasmi na vifurushi vya TIGO, nimerudi halotel japo ni wale wale kasoro jina tuu. Halotel 1500 MB 750 Halotel 2000 GB1 Tigo 1500 MB 650 TIGO 2000 MB 800 N.k N.k In short hakuna mtandao wenye unafuu kwa sasa, ndugu zangu kama kuna mtu anajua mtandao wenye WIFI unlimited, na bei zake...
  17. Sol de Mayo

    Tigo wamepunguza mb+dakika, ni hatari hawa watu

    Mnasikia ninyi TIGO na mitandao mingine, msitufanye watanzania wapumbavu na wendawazimu, mnaendelea kupunguza vifurushi maanake nini!!! Tumewakalia kimya ndiomaana mnaendelea kufanya ambavyo wanataka. Nasema hivi endeleeni tu kupunguza, kuna siku kitawaka, kama hamkuona ofisi zenu...
  18. Sol de Mayo

    Egypt and Niger, aise sijawahi kukutana na hili katika maisha yangu ya soka

    Aise, hii kitu ngeni kwangu, hata pasi moja!! It means walikua wanazurula uwanjani, aise siamini macho yangu kama nikweli🤣🤣 mpira umeisha kwa bao 3 kwa 0 Hongereni sana mafarao👏🏽👏🏽
  19. Sol de Mayo

    Orodha ya timu nisizozipenda na haitatokea nizipende abadan

    Mlemhala bhabha? Habarini wakuu? Timu za taifa ambazo sijawahi kuzipenda, na wala haitatokea nizipende abadan. 1 Israel 2 Brazil 3 USA 4 South Africa 5 England, though akikutana na hao wa4 nitashabikia England. Klabu nisizozipenda ni, 1 Liverpool 2 Real Madrid 3 Man u 4 Chelsea 5 Arsenal 6...
Back
Top Bottom