Search results

  1. S

    Ahmed Ally: Si jambo jema hata kidogo Serikali kutoa Posho ya 1.2M pamoja na Usafiri kwa Mashabiki wa Yanga, Mpira ni Starehe

    Ila Tanzania basi tu, hata suala la kutoa pesa kwa kila goli kwa nchi maskini kama hii ni jambo la aibu
  2. S

    Kumbukizi ya Dkt. Bashiru: "Sitagombea wala kukubali uteuzi wowote baada ya huu". Kilichofuata baada ya hapo ilikuwaje?

    Angekataa ubunge wa kuteuliwa angeishi maisha magumu sana hapa duniani .
  3. S

    Saa ya Rais Samia yadaiwa kuwa na thamani ya Tsh. Milioni 111,601,22/=

    Wanaojadili hivi vitu ni wapinzani au watanzania wote kwa ujumla wao.
  4. S

    Rais Samia awekwe kwenye fedha, tuache wivu na chuki

    Neno wivu na chuki yanatumika vibaya
  5. S

    Taja jina la mtu ambaye hujawahi kukutana nalo zaidi ya mara moja

    Ntalimbo Nzuki Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  6. S

    Dr Feleshi umewalenga wanasiasa, Prof Juma Mahakamani ni kuchafu zaidi

    Wananchi wanataka matokeo japo siamini kama mwenezi ni mtu sahihi huwa namuona kama bomu mda wowote linalipuka. Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  7. S

    Je, Kuna Taasisi ya ovyo Kabisa Nchini Kuizidi TANESCO?

    Naamini kwa serikali yetu hii kuna taasisi nyingi tu za ovyo tena kuzidi hata hawa Tanesco, ubaya tu wa Tanesco madhara yake ni ya hapo kwa hapo .
  8. S

    Tuwapatie Wahindi wizara za fedha na viwanda na biashara waamshe nchi

    Maendeleo yataletwa siku tukijenga mifumo mizuri na imara ambayo itawajibika kwa kila mtu bila kujali chama, dini na kabila , mfumo wa siasa utawajibika moja kwa moja kwa mwananchi wa chini
  9. S

    Tuwapatie Wahindi wizara za fedha na viwanda na biashara waamshe nchi

    Sahau maana na wenyewe wataona njia ya kupiga hela na kwenda kuwekeza kwao india.
  10. S

    Tuwapatie Wahindi wizara za fedha na viwanda na biashara waamshe nchi

    Maendeleo hayawezi kuletwa na wahindi kama sie watanzania hatujaamua kuendelea.
  11. S

    Mwigulu, Makamba, Mpina, Kigwangala, Zitto nani kinara 2023

    Mpina, Mwabukusi na Dr.Slaa
  12. S

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kwa mchezaji kama Nketia kucheza Arsenal unategemea nn Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  13. S

    Miradi ya Maprofesa wa Bongo

    Naomba ututajie na miradi ya maprofesa wa Amerika,Ulaya na China Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  14. S

    Ushauri: Nisome Masters UDOM au Jordan University?

    Jordan kinatoa wataalamu wengi na wenye ujuzi?
  15. S

    Ally Bananga, alimnanga Paul Makonda kwamba ni Ziro Bashite, ila leo kula kwake hadi Makonda aamue

    Unadhani wanajali sasa Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  16. S

    Kwenye suala la misitu Tanzania ndiyo tulitakiwa tuwasaidie UAE, sio wao watusaidie sisi

    Akili mtu wangu ukikosa akili kila kitu unaona mzigo Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  17. S

    Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

    Waafrika tuna ka laana flani hivi Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom