Search results

  1. Jaguar

    Nissan Dualis vs Nissan Qashqai

    Ninavyojua mimi,hizi ni gari ya aina moja,hakuna tofauti yoyote,ila ngoja waje wajuzi wa mambo!
  2. Jaguar

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    We are beating them like a drum 🥁
  3. Jaguar

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Kweli mkuu,hata mimi nilikuwa nimehisi vibaya!
  4. Jaguar

    Jinsi ya kumpata mwanamke yeyote unayemtaka

    Aisee,mimi huwa siweki fwedha mbele,huwa siingii kwa gear kubwa mwanzoni..namuingia mwanamke kutokana na jinsi alivyo..hata kama mtu wa dini nitaanza naye kidini dini hivyo hivyo.Ila siku akijichanganya kunitunuku,mimi ni kama Comodo dragon,nikikung'ata hata mara moja,bhaas tena,ndo ushakuwa...
  5. Jaguar

    Nikifukuzia mwanamke wiki mbili tu akagoma nampotezea

    Mama zetu walikuwa wanazungusha miaka mitano lakini pia hawakuwa wanamtunuku mwwingine,walikuwa wanajitunza..sasa nyinyi leo
  6. Jaguar

    Nikifukuzia mwanamke wiki mbili tu akagoma nampotezea

    Wiki mbili? Hapana..ni siku moja na ya pili ya bonus!
  7. Jaguar

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Huyu jamaa..he is so industrious,nina admire sana work rate na passion yake!
  8. Jaguar

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    My favourite baller,Federico Valverde,lazima afanye mambo leo!
  9. Jaguar

    Mwanaume kupiga bao nyingi kwa tendo moja nayo ni dhana potofu

    Kumbe mimi niko safi,ratio ya mimi mija ye 3 na kuendelea!!
  10. Jaguar

    FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

    Mlijipima nao friendly match,unayakumbuka matokeo?
  11. Jaguar

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hello Mbwa jike!
  12. Jaguar

    Ndoa za kikristo hazifati maandiko ya kwenye biblia, zinafata sheria za viongozi wa makanisa

    Mkuu,hapa utashambuliwa sana,imani ya mtu katika dini fulani inaathiri sehemu ile ya ubongo inayoathiriwa na uraibu wa madawa ya kulevya..so una mlima wa kupanda ili watu wakuelewe. Mimi nilishangaa sana kuja kusikia kwamba Italy ni nchi ya tatu kwa low rates za ufungaji ndoa.Waliotuletea haya...
  13. Jaguar

    Hivi wanawake wa hivi wamekosaga nini kwenye ndoa zao?

    Kama ilivyo kwa adui wa mwanamke ni mwanamke!
  14. Jaguar

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Yeah,the man himself Fede valverde,a.k.a FedEx...(Fedexpress)
  15. Jaguar

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Tunawapiga kama ngomaaa!
  16. Jaguar

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Tunawakanda vizuri hapo hapo kwao Wanda metropolitano.
  17. Jaguar

    Huko mbinguni tutakuwa katika umri gani?

    😂😂😂
  18. Jaguar

    Mbinguni kutakuwa sehemu ya aina gani? Watu watakuwa wanafanya nini?

    Halafu ukisha washona hao mabikra wanakuwa useless next time kwasababu sio mabikra tena?,au bikra zao zinakuwa renewed every time??!!
  19. Jaguar

    Mbinguni kutakuwa sehemu ya aina gani? Watu watakuwa wanafanya nini?

    Hayo mambo yote ya Gravitational force,atmospheric pressure hali ya ukuaji wa kustaajabisha wa mimea,wanyama na wadudu,sisi sote tunashindwa kung'amua ni nini chanzo cha yote haya? Naungana na wewe kwamba MUNGU yupo, lakini naamini kuna natural power behind the creation of this world, hiyo...
  20. Jaguar

    Mbinguni kutakuwa sehemu ya aina gani? Watu watakuwa wanafanya nini?

    Ok,na MUNGU pia alitokana na nini?
Back
Top Bottom