Search results

  1. K

    Aolconsultants

    Habari ya kazi, Mimi nimeitwa interview hii taasisi ya aolconsultants lakini wamenitumia Sms ya kawaida kuwa nimekua short-listed kwa ajili ya interview, wakaniekekeza niangalie email wamenitumia, sasa nimegangaika kila nikifungua email yangu Hakuna email yeyote, je Kuna mtu ambaye ameitwa...
  2. K

    Msaada kuomba ushauri

    Habari za jioni ndugu zangu, mimi ni kijana nina umri wa miaka 27 Nimemaliza degree yangu ya Taxation pale IFM, mwaka 2014 lakini hadi sasa naona changamoto ya ajira kwangu ni tatizo ukizingatia field niliyoisoma uwanja wake wa ajira ni TRA na sehemu zingine lakin chache sana. Sasa nikawa na...
  3. K

    Usahili WCF bado

    Ndugu zangu habari za jion, nauliza kama Kuna mtu yeyote mwenye information kuhusu kuitwa Usahili workers compasation Fund maana ni kitambo sana hadi leo isije watu wameitwa kimya Kimya... Mwenye informations yeyote
Back
Top Bottom