Halafu article yako naitilia mashaka unasema Waafrika wengi wanakufa kuyokana na sumu mwilini. Njia zinazojaza sumu zinatumiwa na wanadamu wa duniani kote iwe Ui gereza marekani nk. Lakini sumu inatajwa kwa waafrika tu??? Uko serious ndg??
Ungekua hujaweka namba za simu ningejaza macho kuso.a vzr. Nilivyoanza tu kusoma nilinua hili sio somo ni tangazo la biashara nikaruka mwisho nakuta contacts duh haya bana watakuja unaowasubiri
Umeongea kinadharia sana. Ungefanya wakau kautafiti ka sampo walau ya watu 300 tu ukatuletea hapa sio kama ulivyofanya.
KWANI wapo waliokua wenye akili sana darasani wamefanikiwa sana na wapo ambao wako kati wakipambana na hali zao.
Pia wapo ambao hawakua wakijiweza sana darasani leo hii...
Salaam mtaalam wa ngozi. Shida niliyonayo mm huwasha nikioga maji yakaukapo mwilini. Hasa nikijifuta maji ndo nakaribisha muwasho sana ila yakikauka bila kujifuta huwasha kidogo
Labda amekamata mimba huyo. Kipindi cha mabadiliko hali kama hiyo yaweza kutokea na ikamsumbua sana asipokuona.
Ila kama yu mkavu tumboni basi pambana na hali yako bro
Hakukua na makubaliano yyt. Yaani msaada uliotolewa was not a deal. Hivyo kanuni inayotembea hapo ni TENDA WEMA NENDA ZAKO USINGOJE SHUKURANI. kwani wakati unafanya uamuzi wa kutoa msaada ulijua tabia mtizamo na misimamo ya msaidiwa??
Mimi ktk harakati zangu nimejifunza mengi. Nitawatetea matajiri. Iko hivi hakuna tajiri anayependa kufilisika. Hivyo fursa yeyote ya kupoteza hela kizembe ni shida kubwa kwake. Sasa mara nyingi watu wasio na uwezo sehemu tofauti iwe mamlaka za serikali au waajiriwa wao nk hufikiri kuwaibia hawa...
Kuna sheria ya ndoa si ya viapo. Tena sheria ya ndoa yenyewe haijaandikwa ili uwe na ndoa nzuri bali inasaidia kulinda haki za wanandoa na watoto pindi mnapotaka kutengana ama kuachana.
.kiapo komaa nacho mwenyewe muapaji.
Mtoa mada nadhani umeanduka ukiwa na stress. Sasa urijali na hayo maendelo wapi na wapi? Urijali uwezo wa kujamiiana na kuzalisha. Mtu aweza fanya yote uliyoonyeshapo juu hata kama hana mtoto yaani hawezi kuzaa na wala hana mke anaweza kujali ndg zake akaoambana na maisha kwa nidhamu kuu...
Kama kafanya kwa hiari yake hakuna kosa ila kama amebakwa basi kuna kosa la ubakaji kwa mujibu wa sheria ya makosa ya kujamiiama aka sospa.
Sima hakika ila nahisi pia mi koda kufanya mapenzi hadharaji
Hiyo ndo nature kuwa baada ya goli la kwanza unapata mapumziko. Ila pia mchezaji mwenza anachangia sana kuwahisha second operation au kuchelewesha. Its not all about you
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.