Search results

  1. A

    Wakati ni sasa TFF kuitafutia Stars inter-continental friendlies

    Sijui ni inferiority au ni kukosa uthubutu. Nimekuwa nikishangazwa na TFF kuendelea kung'ang'ania michezo ya kirafiki na mataifa yaleyale kama Burundi, Malawi, Kenya sijui Ethiopia kila kukicha. Sibezi uwezo wa nchi hizi isipokuwa ifike mahali tutafute exposure na uzoefu mpya toka sehemu...
  2. A

    Je, ni kweli Jack Grealish ana thamani ya Paundi milioni 100?

    Jack Grealish amehamia Manchester City akitokea Aston villa ambako alikuwa nahodha. Huyu dogo ambaye amewahi kutukanwa matusi mengi asiyojua maana yake na baadhi ya Watanzania kuptia mitandao, wengi tumemjua baada ya samatta kucheza pale villa park. Grealish amevunja rekodi kwa wachezaji wa...
  3. A

    Msaada: Namna ya kumsikiliza English native speaker wa kizungu

    Wadau wa lugha, Na Mimi bwana nimebahatika kupata kashahada fulani kutoka moja ya vyuo vyetu vikongwe. kwahiyo ka-english ka hapa na pale kakuombea maji huwa ninako. Masomo ya english secondary nilipa daraja B. Tatizo kuu langu ni moja; Ukiongea wewe kiingereza (mswahili mwenzangu) huniteti...
  4. A

    Maoni: Freeman Mbowe akiachiliwa atafute hifadhi ya kisiasa ng'ambo

    Huyu mzee ametoka kuzika ndugu zake wawili wa damu ndani ya mda mfupi. Anapitia nyakati ngumu mno pengne kuliko mpinzani yeyote ndani ya nchi hii. Anakabiliwa na kesi lukuki, uchumi wake binafsi umeporomoka, usalama wake u shakani.nk Ana miaka 60. endapo mwelekeo utakuwa ni huu sijui tu. Kwa...
  5. A

    CAF champion league 21/22: Yanga sajirini ALEX SONG

    Salaam kwenu wananchi, Miezi michache ijayo Yanga itarejea kwny michuano tajwa baada ya kuikosa kwa muda kdg. Sasa nikimbie kwny mada fasta: Alexandre dimitri SONG bila shaka anajulikana. Ni yule kiungo holding, mwenye nishati nyingi, rasta, raia wa cameroun,mwenye cv iliyoshiba. Amechezea...
  6. A

    Kusafirisha Sangara kwa usafiri wa ndege

    Habarini za mchana. Nimewaza kufanya biashara tajwa, ya safirisha samaki kwa ndege kutoka mwanza kwenda dsm bila kutumia freezer. Vibali vipo ila sina uzoefu na usafirishaji wa njia hii. Je kwa mtaji uliopo wa milion mbili inawezekana? Naomba mwenye ABC za biashara hii anipe mbinu,cost,risk...
  7. A

    Msuva vs Chilunda uso kwa uso leo usiku

    Habari za Jioni wadau. Leo usiku saa tano nchini Morroco nyota wa Kitanzania, SIMON MSUVA anayeichezea Wydad casamblanca na Shabani Chilunda anayeitumikia timu ya Moghreb Tetouan zote za Morroco. Wataziongoza timu zao zinazotarajia kucheza leo kwenye michuano ya kombe maalum. Wydad ndiyo...
  8. A

    Kutunza mazingira: Serikali ivilazimishe Viwanda vya Pombe kali kununua chupa zake zilizotumika

    Salam wakuu. Nimewaza sana kwanini viwanda vya pombe Kali (Distilled spirits) kama konyagi, kvant, vodka, dompo, wana design chupa nzuri sana tena zenye mionekano bomba. Lakini cha kushangaza chupa hizo baada ya matumizi hutelekezwa na kuwa kero kwa uchafuzi wa mazingira yetu. Sasa sijui...
  9. A

    Mtanzania anayekipiga Solihull moors.

    Leo ktk pitapita zangu mitandaoni..nikitafuta facts za teams nilizotaka kubet Nikakutana na club inayofahamika kwa jina tajwa hapo juu. Huyu ni striker mtnz ana miaka 25, mwenye asili ya zanzibar anaitwa A.Yussuf. Anacheza Nchini uingereza ligi daraja la nne.. (wao wanaita national league)...
  10. A

    Majina ya kitanzania na kasumba ya siku hizi

    Salama wakuu. Kuna hii kasumba mpya imeingia kwenye jamii.ni kule kujaribu kuleta complications kwenye uandishi wa majina yetu hasa yale ya asili ili yafanane na yale ya kigeni. Huwa sijui ni ulimbukeni tu au kutojua Maana au historia. inajulikana waz kuwa majina ya asili hasa ya kibantu...
  11. A

    Neno 'Taarifa ya habari'

    Habarini wadau wa lugha, Binafsi ninapata shida sana kuelewa mantiki hasa ya neno tajwa sababu ninaona maneno mawili ndani ya neno moja yenye maana ileile..taarifa ndio habari hiyohiyo. Hem chunguza tungo zifuatazo; (a) habari tulizonazo ni kwamba............... (b) kuna taarifa zimetufikia...
  12. A

    Tafsiri ya neno 'aga' katika kiingereza

    wadau wa lugha, naomba kujuzwa tafsiri sahihi ya neno 'aga'.kwani mimi nahs neno ninalotumia lina mapungufu.nimekuwa natumia neno 'to wipe'. je hakuna neno jingine mbadala.asante
Back
Top Bottom