Search results

  1. Jakubumba

    Mzee Yusuph aamua kuachana na muziki na kumrudia Mungu wake

    Mie nampenda sana Mungu, naamini maandiko yake pia, Ila sioni ubaya wa yeye kuendelea na music kama dhamila yake ilikua ni kuburudisha. Kama alikua Na dhamira nyingine ni uamuzi mzuri. Kama kasisitiza mziki wake usiuzwe ni sawa Ila he atakubali kugawa Mali alizopata kupitia huo mziki?
  2. Jakubumba

    Tunaishukuru serikali ya JPM, sasa bei ya sukari imeshuka hapa Dodoma

    . Kwani hamwezi kuishi bila sukari?
  3. Jakubumba

    Yanayojiri Bungeni 19 Novemba, 2015: Rais Magufuli amteua Majaliwa K. Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

    Mkuu baada ya kusomwa waziri Mkuu ndo heading ikabadirika, watu wamekereka kupigwa chini tabiri zao
  4. Jakubumba

    Yanayojiri Bungeni 19 Novemba, 2015: Rais Magufuli amteua Majaliwa K. Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

    Magufuli tayari amefeli mtihani, serikali yake itaandika histiria mpya kama ya jk.
  5. Jakubumba

    Yanayojiri Bungeni 19 Novemba, 2015: Rais Magufuli amteua Majaliwa K. Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

    Akili zenu ndo zimeishia hapa, kuwaza ngono mda wote.
  6. Jakubumba

    Yanayojiri Bungeni 19 Novemba, 2015: Rais Magufuli amteua Majaliwa K. Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

    Anaesubilia jipya kutoka kwa hii serikali ya ccm inabidi akapimwe akili,serikali ni ileile, rais ni kama walewale waliopita kwenye chama kilekile.
  7. Jakubumba

    DC Makonda, ni Kujipendekeza au Utovu wa Nidhamu?

    Mzee kaa pembeni tumechoka pumba zako! Huoni aibu kuandika upuuzi na kujichekesha hovyo hovyo?
  8. Jakubumba

    The walkers: Naomba kujua series hii inaishia season ngapi?

    Uko nyuma sana ndugu, sasa hivi ndo tuko season 5, INA kama episode 12.
  9. Jakubumba

    Rais John Magufuli afanya Ziara ya ghafla kwenye Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI)

    Watanzania tumezoea mazingaumbwe! Na atutuchezea akili hadi anaondoka.
  10. Jakubumba

    Rais John Magufuli afanya Ziara ya ghafla kwenye Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI)

    wanzania tunapenda kulagaiwa, na tutaendelea kulagaiwa miaka kumi mingine. Hizi sinema alizicheza jk na tuliona outcomes zake.
  11. Jakubumba

    Ajali Iliyosababisha Kifo cha Deo Filikunjombe ni ya Mungu au ya Shetani?

    Pasco! Inabidi sasa na wewe nikuulize swali, kama hii ajali si ya mungu wala shetani, wewe unafikri ni ya nani?
  12. Jakubumba

    Wacheche sana dunia hii.

    Watu mkiona uchi tu mnawaza ngono.
  13. Jakubumba

    Watanzania ni ignorants au tumelogwa? Oktoba 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu?

    Tafadhali pasco, wewe ni mwandishi wa habari andika taarifa ukiwa umetulia na kujua unachokiandika. Maandishi yako mengi yanajirudiarudia bila msingi wowote, nimechoka na swanglish yako, unarukaruka bila kujua utatua wapi.
  14. Jakubumba

    Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Nimeamini siasa haina rafiki na adui wa kudumu, leo hii DR SLAA AMEKUWA ADUI WA CHADEMA, LOWASSA ADUI WA CCM?
  15. Jakubumba

    Lowassa, anguko la upinzani nchini na hadithi ya bora shetani nimjuaye kuliko malaika nisiyemjua!

    Mimi siamini huu uchambuzi umetolewa na mbunge kijana tena msomi daktali. WHAT IS YOUR POINT HERE? NAULIZA HIVO KWA SABABU KICHWA CHA HABARI NA HABARI YENYEWE VITU VIWILI TOFAUTI.
  16. Jakubumba

    Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    Tundu lissu nae amekubali kutumika kabisa.
Back
Top Bottom