Search results

  1. B

    TBL, CRDB Bank Foundation collaborate on pre-financing barley farming for the 2024 agricultural season

    Tanzania Breweries Limited (TBL), one of Tanzania’s top manufacturers and employers and a key partner in the socio-economic development of the country, has today signed a Memorandum of Understanding (MoU) with the CRDB Bank Foundation to collaboratively implement the Barley Farming Pre-financing...
  2. B

    CRDB Bank Foundation, SUGECO kuwezesha mafunzo kwa vitendo kwa wahitimu 2,500 nje ya nchi

    Katika kufungua fursa za kuongeza umahiri katika fani zao, Taasisi ya CRDB Bank Foundation kwa kushirikiana na Sokoine University Graduate Entrepreneurs Cooperative (SUGECO) imesaini mkataba wa miaka mitatu kuwawezesha zaidi ya wahitimu 2,500 wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)...
  3. B

    Barrick yakabidhi msaada wa vifaa vya kisasa vya kupima ulevi wa madereva kwa Jeshi la Polisi

    Meneja Mawasiliano (Corporate Communication and Country Liaison Manager) wa Barrick, Georgia Mutagahywa (wa pili kutoka kushoto) akimkabidhi moja ya vifaa vya kisasa vya kupima ulevi kwa madereva vilivyotolewa na Barrick kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama barabarani kanda maalum ya Dar es...
  4. B

    Barrick yadhamini kongamano la wanafunzi vyuo vikuu nchini (AIESEC)

    Mratibu wa mafunzo (Supervisor Learning And Development) wa Barrick Tanzania, Elly Shimbi akiongea na Wanafunzi wa Vyuo vikuu wakati wa kongamano la kuwajengea uwezo wa kuhimili ushindani wa ajira na kujiajiri lililoandaliwa na taasisi ya kuchipua na kuendeleza vipaji vya uongozi kwa vijana...
  5. B

    GEF kupitia UNDP yatoa zaidi ya shilingi bilioni 4 kwa CSOs 44 nchini kutekeleza miradi ngazi ya jamii

    Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam. Mfuko wa Mazingira Duniani (GEF) kupitia Programu ya Ruzuku ndogo inayotekelezwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limesaini makubaliano ya kutoa sh 4.04 bilioni kwa mashirika yasiyo ya kiserikali 44 nchini ili kutekeleza miradi ya Uhifadhi wa...
  6. B

    Jennifer Dickson: Mwanzilishi wa maktaba ya kijamii wilayani Mwanga atunukiwa tuzo ya Malkia wa Nguvu Ajaye 2024

    Mwanzilishi wa maktaba ya kijamii wilayani Mwanga, Jennifer Dickson akifurahia tuzo ya Malkia wa Nguvu ajaye katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. ------ Nyota ya Mwanafunzi wa Kike wa kitanzania Jennifer Dickson na mwanzilishi wa maktaba ya kijamii wilayani Mwanga anayesoma elimu ya...
  7. B

    Mgodi wa Barrick Bulyanhulu waongezewa muda wa leseni ya uchimbaji

    Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba (kushoto) akimkabidhi leseni ya kuongezewa muda wa uchimbaji wa mgodi wa Barrick Bulyanhulu kwa Meneja wa Barrick nchini, Melkiory Ngido katika hafla hiyo , wanaoshuhudia nyuma (kushoto) ni Waziri wa Madini, Mh.Antony Mavunde na Mkuu wa...
  8. B

    Barrick yafungua chuo cha kimataifa barrick academy katika mgodi wa buzwagi uliofungwa

    Waziri wa Madini, Mhe. Antony Mavunde, ameipongeza Kampuni ya Dhahabu ya Barrick ambayo inaendesha shughuli zake nchini kwa ubia na Serikali kupitia kampuni ya Twiga Minerals, kwa kufanya uwekezaji unaoendelea kuchangia kukuza uchumi na kufanikisha miradi ya kijamii ambayo inaendelea koboresha...
  9. B

    EXIM yaandaa Iftar kwa wadau wake

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim Jaffari Matundu, akizungumza na wadau (hawapo pichani) katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa na benki hiyo kwa lengo la kuimarisha uhusiano kati ya benki na wadau wake wakiwemo wateja na jamii katika mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani katika tukio lililofanyika...
  10. B

    Kampuni ya dhahabu ya Barrick nchini yadhamini madhimisho ya Siku ya Hisabati Duniani

    Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Barrick nchini, Georgia Mutagahywa, akiwa na wanafunzi wa kike waliofanya vizuri katika somo la hisabati muda mfupi baada ya kukabidhiwa zawadi za laptop kutoka Barrick. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Dk. Franklin Rwezimula (kushoto) akikabidhi cheti...
  11. B

    Wakufunzi wa Chuo cha CATC wahimizwa kufanya kazi kwa weledi

    Chuo cha Usafiri wa Anga(CATC) kimefanya hafla ya kufunga Kozi mbili za ‘Area Control Procedure’ namba 35 na Kozi ya Ndege nyuki (Drone) namba 16 kwa wakufunzi hao kuhimizwa juu ya kufanya kazi kwa weledi. Nasaha hizo zimetolewa Machi 08, 2024 na Mkuu wa Chuo cha CATC, Aristid Kanje wakati wa...
  12. B

    Barrick yaadhimisha siku ya wanawake duniani kwa kutoa msaada wa mashine ya patient monitor Hospitali ya Rufaa Mwananyamala

    Afisa Mawasiliano wa Barrick, Neema Ndossi (kulia) akikabidhi msaada wa mashine ya Patient Monitor, kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala,Dkt. Zavery Benella.Wengine pichani ni Wafanyakazi wa Barrick alioongozana nao. --- Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku...
  13. B

    Washindi watatu wa kampeni ya ‘Benki ni SimBanking’ wapatikana, Mmoja aondoka na Bajaji

    Katika jitihada zake za kuhamasisha matumizi ya mifumo ya kidijitali nchini, Benki ya CRDB ilizindua msimu wa tatu wa kampeni ya ‘Benki ni SimBanking’ na kutenga jumla ya zawadi zenye thamani ya Shilingi milioni 470 kwa wateja wake mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...
  14. B

    Ugandan Ingenuity Triumphs: Rise and Shine Secondary School Wins Sahara STEAMers Regional Competition

    In a groundbreaking display of innovation, Team Imperial Tech from Rise and Shine Secondary School in Ntinda, Uganda, has emerged as this year’s regional champions of the Sahara STEAMers Grand Demo Competition 2.0. The competition, now in its second year, is organized by the Sahara Group...
  15. B

    Taasisi ya Dido, Female Future Program wawawezesha wanafunzi wenye mazingira magumu Mtwara

    Mtwara. Kwa kutambua ugumu unaowakabili baadhi ya wanafunzi kukidhi mahitaji yao muhimu, taasisi ya Dido Mwanafunzi Initiative (DMI) kwa kushirikiana na Female Future Program Cohort 9 imetoa msaada wa sare za shule, madaftari na viatu kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari mkoani Mtwara...
  16. B

    Benki ya CRDB yazindua huduma ya bima yenye misingi ya sharia kwa Watanzania wote

    Dar es Salaam. Tarehe 28 Februari 2024: Ikiwa na uzoefu wa takriban miaka minne sasa Benki ya CRDB imezindua huduma za bima zinazozingatia misingi ya shariah zijulikanazo kama Takaful kwa ajili ya wateja wanaofuata imani ya Kiislamu na wananchi wengine wanaozingatia misingi ya dini hiyo...
  17. B

    Katibu Mkuu Luhemeja atoa siku 100 PSSSF kukamilisha awamu ya pili ujenzi kiwanda cha bidhaa za ngozi Kilimanjaro

    Na. Mwandishi wetu - Kilimanjaro Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhandisi Cyprian Luhemeja ametoa siku 100 kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Wafanyakazi wa Umma (PSSSF) Ndg. Abdul-Razaq Badru kuhakikisha Awamu ya Pili ujenzi wa kiwanda...
  18. B

    Watendaji watakiwa kufanya Uchaguzi kwa ufanisi

    Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji Rufaa (Mstaafu) Mhe. Mbarouk Salim Mbarouk akizungumza wakati akifunga mafunzo kwa watendaji wa Uchaguzi ambao wanakwenda kusimamia uchaguzi mdogo katika Kata 23 za Tanzania Bara yaliyofanyika kwa siku tatu mkoani Morogoro. Uchaguzi unataraji kufanyika Machi...
  19. B

    Mradi wa mwotaji sasa kuwezesha vijana balehe kujikinga dhidi ya virusi vya UKIMWI

    Na Mwandishi Wetu, Michuzi TV MRADI wa kuangalia namna bora ya kutumia maduka ya dawa katika kutoa dawa za kujikinga na maambukizi ya Ukimwi hasa kwa vijana hasa wa kike utakwenda kupunguza kasi ya maambukizi ya ugonjwa huo kwa vijana hao. Akizungumza wakati wa kikao cha wadau kutambulisha...
  20. B

    Taasisi ya CRDB Bank Foundation kushirikiana na TCDC, TMX na Tume ya Ghala kuinua biashara ya mazao nchini

    Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Tully Esther Mwambapa, Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Asangye Bangu pamoja na...
Back
Top Bottom