Search results

  1. FrediusSnowden

    Mashoto Tukutane hapa.

    [emoji23] [emoji23]
  2. FrediusSnowden

    Mashoto Tukutane hapa.

    Swali la mwisho tafadhali.
  3. FrediusSnowden

    Mashoto Tukutane hapa.

    Mkono wa mwili.
  4. FrediusSnowden

    Antony Komu na Said Kubenea waivua nguo CHADEMA

    Naona wasanii waigizaji wa sauti wanapambana.. Kwelikweli..
  5. FrediusSnowden

    Majibu gani hupendi kuyasikia ukiwa unatongoza

    Hehee.. Wakuu shemeji yenu anaendelea vizuri.. Nitawaletea mkasa na varangati lake.. Kuna mmoja alinijibu "mimi nina tu wangu".. Kwa bashasha na jeuri nikamwambia, "unadhani mimi sina mtu wangu?" nikatoa simu na kutafuta selfie moja akiwa amenibusu (yaani wife) nikamuonesha kisha nikamwambia...
  6. FrediusSnowden

    Gazeti la UHURU Desemba 14: “Hali inaruhusu vyama vingi nchini – Nyerere.”

    Kama unakumbuka vizuri mnamo DESEMBA 13 mwaka 1991 Mwalimu Julius Nyerere alizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake Msasani, Dar es Salaam, juu ya kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa nchini ambao ulianza mwaka 1992. Baada ya mazungumzo yale pale nyumbani kwake, Siku iliyofuata...
  7. FrediusSnowden

    Kati ya Madiba na Mwalimu nani alikuwa zaidi

    Mwalimu alikuwa zaidi. Na Wazungu walimu-undermine makusudi dhidi ya Madiba.
  8. FrediusSnowden

    Gazeti la UHURU Desemba 14: “Hali inaruhusu vyama vingi nchini – Nyerere.”

    Kama unakumbuka vizuri mnamo DESEMBA 13 mwaka 1991 Mwalimu Julius Nyerere alizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake Msasani, Dar es Salaam, juu ya kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa nchini ambao ulianza mwaka 1992. Baada ya mazungumzo yale pale nyumbani kwake, Siku iliyofuata...
  9. FrediusSnowden

    Usiyoyajua Kuhusu Nyerere: Shuleni Alikuwa Toto Tundu!, Almanusura Afukuzwe Tabora School!.

    Kuna habari juu ya miujiza ya fimbo ya Mwalimu Nyerere. Moja ya muujiza huo ni juu ya kijana mmoja aliyekuwa mtundu sana shuleni na nyumbani. Kijana huyo siku mwalimu Nyerere alipotembelea shuleni kwao walimu wake walimsemea kwa Nyerere. Basi mwalimu alimuita kisha akamgusa na fimbo yake huku...
  10. FrediusSnowden

    Inaitwa zoea nanga kabla haijanoa; mwanasiasa sio tunda bado tunangoja.

    Wasalamu, Ngoja ngoja inang'ata taifa ila bado hatujashtukia. Matusi mengi tunapewa na kuambiwa kwamba kizazi hiki ni cha mjusi; bado hakijasimama kijasiri kupigana. Niwazi kwamba moyo huu bado hauna tiba! Je kuna saa moja uliona muda ni mwanaharamu hauna maana kwa zama hizi? Pale mwanasiasa...
  11. FrediusSnowden

    Mwanadamu anatawaliwa na falme mbili

    Umenifanya nifikiri kwa kina; wale ambao huvaliwa na mizimu na kuagua watu. Wanaangukia wapi?
  12. FrediusSnowden

    Wakati nyie mkiendelea na siasa zenu chafu za makontena ya Makonda...

    Sina shaka na Dr Mahiga, je lugha ya Prof ni moja? Mabere angeliweza saidia. Sent using 5th Avenue Madson, NY758, USA
  13. FrediusSnowden

    Wakati nyie mkiendelea na siasa zenu chafu za makontena ya Makonda...

    Newt si mtu wa kupuuza. Nikikumbuka namna alivyofanya kampeni za Trump kwenye kitengo cha mikakati, si haba. Sent using 5th Avenue Madson, NY758, USA
  14. FrediusSnowden

    Taarifa Muhimu kwa JF!.

    Mchana rafiki yangu Bakari Juma alikula kitimoto na ugali..! Sent using 5th Avenue Madson, NY758, USA
  15. FrediusSnowden

    South Africa: Julius Malema ataka Kiswahili kiwe lugha moja Afrika nzima

    Mkuu, hivi matibabu ya Thereliosis yameshuka bei? Sent using 5th Avenue Madson, NY758, USA
  16. FrediusSnowden

    South Africa: Julius Malema ataka Kiswahili kiwe lugha moja Afrika nzima

    Hapana. Labda wewe, Dr Kadeghe na wengine... Sent using 5th Avenue Madson, NY758, USA
Back
Top Bottom