Search results

  1. ligema274

    Uvunjaji Msikiti kwa kuvizia maana yake nini?

    Acha UJINGA,msikiti ni JENGO.
  2. ligema274

    Tetesi: Siku 7 Zijazo Mbunge Mwingine wa Babati kutimkia CCM

    Chadema sasa WANAKACHA chaguzi ndogo,cjui uoga wa KUINAMISHWA????[emoji16]
  3. ligema274

    Mbunge wa Mbozi Magharibi(CHADEMA), David Ernest Silinde kuweka msimamo wake bayana hapo Kesho

    Kama hukumchagua kwa kufuata mkumbo ,HUTAMWELEWA[emoji28] Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  4. ligema274

    Katibu wa Bunge ahoji haki za matibabu ya Lissu

    Nairobi alikokwenda siyo Rufaa ya Kisheria ya Matibabu ya Wabunge. Tukumbuke ni nani aling'ang'aniza apelekwe Nairobi,huku akijua na aliambiwa na Spika kuhusu hilo,na baada ya kuhakikisha pesa ya michango imeisha akarudi na kutangaza kuwa "..sisi kama chama tumemaliza majukumu yetu na hatua...
  5. ligema274

    ARUMERU: Mbunge Nassari anusurika kuuawa kwa risasi na watu wasiojulikana. Wammiminia risasi kama mvua Nyumbani kwake

    Mmh km siamini hivi,maana jamaa kwa 'Film Making' hawa..[emoji28]
  6. ligema274

    Nani anafaa kupata kiti cha uenyekiti UVCCM?

    Nina Imani wewe ndiyo Muongo na Cheap Propagandist,huo umri unaoujua wewe kama mzazi na ambao CCM wanaujua ndiyo ULIOCHUNGUZWA. CCM haifanyi kazi kwa kelele za MITANDAONI viko vyama ndiyo kazi yao wale ambao ufunguzi wa kampeni 2015 jangwani mgombea akasema Ilani mtaisoma mtandaoni. Kifupi...
  7. ligema274

    Uhuru Kenyatta amemtoa Rais Magufuli knock out! Ushauri wa bure kwa Rais Magufuli

    Humu JF ukitaka kuwajua vichaa wala hupati shida japo watatia maneno ya kimombo ya "impulsive directives ",bado ni vichaa tu sijui wanapotaka UTAWALA BORA unaofuata KATIBA&SHERIA sijui wanataka huo UTAWALA UWEJE... KENYA wana lipi la kujivunia kwa Tanzania? Huyo Kenyatta kuingia kwake Ikulu...
  8. ligema274

    Nani anafaa kupata kiti cha uenyekiti UVCCM?

    CCM inajua kuchambua wagombea wake VIZURI kuliko chama CHOCHOTE Tz na Afrika,uzuri ni kuwa kila aliyemba nafasi kipindi hiki ALIFUATILIWA na MAJIBU kawekewa kwenye FAILI.
  9. ligema274

    Wema wa Kenya ni Hatari kwa Tanzania (nimeelewa kwanini Rais Magufuli hakwenda Nairobi)

    Huyo baba'ke alipopata tu Urais baada ya Uhuru alinyang'anya Ardhi masikini na kujipa yeye na familia yake kiasi kwenye kampeni za 2013 ndiyo ilimpa shida kuwa awarudishie walionyang'anywa na baba'ke akaahidi kurudisha na hakurudisha. AMBAYE HAJAFIKA AU KUKAA KENYA atadhani UHURU kaongea la...
  10. ligema274

    Mange atoa tetesi za Wema na mama yake kurudi CCM

    KUNA WATU WANAMWAMINI SANA MANGE JAPO HAJAONGEA YEYE,YAANI TAYARI ANAJADILIWA KABISA NA HICHO KILICHOANDIKWA KWA VILE KINAITUKANA CHAMA BABA-LAO BASI MTU BILA KUFIKIRI UTIMAMU WAKE WA AKILI ANAANZA KUJENGA HOJA...HII NI SHIDA
  11. ligema274

    Usalama wa Taifa hutangaza nafasi za kazi ila sio direct kama watu tuvyofikiria

    Nijuavyo humu unapotoa hiyo mnaita UZI,basi mtoaji ana lengo la kuelimisha kile ambacho hakijulikani au kinajulikana kwa maana tofauti ilhali maana halisi ni nyingine. Huyu bwana sikuwa nampinga alivyoanza habari yake na kuimaliza ndiyo kaivuruga,hapo ktkt alipoongelea kupiga picha vijana na...
  12. ligema274

    Usalama wa Taifa hutangaza nafasi za kazi ila sio direct kama watu tuvyofikiria

    Sasa UMEHARIBU hapo mwisho "..haya ni MAWAZO YANGU...",tafsiri yake ni kwamba wewe ndiyo IDARA.... Ungepaswa kusema kuwa ndivyo ifanyavyo IDARA. KIUJUMLA maelezo yako umeyapa UHALALI wa KUTOAMINIWA.
  13. ligema274

    Jameni Watanzania hili jipu la kujaza ombaomba wenu Kenya mlitumbue

    No Wakenya hao WAMERUDI kwao walikuja TZ miaka ya 1970's
  14. ligema274

    Simon Mathias Kipala tumaini jipya UVCCM mpya

    Ni kweli ila KIPINDI hiki MGOMBEA haangaliwi kwa MTINDO huu,yaani UCHUNGUZI na VIGEZO wapo WANAOVIFUATILIA kuliko UFIKIRIAVYO. Hii ya KUSIFIANA mitandaoni sio ya CCM,waachiwe waleee WASIOJUA SIASA na pia yaweza Kuwa kigezo cha KUMHARIBIA ASICHAGULIWE.
  15. ligema274

    Kailima Ramadhan: Uchaguzi 2015 ulikuwa huru na wa haki, CHADEMA imeshindwa kihalali! Hakuna upendeleo kwa CCM, NEC ni Tume huru

    MAYALLA!Humu JF kuna lundo la Watoto wasio na Adabu ambao hujihisi wana UELEWA,kumbe ni MAZUMBUKUKU ULIMWENGU UKO HUKU. Mahojiano uliyapeleka vizuri na UFAFANUZI wa MKURUGENZI KAILIMA tumeuelewa. Hawa WATOTO wa UMRI na AKILI kimsingi bado hawajagundua kuwa kwa kipindi tulichopo,MBOWE chama...
  16. ligema274

    Itifaki ikoje kati ya Mkuu wa Mkoa na Makamu wa Rais katika kufika sehemu?

    Busy na Itifaki..basi kama uliangalia vyema kwenye kunyanyuka jukwaa kuu ni nani alianza kunyanyuka kwenye kwenda kukata Utepe?
  17. ligema274

    Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Kawaida kuna Wakala Msaidizi iwapo mmoja ana tatizo2
Back
Top Bottom