Search results

  1. C

    Mwili wa Dkt. Mwele Malecela wawasili Tanzania ukitokea Uswisi

    Mzee malecela ana watoto wangapi
  2. C

    Wataalamu wa Madatabase pamoja na system tupo

    Naomba kujua kama unajua gates mfano paypal inayotumika na charity organisations Tanzania kwa ajili ya donation online kwa kutumia credit card.paypal Tanzania inasema ni sender only na sio receiver
  3. C

    Lissu atakuwa mkubwa zaidi akitoka hospitali

    Lisu atakuja kuwa Raisi wa Tanzania
  4. C

    Kama una NGO ya mambo ya kijamii Njoo PM

    Mimi ninayo kama unaweza nitumia e-mail
  5. C

    Lubuva: Kufutwa Uchaguzi Zanzibar, hakuhusiani na Tanzania nzima

    Kikwete huu mtandao ni hatari usipoangalia utakumaliza hutaki unaacha
  6. C

    ENL, CHADEMA na UKAWA, Tuyakubali Matokeo!, Tushukuru Kwa Yote!, Life Goes On!.

    Umeongea point mkuu chukua like 200 hao hao wakiwa wagonjwa muhimbili wameshindwa wanaomba Msada wa hela kwenda india
  7. C

    ENL, CHADEMA na UKAWA, Tuyakubali Matokeo!, Tushukuru Kwa Yote!, Life Goes On!.

    Umemjibu vizuri mkuu chukua like 1,000
  8. C

    Katiba kwanza uchaguzi baadaye

    Mbowe na viongozi wa ukawa hii ni Kweli huu ndio uwe uchaguzi wenu wa mwisho kushiriki mpaka tuwe na katiba mpya na tume huru.
  9. C

    Kikwete, Lowassa na Magufuli kuandika historia

    Hataki unaacha kikwete huu mtamdao ni hatari usipoangalia utakumaliza karibu yanatimia
  10. C

    Watoto wafanyiwa unyama gerezani

    mhhh mungu atuhurumie kwa kweli
  11. C

    Mkono akubali kufukuzwa CCM!

    watu wa musoma wameamuka sasa wanataka kujua nini kimemua nyerere mhhhh
  12. C

    Gabriel Zakaria on CCTV

    mkuu hata mimi nimeona hili tatizo sio kiingereza kibaya tatizo ni point alizotoa kwamba africa tunategeme china na hutuwezi lolote bila china hili tusi kwetu, china wametusaidia kwenye infrastructure its true lakini angalia barabara zilizojengwa hao watu hazina uimara wowote in short china kwa...
  13. C

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

    umeeona ee mkuu hii kitu ni hatari sana najiuliza kwa nini hawa watu hawakufikiria na kujiuliza nana kamuurika rostam na kwa nini yupo peke yake mtanzania
  14. C

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

    huyu ndio rostam bwana tutaona na kusikia mengi juu yake. ila mungu yupo huu mtandao wake na hao usa una mwisho. time will tell
  15. C

    Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!

    siku si nyingi mtasikia pengo si raia wa tanzania kama watashindwa hili la madawa. hii serikali kazi yao kupakazia watu kesi nashindwa kuiamini hii nchi yetu kwa sababu watu wakifichua uovu tu wanapakaziwa kesi naweza amini kweli pengo anasingiziwa kwa sababu ya 1.kuna kipindi ulimwengu aliongea...
  16. C

    Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

    duu makubwa haya naona dr amezeeka glafla
  17. C

    Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    kwani wakuu maandamano ni lini leo au kesho naona ****** anazidi jitanua huko mara kaenda kufungua soko la hisa marakapewa zawadi za heshima tunawaomba jamani maandamano yafanyike tupo nyuma yenu
  18. C

    Soko la SIDO (Mwanjelwa - MBEYA) linateketea kwa moto sasa hivi

    Soko kubwa la CIDO mbeya linawaka moto toka asubuhi na vifaa vya kuzimia moto hamna mpaka dakika soko lote ninaziditeketea
Back
Top Bottom