Search results

  1. Aladeen04

    Hili la kuhusu usalama wa pesa za pensheni za Wastaafu limekaaje?

    Heri ya nanenane kwenu nyote mtakaopitia uzi huu. Ndugu zangu kwa sasa wazee wetu wastaafu wanapitia suala gumu sana linalohusiana na kikokotoo malalamiko yapo kila pahala. Nina imani Serikali yetu sikivu inasikia na inafanyia kazi jambo hilo ili wazee wetu wapate stahiki zao zote bila...
  2. Aladeen04

    RATRA yakanusha Naulli za Magari zinazo sambaa mitandaoni

    Kuna ukweli hapa? Maana hata signature hakuna. https://www.jamiiforums.com/threads/mpaka-sasa-baada-ya-hizi-nauli-mpya-na-tozo-tunasemaje-kuhusu-mama.1890761/
  3. Aladeen04

    Lengo la kuanzisha hifadhi ya Burigi - Chato lilikuwa ni nini?

    Wakubwa zangu habari ya majukumu? Leo katika kuangalia Channel yetu ya kizalendo Tanzania Safari Channel kuna documentary inaelezewa ya wanafunzi wa Chuo cha Mwika ambao wamepelekwa kwenda kufanya utafiti kule hifadhini, kiuhalisia mpaka sasa naona vijana wa watu wamepelekwa kuteseka kule kwa...
  4. Aladeen04

    Nafasi ya kazi ya saloon Morogoro

    Habari.. Ninahitaji binti kwa ajili ya kazi ya saloon ya kike saloon ipo chuo kikuu mzumbe(Morogoro) sifa kuu awe na nidhamu na ajue kusuka mitindo mingi Mwenye uhitaji ani PM tafadhari kwa maelezo zaidi. Ahsanteni.
  5. Aladeen04

    Fursa ya biashara Uvinza-Kigoma; watumiaji wa vilevi hawana sehemu thabiti ya kukidhi haja zao kutokana na uchache wa bar

    Habari wakuu, Naandika uzi huu kutokana na kero nilizokutana nazo siku ya leo hapa wilayani Uvinza mkoa wa kigoma Nimetembela wilaya ya uvinza katika majukumu ya kikazi na harakati za maisha kwa kweli wakazi wa hili eneo hasa wapenda na watumiaji wa vilevi hawana sehemu thabiti ya kukidhi haja...
Back
Top Bottom