Search results

  1. S

    Baadhi ya Wazanzibar wanaioshi nchini Ubelgiji wamtembelea Tundu Lissu na kumjulia hali

    Hata Lisu kaenda Belgium na Urais wake. Huyu ni Raisi wa Tanganyika Law Society. Halafu wazungu kwao siasa ni maisha siyo hii ya sishonje siasa kwake ni uadui.
  2. S

    Kilichomtokea Kingunge kinaakisi maneno ya Katambi

    Kingunge alisema ccm ni chama chake alichokijenga ila amekiacha na pamoja na kukiacha bado hakithubutu kwenda tifauti na yeye. Sasa huyo sishonje wenu kama kawaida yake sijui alifikiri mzee kingunge anakufa akaanza kumuingizia maneno mdomoni
  3. S

    Magufuli hakupunguza ukubwa wa Serikali, ameongeza

    Bado teuzi zitafanyika sana tu si alisema anataka kuwaridhisha wasukuma wote?
  4. S

    Mashuja 10 wa taifa la Tanzania kwa mwaka 2017

    Tanzania hakuna shujaa kama Tundu Lisu na Freeman Mbowe
  5. S

    Tanzania ina wazalendo wanne tu wa kupigiwa mfano, ambao ni Nyerere, Kawawa, Sokoine na Magufuli!

    Mkapa na magufuli walikuwepo na ndio waliowasilisha hoja. Huu uchafu na mengine mengi ndiyo uliowafanya sumaye na Lowasa kukimbia CCM
  6. S

    Tanzania ina wazalendo wanne tu wa kupigiwa mfano, ambao ni Nyerere, Kawawa, Sokoine na Magufuli!

    Magufuli siyo wala hayupo katika kundi la wazalendo wa nchi hii
  7. S

    Kitendo cha Rais Magufuli kutoshiriki katika kuwaaga Makamanda 14 wa JWTZ waliouawa DRC...

    Jamani mkuu leo alikuwa ana mazungumzo na Dr Mollel wa Siha kumshawishi ili ahamie ccm kwake hili ni muhimu kuliko kuwaaga wanajeshi wetu
  8. S

    Yaliyojiri Kuagwa kwa miili ya wanajeshi 14 wa Tanzania, Makao Makuu ya Jeshi Ngome Dar es Salaam

    Hivi hawa askari wote wanaweza kuwa wasukuma? Au ni mchanganyiko na wakuriya
  9. S

    Mkuu wa mkoa wa Manyara kuharibu uchaguzi wa marudio Meru. Aandaliwa gari la kuzungukia vituo vya kura

    Hakuna shaka tena kwamba chama cha mapinduzi kupitia makada wake mkuu wa mkoa wa Manyara Bw Alexander Mnyeti na mwenake Mirisho Gambo wa Arusha pamoja na jeshi la polisi wamejipanga kuharibu uchaguzi wa Marudio kwenye baadhi ya kata katika mkoa wa Arusha. IGP Tunaomba kauli yako kuhusu watu...
  10. S

    Mkuu wa mkoa wa Manyara kuharibu uchaguzi wa marudio Meru. Aandaliwa gari la kuzungukia vituo vya kura

    Tumejipanga vyema na aje tu. Tumeandaa chain saw ża kutosha hapa ndiyo tutawaonyesha meru inafananaje
  11. S

    Anna Mghwira: Magufuli hakunitema lakini ACT Wazalendo Walinisaliti na kunitema Waziwazi, siwezi kuwang'ang'ania

    Huyu mama kigeugeu mbona profile yake ya fb inaonyesha bado ni mwenyekiti wa ACT
  12. S

    Mkuu wa mkoa wa Manyara kuharibu uchaguzi wa marudio Meru. Aandaliwa gari la kuzungukia vituo vya kura

    Ni masikitiko makubwa sana Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexander Pastory Mnyeti amepanga kuvuruga uchaguzi wa marudio utakaofanyika kesho tarehe 26 November 2017. Kwa kujua kabisa kuwa anavunja kanuni za utumishi wa umma mkuu huyu wa mkoa amepewa gari ya binafsi ambayo ni mali ya mwanasheria...
  13. S

    Mbweni, Dar: Mkutano wa CHADEMA wavamiwa, watu kadhaa waumizwa, Polisi walikuwepo

    Mambo mengine yanastahili kuongelewa na watu wasiokuwa na akili kama wewe tu. Hizi post zenu kuna siku zitageukia upande wako . Mpuuzi kabisa
  14. S

    TRA, wafanyabiashara wana temper na EFD machines

    Huyu lazima atakuwa ni msukuma tena wa Chato
  15. S

    Mugabe ameitisha mkutano na baraza la mawaziri Jumanne

    Na kesho anaweza kuvunja baraza la mawaziri. Mugabe siyo muchezo
  16. S

    Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa wilaya ya Chato mkoani Geita

    Huyo ndiye mzuri. Wewe ulishawahi kuona mchawi anamloga mtu wa mbali? Halafu umesahau ule usemi kikilacho ki nguoni mwako?? Mchawi siku zote analoga ndani ya familia yake.
  17. S

    Freeman Mbowe, Godbless Lema, Lazaro Nyalandu na John Mrema Wakutana kwenye Mazishi ya Mchungaji Look Mushi Hai

    Hivi mlitaka apige picha na wasukuma? Msukuma yupi kwa mfano. Sura ngumu kama mawe. Baba jesca mwenyewe hata chakula huwezi kula nae. Yaani yule akivua suti akavaa blanketi anakuwa kama mganga wa kienyeji. Hakuna msukuma mwenye personality ya kupiga picha na hizi namba wewe!!!!!
  18. S

    Nyalandu kupeperusha bendera ya CHADEMA Arusha mjini 2020

    Mpuuuzi mjinga kabisa mtoa post
Back
Top Bottom