Search results

  1. mzeefursa

    Kamwe usikate tamaa katika maisha yako

    Tumekuwa watu wa kukata tamaa kwa haraka sana. Kitu kidogo mtu akijaribu kufanya, akikutana na changamoto leo na kesho anakataa tamaa bila kujiongeza.... Nakushauri usome kidogo hapa Don’t Give Up Ili upate uamsho na moyo wa kutokata tamaa kwa haraka. Tupo pamoja >>Don’t Give Up >>Don’t Give Up
  2. mzeefursa

    Tanzania inaongoza kuzalisha misemo ya utani kila siku

    Katika kipindi hiki cha ujio wa simu za kupangusa(Ina maana smart phones). Mitandao ya kijamii imeshika nafasi kubwa sana kusambaza habari. Sio kama zamani tulikuwa tunategemea redio,magazeti na TV ili kupata habari,lakin saiv watu wengi hawategemei vyanzo hivo pekee kuwa ndo source ya habari...
  3. mzeefursa

    Maajabu ya Tanzania kwa utalii

    Tanzania ni moja ya nchi iliyobarikiwa na vivutio vingi sana vya utalii hapa duniani. Kwa utafiti uliofanywa kuna vivutio vingi sana hapa Tanzania lakini bado hatupata mwanya wa kujitangaza ipasavyo. Tanzania inatakiwa kujitangaza kwa nguvu zote katika utalii wake, kwani wageni wengi bado...
  4. mzeefursa

    Mambo ambayo Watanzania bado yanatukwamisha kimaendeleo

    Watanzania wengi wanapenda maendeleo.Lakin kupenda maendeleo sio kwamba ndo utaendelea. Maendeleo nchi yoyote yanahitaji kujitoa, uvumilivu, malengo na juhudi binafsi ili uweze kupata mafanikio. Sababu zinazofanya tuchelewe kupata maendeleo. Hatufanyi kazi kwa bidii na malengo- Hi sio kwamba...
  5. mzeefursa

    Natafuta namna nzuri ya kushinda tenda

    Hello wana Jamii forum... Jamani mimi nafanya kazi katika kampuni fulan hapa mjini lakin kila nikiomba tenda nakosa, wanapata washiriki wengine. Tafadhalini naombeni mbinu za kushinda na kuchukua tenda
Back
Top Bottom