Search results

  1. Chimulenge

    INAUZWA Jiko plate 2 linauzwa Tsh. 50,000/-

    Mkuu bado jiko lipo nina 40k
  2. Chimulenge

    Natafuta muuza mayai ya kienyeji aliyepo Dodoma vijijini.

    Vijijin kwenyewe yai wanauza 250 mpaka 300
  3. Chimulenge

    Natafuta muuza mayai ya kienyeji aliyepo Dodoma vijijini.

    Ahsante.. kwa hiyo bei huwezi kupata mkuu
  4. Chimulenge

    Natafuta muuza mayai ya kienyeji aliyepo Dodoma vijijini.

    Bei ndo hujaniambia boss, nimekupm
  5. Chimulenge

    Natafuta muuza mayai ya kienyeji aliyepo Dodoma vijijini.

    Unahitaji kiasi gani kwa siku, na ni biashara endelevu au ya muda?
  6. Chimulenge

    Natafuta muuza mayai ya kienyeji aliyepo Dodoma vijijini.

    Trey unanunua kwa bei gani mkuu?
  7. Chimulenge

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Ok mkuu, kilo ulisema bei gani? Unaweza kunimention kwenye huo uzi?
  8. Chimulenge

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Mshana Jr ulipata yale matairi ya gari na yale machafu yaliyokatwakatwa?
  9. Chimulenge

    Kama uko Dodoma una laki 6, kila siku nitakuzalishia 10000

    UPDATE NAWASHUKURU WOTE KWA MICHANGO YENU YOTE.. TAYARI NIMEMPATA MTU HIVYO SITAHITAJI MTU MWINGINE KWA SASA.. NAWATAKIENI MAJUKUMU MEMA KATIKA UTAFUTAJI WENU
  10. Chimulenge

    Kama uko Dodoma una laki 6, kila siku nitakuzalishia 10000

    Akifanikiwa mtu, ndo zile kauli uibuka yule hela zake freemason, ahaha
  11. Chimulenge

    Kama uko Dodoma una laki 6, kila siku nitakuzalishia 10000

    Ninachoweza kusema kuhusu ni kwamba umasikini ni kitu kibaya sawa, tujitahidi kukifukuza..
  12. Chimulenge

    Kama uko Dodoma una laki 6, kila siku nitakuzalishia 10000

    Si wote wana mawazo ya kuiba au kutapel tu, acha hizo mambo mkuu
  13. Chimulenge

    Kama uko Dodoma una laki 6, kila siku nitakuzalishia 10000

    Hapana mkuu sijawahi fanya hizo biashara... Yangu ni biashara ya kila siku
  14. Chimulenge

    Kama uko Dodoma una laki 6, kila siku nitakuzalishia 10000

    Ndiyo maana nikataka mtu aliyepo Dodoma ambae tutakaa nakumweleza.. na kumfikisha kwenye biashara husika
  15. Chimulenge

    Kama uko Dodoma una laki 6, kila siku nitakuzalishia 10000

    Kwasasa hapana mtu mmoja tu mkuu..
  16. Chimulenge

    Kama uko Dodoma una laki 6, kila siku nitakuzalishia 10000

    Pole sana mkuu, ni mipango tu ya mtu na mtu
  17. Chimulenge

    Kama uko Dodoma una laki 6, kila siku nitakuzalishia 10000

    Kama upo dodoma naomba tuwasiliane
Back
Top Bottom