Search results

  1. Alex Gk

    Msaada jamani ku download kitabu kinachouzwa mtandaoni lakini mi niki download kwa free

    Naomba msaada wa kukipa hiki kitabu au link ya kudowload free "the neurascience of selling by Johnson Asher Pdf" Natanguliza, Shukrani
  2. Alex Gk

    SOMO LA BURE: Namna ya kuagiza bidhaa kutoka CHINA kwa ajili ya biashara (jumla) Kupitia Mtandao alibaba kwa kutumia simu yako

    Elimu bila mipaka kongole MASTERCHIEF 255 umetoa tongo tongo wengii sana humu. Tunasubiri kuona matangazo ya biashara tu
  3. Alex Gk

    Fursa ya safari ya kibiashara China (kwa wajasiriamali wenye mitaji midogo)

    Safari ijayo tutakuwa wote. Ngja nuandae hati za kusafiria Mkuu Mshana Jr Binafsi ni nipongeze timu nzima ya maandalizi na kwako kama pilot wa hii Idea. Hii inaleta ushirikiano wa kujikwamua kiuchumi sana. Msisahau kutuletea, Bidhaa moving kwenye soko na bei ya huko. Hayo mengine wasalimieni...
  4. Alex Gk

    Ajira za ualimu lini mwenye fununu.

    Kuna lolote huko limetangazwa wenzetu mnaoishi mji wa serikali MTUMBA?! Kama ni January tupeane tetesi tuone namna ya kushiriki hii Drama
  5. Alex Gk

    Ni bidhaa gani naweza kuziuza nikiwa na gari au Bajaji, Gari Duka

    Embu nikae kwa kiti kwanza tujadili Mkuu
  6. Alex Gk

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Mkuu ninasab woofer hapa aina ya ABORDER. Sasa hivi majuzi ilikwama ghafla ikawa inapiga tweeter peke yake. Bass na main speaker vilikata Kabisa. SASA kuna fundi hapa nilimpelekea... Cha ajabu Maneno yamekuwa mengi mara tusuke kipande kusaport bass, mara tununue power IC. Nikampa Pesa ya vifaa...
  7. Alex Gk

    Online Tv

    ONLINE TV Wadau NDUKI ampojoter4 Mshana Jr Majukumu ya maisha yananipeleka mbio mno. Nadhani niliahidi kuwa nitatoa mapendekezo ya vifaa na gharama zake. Hivyo, nimependekeza vifaa hapo chini kwenye picha au PDF file ambayo itapanda haraka hapa. Bajeti ya M. 7 inatosha Kabisa kuwa na...
  8. Alex Gk

    Namna Watanzania wanavyotapeliwa na Waganga wa Kienyeji nchini Kongo

    Hii story kiboko. Kwaiyoo Jenter ndiyo mlimtupa Kabisa.
  9. Alex Gk

    Namna Watanzania wanavyotapeliwa na Waganga wa Kienyeji nchini Kongo

    Bado Safari inaendelea tu...
  10. Alex Gk

    Online Tv

    Nashukuru sana mkuu. Tupo barabarani tunavuta gurudumu litufikishe mahala.
  11. Alex Gk

    Namna Watanzania wanavyotapeliwa na Waganga wa Kienyeji nchini Kongo

    Kwakwelii master hii nayo ni Zaidi ya moto wa kuotea mbali
  12. Alex Gk

    Namna Watanzania wanavyotapeliwa na Waganga wa Kienyeji nchini Kongo

    Kwakwelii master hii nayo ni Zaidi ya moto wa kuotea mbali
  13. Alex Gk

    Online Tv

    Chief Mshana Jr nipo Safarini nipatapo wasaa mzuri nitajitahid kukupa quotation yake.
  14. Alex Gk

    Online Tv

    Nisubiri nitulie leo niko safarini. Nitakupa quotation ya jumla gharama na namna ya kuvipata hivyo vitu uanze kazi.
  15. Alex Gk

    Online Tv

    Ngoja nitulie mkuu nitakujibu hapa hapa. Nipo safarini hapa. Nikifika nitakupa quotation yake.
  16. Alex Gk

    Online Tv

    Tcra huko usiwaze sana kabla ya KAZI. Kodi huanza kulipwa pale unapoanza kuona mafanikio. Kama kuna madhui yanayoigusa Serikali ndiyo itakuwa balaaa. Ila kwa sasa tafuta vifaa anza KAZI, maana wengi huishia njiani na ndio HIVYO na kodi ishalambwa na Serikali Mkuu. Ingia mzigoni. Kuhusu vifaa...
  17. Alex Gk

    Online Tv

    Hivyo vifaa vyenyewe unavyo au ndio mipango kwenye maandishi bado.
  18. Alex Gk

    Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    [emoji433][emoji3578][emoji124][emoji120]
  19. Alex Gk

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Na je tangu uende kwa yule Shekh, ukaenda sumbawanga.... "Utakufa kifo kibaya sana wewe" hii ilikuwa SMS ya Ally Mpemba, vipi hakukutafuta tena tangu zile pilika za kujinasua ulizokuwa nazo??
Back
Top Bottom