Search results

  1. evart

    Nahitaji chumba cha kupanga Sinza mori

    Umofya kwenu, nahitaji chumba cha kupanga Sinza Mori maana pana potential kubwa sana kwa Dar bei 5000 mpaka120000 Asanteni
  2. evart

    Tabia ya watu wazima kubusu watoto wadogo mdomoni imetoka wapi?

    Habari kwenu mabibi na mabwana! Naandika mada hii nikiwa na hasira kali sana (nivumilie kwa lugha yangu). Hivi karibuni nimekutana na kitendo cha kishenzi kimenishangaza, kimenifedhehesha zaidi ya yote kimenipandisha hasira, yote ni baada ya kishuhudia jirani yangu aki-mkiss mtoto wa ndugu...
  3. evart

    Madam Ritta nakupenda una moyo mzuri

    Habarini! Nampenda huyu Mama ana moyo mwema sana ni mkarimu, anamoyo wa kujali vile vile ni mchangamfu hata kwa mtu asiye mfahamu. Katika sanaa ya Tanzania kainua vipaji vingi sana sote tunajua hilo ni mchapakazi mzuri, mpenda amani asiye na makuu na yeyote. Wabaya wachache wanajaribu...
  4. evart

    Madam Ritta na team yote ya BSS pigeni moyo konde yote yatapita

    Habarini wana JF ni matumaini yangu mpo wazima kabisa katika kipindi hiki cha karantini tuendelee kuchukua tahadhari. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Kwenu madam Ritta na timu nzima ya BSS kwanza niwapongeze kwa kazi kubwa mliofanya na mnayoendelea kufanya ya kuinua vipaji...
  5. evart

    Mwanamke kuonesha ishara ya dole la kati ni ulimbukeni uliotukuka

    Habarini ninyi nyote kokote mliko. Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa nikishuhudia wimbi kubwa la wanawake wa umri 18-30 yrs kuonesha ishara ya kidole cha kati hadharani kabisa bila aibu, kiukweli hii ishara sio nzuri katika maadili yetu kwa jinsia zote hasa inapooneshwa na wanawake...
  6. evart

    JamiiForums Usiku wa manane

    Mfyuuuuuuuuuuuuuuu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. evart

    JamiiForums Usiku wa manane

    Mfyuuuuuuuuuuuuuuu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. evart

    JamiiForums Usiku wa manane

    Mfyuuuuuuuuuuuuuuu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. evart

    Gladness Kifaluka: Siwezi kumwacha mwanaume kisa amechepuka

    Kutoa maoni Sent using Jamii Forums mobile app
  10. evart

    Gladness Kifaluka: Siwezi kumwacha mwanaume kisa amechepuka

    Kwani ku comment mpaka uitwe? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. evart

    Fredwaa (Fredi Fidelis) forgive, forget and move on? PB imepoaaa

    Poleni Sana mnaosikiliza redio narudia tena poleni sana Information ziko kila mahali haina haja ya kukaa kusubiri upangiwe na mtangazaji cha kusikiliza/kufahamishwa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. evart

    Fredwaa (Fredi Fidelis) forgive, forget and move on? PB imepoaaa

    Redio ni Mambo ya kizamani Sent using Jamii Forums mobile app
  13. evart

    Gladness Kifaluka: Siwezi kumwacha mwanaume kisa amechepuka

    Who cares? Sidhani kama hii taarifa inatuhusu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. evart

    Mwenye simu anayeuza aniPM

    iPhone 6+ 420000/ Sent using Jamii Forums mobile app
  15. evart

    Kama una hela huwezi kuishi Dar | Mji wa kishamba sana

    Mbeya kumepangwa? Tangu lini? Sent using Jamii Forums mobile app
  16. evart

    Why Ruiru is Kenya’s sixth most populated urban area

    Ptuuuuuuuuuuuuuh Sent using Jamii Forums mobile app
  17. evart

    Salma Dakota wa TBC rasmi amejiunga na Wasafi Media

    Hayatuhusu Sent using Jamii Forums mobile app
  18. evart

    Rayvanny afichua siri ya Harmonize kuondoka WCB

    Watajijua wao kwa wao Huyatuhusu Sent using Jamii Forums mobile app
  19. evart

    Fredwaa (Fredi Fidelis) forgive, forget and move on? PB imepoaaa

    Huelewi kivipi? Sent using Jamii Forums mobile app
  20. evart

    Dar leo kama Arusha sio kwa baridi hili

    Picha ya nini na wewe mfyuuuuuuuuuuuuuuu dada? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom