Bado wanachuja ili wale wa CCM waweze kupewa first priority kwa hiyo wale wa vyama vingine hasa CDM waandike maumivu kwa kuwa wanaogopa kuwachagua wataenda kuandamana huko vyuoni
Home
Profile
Account
Wall
Info
Friends
Friends (7)
Justina Shauri
Dickson Bisile
Frederick Majaliwa
Markus Borner
Janeth Abbu
Thomas Didimu
Elieka Saanya
Report/block this person
Message
Job NdugaiAdd Friend
Has worked at BungeStudied at University...
CV yake hii hapa.
GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
First Name:
Job
Middle Name:
Yustino
Last Name:
Ndugai
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Kongwa
Political Party:
CCM
Office Location:
P.O. Box 64, Kongwa - Dodoma
Office Phone:
+255 762 605 951/+255...
Yani huyu NDUNGAI namchukia kupita maelezo, anajiona yeye ndio yeye na anaona Tanzania nzima hakuna anejua sheria kama yeye.Huwa ana ubabe sana kwa wapinzani na ushabiki wa wazi wazi na usiokuwa na maana kwa CCM.Yani ni afadhali makinda kuliko huyu kibaraka anaejiskia na kujiona ni mbabe.Kuna...
Wewe inaonekana unafanya kazi serikalini,kwa kuwa serikali unaweza kuishi bila kutegemea mshahara (posho hazikosekani) mi nakushauri nunua gari ya maana na imara.Nunua RAV 4 old model utaitumia hadi uta-ejoy maana si gari inayosumbua na hata kwa bahati mbaya ikila mzinga haiumii sana tofauti na...
Kuna wale wanokuwa usingizini ila wakisikia tu wanaoafiki waseme NDIYO wanakurupuka unaskia NDIYOOOOOOOOOOOO bila hata kujua huyo ndio effect yake ni nini
Nyingine hii hapa,imetokea jana.Kila mwezi jamaa lazima watambike........
Ndugu , Habari za Uhakika toka Kasulu Basi la Sumry lililokuwa linatoka Kigoma kuelekea Arusha limepata ajali jana asubuhi na kuua huko kasulu.Habari ni confirmed kwa sababu mm mwenyewe nimepoteza jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.