Search results

  1. mwanawande

    Ndege ya Emirates imepata dharura, kutua Dar

    HIMARS ndio wale wale wa sky chefs
  2. mwanawande

    Hili ni tatizo gani, Nimsaidiaje?

    Bange mbaya sana ukiianza
  3. mwanawande

    Watu watano wafariki dunia katika ajali ya gari la abiria na la mizigo jijini Dar es Salaam

    Poleni sana wafiwa ndg na jamaa popote walipo mwenyezi mungu azilaze roho za marehemu mahali Pema peponi.
  4. mwanawande

    Nimeolewa ila huyu mkaka mbaya sana

    Nimegundua,kujiita mtoto ndio anakuwa na akili za kitoto kweli.
  5. mwanawande

    MAJARIBIO Hatari kumi ambayo Rais Magufuli na Serikali yake waliyokumbana nayo na jinsi yalivyozimwa kishujaa

    Agiza mirinda nyeusi naja kulipa kiongozi. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mwanawande

    Kuna baadhi ya maneno mwanaume hutakiwi kuyatumia

    Inategemea umekulia kinondoni, temeke au chato Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mwanawande

    Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

    Najaribu kufungulia stesheni za redio 80% zinapigwa ngoma za singeli tena za matusi ndani yake,jamani Raisi katangaza mfungo kwann hizo stesheni zisijarbu kupiga ngoma hata za wenzetu taswida au Gospo ambazo zitamkumbusha mtz kuwa ni kipindi kigumu tumwombe mungu wetu. Sent using Jamii Forums...
  8. mwanawande

    Air Tanzania tunaachwa na ndege abiria amesha-check in

    hapo Kuna mkono wa mtu wanataka kuharibu biashara mwenyewe kwa kutumiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mwanawande

    nauza simu samsung z2 70000

    Nitaipataje mkuu Napatikana mpanda Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mwanawande

    Kwanini wanajamii wa jukwaa hili wanaitana wakuu au mkuu?

    Wote ni wakuu yeye dogo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mwanawande

    Mtoto wa Ruge ni shidaa...

    Wewe sio warumi ni wagalatia Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mwanawande

    Irene Uwoya na Dogo Janja wazidi kudhalilishana

    Mapenz ya kisanii hayamuachi mtu salama Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mwanawande

    Kwanini tunawaita watoto wetu majina ya Kizungu/Kiarabu wakati wao hawawaiti watoto wao majina yetu?

    Wew mtoto wako muite Tabu awe anataabika mwanzo mwsho kisa jina la ukoo au muite maguf.. Awe mtumbua majipu kwa badae.
  14. mwanawande

    Wale mliokumbana na matusi kwa wadada mliojalibu kuwatongoza tukutane hapa

    Sipendagi kutishiwa eti, "niache nitakujibu vibaya". Namm nawaambia nijibu uone moto.
Back
Top Bottom