Search results

  1. mfukunyunzi

    Elections 2010 JAKAYA KIKWETE: utakomaa lini?

    hapo kwenye nyota embu andika tena kwa ubunifu wa kuacha space eg. ****** inakua mkwèré au m k were.
  2. mfukunyunzi

    Chuo cha Utumishi Mtwara: Ufuska, ngono, uchangudoa na uchafu mtupu

    Nikakutana na jamaa mmoja ambaye alikuwa na Girlfriend wake wa Utumishi lakini akashindwa Gharama za Kumhudumia (30-50 alfu kwa siku) na siku moja akaamua kwenda Gimbu achukue CD wa kujipoza naye akaopoa kitu saaaafi. Kufika ndani mwake si ni yule yule girlfriend wake wa Utumishi na leo dau...
  3. mfukunyunzi

    Kuna 'bifu' linaloendelea kati ya Madee na Afande Sele?

    kwani hujui upo jukwaa gani?!
  4. mfukunyunzi

    Nchi imemshinda na Chama chake kimemshinda; aombe wawekezaji?

    dah mpaka kakushawishi uanze kupenda taarab!
  5. mfukunyunzi

    Elections 2010 CCM waumbuka Bukoba

    :amen: :amen:
  6. mfukunyunzi

    Wezi wa kura wanapo pongezana............

    hapo kwenye nyota bila shaka ulikuwa una maanisha mkwèré?
  7. mfukunyunzi

    JK Kutangaza wakuu wapya wa Mikoa?

    :amen: :amen: I need a :ban:
  8. mfukunyunzi

    Kwa taarifa yako...

    nani tena sio mkwèré huyo? Naye ana kanda zake basi ****** ni noma. Usishangae hapo kwenye nyota nimeliandika jina lake na limefichwa.
  9. mfukunyunzi

    Jamani ACID nakulilia Rudi.. ulikimbilia wapi

    uporoto, chatu dume, ivuga
  10. mfukunyunzi

    Kuweka window/os zaidi ya moja kwenye computer kuna madhara?

    Wataalamu wa haya mambo naombeni msaada wenu tafadhali. Nilikuwa nataka kufahamu kama kuna madhara yoyote kwa computer endapo utaiwekea operating system au window zaidi ya moja. Kwa mfano uweke window xp na vista, linux na vista, au uweke zote tatu kwenye comp moja kama vile vista, ubuntu, na...
  11. mfukunyunzi

    CHADEMA yamweka hatarini Kikwete

    KIWAVI hiki, embu kisikilizeni mkisikie.
  12. mfukunyunzi

    Slaa pokea hoja hii

    :majani7: VIWAVI mna nini? Ya mkwèré yamewashinda mnabaki kutapa tapa. Kama vipi :ban:
  13. mfukunyunzi

    nifanye nini?

    anzisha mifugo au shamba la mfano.
  14. mfukunyunzi

    Mh Kikwete Kuwa Mkweli, Usidhani Tumesahau!

    Hiki nacho ni KIWAVI sema kina upeo kidogo tofauti na viwavi wengine, sema kimeharibu kusema eti Mkwèré kazushiwa kuwekwa kwenye list of shame, unadhani yeye anapenda kuzushiwa? Kama kazushiwa kwanini asiwapandishe kizimbani waliomzushia?! I need :ban: so that I can enjoy :majani7:
  15. mfukunyunzi

    Vyombo vya Habari Vimeihujumu na Kuipuuza Chadema!

    changieni kwa hoja kabla VIWAVI hawajavamia humu. :majani7:
  16. mfukunyunzi

    Baba Yangu Amebaka Housegirl-Mama Anataka Kuondoka!

    wazee wengine nao 70+ bado anataka afanye mambo ya kihuni! Huyo anatakiwa apewe :ban: ya kuishi uraiani.
  17. mfukunyunzi

    Boss kwa kiswahili tumwiteje?

    mkuu au mkubwa
  18. mfukunyunzi

    JK ni kweli kazaa na mtoto wa ROSTAM?

    mod where is :ban: ?
  19. mfukunyunzi

    Dovutwa amtetea Ridhiwani; awaponda Dr. Slaa na Mtikila

    mie naona huyo devota sijui dovutwa naye ni KIWAVI tu kinachoganga njaa tu :ban: :ban: :majani7:
Back
Top Bottom