Search results

  1. Ibnu Ayoub

    Natafuta mchumba (male) muislam

    Mtihaani
  2. Ibnu Ayoub

    otea nani alesema hivi?

    Nilisema hivi eeSiku mingi mnoo
  3. Ibnu Ayoub

    Is it true that KANUMBA Freemasonry WAS?

    ***** m2pu.
  4. Ibnu Ayoub

    Yu wapi Salama Kikwete?

    Alieleta Thread hajui anachokiulizia au amekariri habari za Maskani. hajui hata tofauti ya Salma na Salama Chunguzeni upupu wenu kabla ya kupost.
  5. Ibnu Ayoub

    Kikwete Hana Mchezo!

    Siasa bwana "Akifanya OOooh Msanii" Asipofanya mnaandamana Binafsi siwaelewi watanzania wa JF maana wamejaa uchama kuliko u Taifa. Upupu mtupu.
  6. Ibnu Ayoub

    Siri Imefichuka! Babu wa Loliondo ametumwa na Shetani

    nendeni wenye imani zenu, mkipona faida kwa taifa.
  7. Ibnu Ayoub

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahahaaaaaaaaaaaaaa
  8. Ibnu Ayoub

    Rais wa Gambia Yahya Jammeh anatibu ukimwi babu wa loliondo mwenzako huyoo

    Sijui ni lini Tutaelimika.kweli ya kaisari mpeni Kaisari, MASWALI LA MSINGI: Je dawa ya huyo RAIS ina masharti ya kiimani? Je amekubali ifanyiwe uchunguzi wa Kisayansi? But kama ina masharti ya kiimani au lazima akupe yeye mwenyewe au lazima mtu anywe hapohapo huo utakua upuuzi kama upuuzi wa...
  9. Ibnu Ayoub

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    He! kila siku babuuuuuu,babuuuuuuuuu, Kweli tutachelewa kuendelea.Waacheni wenye Imani zao waende,Wakipona Faida kwa Taifa wasipopona Hasara kwao.Wenyewe washawaambia ni masuala yanayohusu Imani zao,sasa kinachokuuma ni kitu gani wewe usiye amimi?Watu mnajaza Thred kibaaaaaaaaao,mawazo ni...
  10. Ibnu Ayoub

    otea nani alesema hivi?

    hahahahahahhahhaaaaaaaaaaa
  11. Ibnu Ayoub

    Mchungaji wa loliondo ametumwa na Mungu yupi?

    Sikubali wala sikatai.sijaelewa kinachofanyika loliondo wala sijashuhudia.Me yangu macho TU.
  12. Ibnu Ayoub

    Babu wa loliondo ayachanganya makanisa.

    Waislam tunafahamu kama Yahya Hussein is nothing but Mshirikina hilo neno Shekh lisikutishe jamaa msanii tu kama wasanii wengine na wafuasi wao ni mbumbumbu wasiojielewa na wasioelewa DINI pamoja na waliopoteza dira za maisha.
  13. Ibnu Ayoub

    Babu wa loliondo ayachanganya makanisa.

    Hiyo peoposss pawa inamaanisha nini? sio god power au?
  14. Ibnu Ayoub

    Kiboko ya Lowassa Afariki Dunia

    Kiboko wa lowasa kivipi?
  15. Ibnu Ayoub

    Tatizo ni ngozi nyeusi au uelewa mdogo? au ni elimu ndogo

    Samahani ivuga naomba ulifute Hilo neno Rangi NYEUSi maana linakuonyesha kama wewe unasuport Racism maana hata hao watu weupe wana uozo kibao. sio waarabu wala wazungu.Tunachotakiwa kufanya ni kutafuta way out sio mineno miiiiiiiiiingi halafu point ni 10%.
  16. Ibnu Ayoub

    Tatizo ni ngozi nyeusi au uelewa mdogo? au ni elimu ndogo

    Najua wewe ni mpenzi wa CDM,Ndio maana unasahau hata kuwakataza watu wanaoleta ukabila( yaani wanaotumia Ukwere) kama ndio unaoharibu nchi, hili naomba mrekebishane mkimtaja JK haina haja ya kuweka kabila lake.Mbona mkimtaja Slaa hamueki kabila lake?ok turudi kwenye mada yetu,kilichokufanya...
  17. Ibnu Ayoub

    otea nani alesema hivi?

    hayo maelezo ya hilo neno KUJIUZULU yanapatikana kwenye kamusi gani?maana nimependezwa nayo.lakini nina maswali machache (1)huko kustaafishwa ndio vipi? (2)Je mtu aliyejiuzulu anaitwaje? Mjiuzulu au? maana kila nikichakachua sipati picha.
  18. Ibnu Ayoub

    Kabwe wa CHADEMA awahutubia wana ccm amfagilia mbunge Filikunjombe wa Ludewa

    Sioni tatizo kwa Muheshimiwa Zito na ndie kiongozi ninayeweza kumtaja mbele za Watu kwamba ni mtu wa kweli na hana Uchama bali anasimama kwenye haki.yeye ni Tanzania kwanza Chama baadae sio kama wengine ambao ni chama kwanza tanzania baadae.Tanzania inatakiwa kujivunia watu wa aina hii.Ekeni...
  19. Ibnu Ayoub

    otea nani alesema hivi?

    Waziri mkuu aliyefisadiwa, kipenzi cha wtu wa monduli, shujaa wa monduli, nina mashaka na ufisadi wake.
  20. Ibnu Ayoub

    Tatizo ni ngozi nyeusi au uelewa mdogo? au ni elimu ndogo

    Nakushukuru sana kwa maelezo yanayoendana na upeo wako>Kuhusu umeme na hayo mabajaji ni ujinga ulio wazi hata Watoto wanajua.labda nikuulize tena ndugu yangu kuna hutuba yoyote ambayo Huyu rais wa CCM JK amesema msimchague slaa kwa sababu ni padri au msimchague lipumba kwa sababu ni muislamu...
Back
Top Bottom