Search results

  1. Eng Godfrey lupimo

    Mwanza: Yaliyojiri katika ziara ya Rais Magufuli uzinduzi wa daraja la Furahisha na viwanda 3! 30 - 31 Oktoba 2017

    Building team zima walikua ni wazawa, pongezi sana kwenu wahandisi, wakandarasi, safety managers, Qs, washauri na wote walio husika na ujenzi wa hilo daraja. #serilikari bdo macho mawili yanaangalia building team za kigeni, wkt ufanisi wao wa kazi sio mzuri. Mfano. Rock city mail inavuja...
  2. Eng Godfrey lupimo

    DIT VS COeT, UDSM!

    I think aliye nacho huongezewa, ndo maana SUPERCOMPUTER IKAWEKA DIT! Lakini mi uhalisia, practically, DIT wapo vizuri sana kwa wengi wao. Theoretically, COET wapi vizuri sana wengi wao. Kwa dunia ya LEO yenye ushindani kila kona, ni lazima practally uwe vizuri sana. 1. COET sometime wanaenda DIT...
  3. Eng Godfrey lupimo

    Wanafunzi zaidi ya 31000 kukosa mikopo ya elimu ya juu 2017/2018

    Heri wenye moyo safi, wao watasoma tu lkn si wanyonge sjui.:mad::eek::oops:o_O
  4. Eng Godfrey lupimo

    Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

    Yote Yatajaa kwa pamoja mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Eng Godfrey lupimo

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Nini kitatokea alie amsha dude akienda patanishwa na daudi albart bashite Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Eng Godfrey lupimo

    Kwanini marais wetu wanalindwa na JWTZ badala ya Polisi?

    Coz rais ni amri jeshi mkuu, sio inspector, IGP N.K Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Eng Godfrey lupimo

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Pia ata mwakani Amna ajira kwa walimu wa arts Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Eng Godfrey lupimo

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ifungwe tu, acacia kwetu sio lazima Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Eng Godfrey lupimo

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Imekuchanganya bora ujinyonge Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Eng Godfrey lupimo

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Haiambiliki kisaikolojia kwa watu kuhama karibu na hifadhi ya reli wewe Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Eng Godfrey lupimo

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Haijaribiwi wala haiambiliki asee Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Eng Godfrey lupimo

    Majipu Arusha Technical College

    MKUU, MTOA MAADA KATUMIA KISWAHILI, NA YUPO SAHIHI KUA JINA LA CHUO NI 'CHUO CHA UFUNDI ARUSHA' wewe unamkosoa kwa lugha ya kingereza.Nikuombe mkuu usiwe mvivu wa kufikiri na kuchunguza mambo kabla hujayaweka hadharani kwa jamii, utaumbuka. Rejea logo la Chuo husika, ni aibu kwako. ...
  13. Eng Godfrey lupimo

    Kwa wanafunzi waliopata div 3 ya point 22 hadi 25

    Inaonekana ulkua bright sana mkuu, lkn mkuu upi ni mchango Wako kwa taifa ?
  14. Eng Godfrey lupimo

    Nini hatma ya TCU baada ya kauli ya Rais Magufuli?

    Nahitaji kujifunza lkn sijaona hoja yako mkuu.
  15. Eng Godfrey lupimo

    Nini hatma ya TCU baada ya kauli ya Rais Magufuli?

    Hoja ya tano(5) mkuu nakujibu moja kwa moja kuhusu university entry qualifications form six . D mbili (point nne) Equivalent qualifications (diploma) ni 3.5GPA Hivyo Ata kama itaamuliwa kupeleka vyeti kwenye vyuo husika, vyuo vitawekewa hili kama sharti na mamlaka husika.
  16. Eng Godfrey lupimo

    Nini hatma ya TCU baada ya kauli ya Rais Magufuli?

    Hoja ya tano(5) mkuu nakujibu moja kwa moja kuhusu university entry qualifications form six . D mbili (point nne) Equivalent qualifications (diploma) ni 3.5GPA Hivyo Ata kama itaamuliwa kupeleka vyeti kwenye vyuo husika, vyuo vitawekewa hili kama sharti na mamma husika.
  17. Eng Godfrey lupimo

    Nini hatma ya TCU baada ya kauli ya Rais Magufuli?

    umeona eh "anachangi bila kuelewa maada"
  18. Eng Godfrey lupimo

    Gari zinazotumia maji ya bahari badala ya diesel kuwaangamiza waarabu!

    Kukalili ni kubaya sana. Technologia ni mabadiliko ya kisayansi ya kila mda mahali popote. Mfano. Ndege kuluka bila rubani, gari bila dreva, kujenga visiwa baharini na maji kua chanzo cha nishati ya umeme(hydro power) n.k, kwanini ishindikane kua chanzo cha nishati ya kimakenika (mechanical energy)
  19. Eng Godfrey lupimo

    Ukweli kuhusu shape ya Dunia

    Mkuu usiishie kusoma nadharia tu, hata vitendo fanya pia dadisi vzr matokeo ya sayansi kuhusu dunia. watafti wamefanya vtu vingi ikiwa ni application ya dunia kujizungusha. 1. Watalamu Wamelusha ndege angani, satellite, hivyo wanajua. 2. Engineering Wanapo hitaji kujua features mbali mbali za...
Back
Top Bottom