Search results

  1. J wizzy

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mawazo yangu kwenye dirisha kubwa tuongeze hawa [emoji1484]; CB-De ligt au Hato. Midfielder-De Jong au Zubimendi. Winger-Neto. Striker-Mniletee yeyote tu Lakini kwa akili yangu mlete (Ollie Watkins au Goncalo Ramos). Kisha Toa kwa mkopo msimu mzima wakakomae zaidi;[emoji1484] Albert Sambi...
  2. J wizzy

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    1: Kwaajili ya short term plan nitamchukua Ollie Watkins, kwa sasa ana miaka 28, hivyo anaweza kutumika kwa misimu mitatu kisha ntakua tayari nimekuza kijana wangu wa long term project [emoji116] 2: Nitachagua kati ya Goncalo Ramos au Ferguson wa Brighton. Naamini kwa factor ya umri na uwezo...
  3. J wizzy

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tuwe na Akiba ya maneno mkuu.
  4. J wizzy

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mwenye uchambuzi wa George Ambangile naomba tafadhali..
  5. J wizzy

    Alternative story ya kukatwa kwa Edo July 2015

    Mkuu we hupendi kusafiri?
  6. J wizzy

    Wanaume, acheni kulazimisha utiifu kutoka kwa wanawake!

    Feminism movement kwenye ubora wake. Nonsense.
  7. J wizzy

    Mguu aliyoondokea Chongolo unavyoweza kukaribisha zama ngumu CCM

    Kunawaka moto, ila muda utasema zaidi....
  8. J wizzy

    MAKALA: Mambo muhimu ya kuzingatia kuhusu kodi kwa mtu anayeanza biashara

    Mkuu habari yako. Naweza kupata vitabu vya kumbukumbu na mauzo vya sasa (latest-2023-2024) Kama vinavyoonekana kwenye attachment hapo chini. msaada tafadhali..
  9. J wizzy

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mwenye uchambuzi wa George Ambangile wa game yetu na Brighton naomba tafadhali.
  10. J wizzy

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Muda wa Fabio Vieira maestro kuanza na Kai kuanzia benchi umefika. Fabio anatoa maswali magumu na majibu yake kila mechi anayocheza. Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
  11. J wizzy

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Thank you George Ambangile. Kama kuna mtu hajaelewa huu uchambuzi hapa basi hajui chochote kuhusu transition ya Arsenal kutoka misimu iliyopita na huu wa sasa.
  12. J wizzy

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    @arsenal2004 walete hao watu wabishe akili kubwa ya arteta ilivyolipa leo.
  13. J wizzy

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ngoja hamis77 alete uchambuzi wa watu wa mpira George ambangile,utamuelewa kwanini Mikel arteta kazichanga karata zake vile leo. Binafsi sikuelewa kikosi kilivyotoka ila baada ya mechi na uchambuzi ndio nimeelewa. Point kubwa sana niliyojifunza, msimu uliopita tulikua tunakosa kufanya options...
  14. J wizzy

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ukisoma uchambuzi wa George ambangile instagram utaelewa leo Mikel kafanya nini ambacho hatukufanya last game ikatucost. Nimeshindwa tu kuucopy uchambuzi wake.
  15. J wizzy

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    The England international scored a wonderful goal from distance as the Gunners kicked off their title bid with three precious points Arsenal kicked off their 2023-24 Premier League campaign with a 2-1 victory over Nottingham Forest at the Emirates on Saturday afternoon - but the Gunners were...
  16. J wizzy

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Players with uncertain futures still at the club: • Folarin Balogun • Rob Holding • Nuno Tavares • Nicolás Pépé • Cedrić • Mohamed Elneny • Kieran Tierney • Albert Sambi Lokonga • Alex Runarsson
  17. J wizzy

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    [emoji599] Brighton sales in the past year: [emoji1075] Caicedo £110m [emoji633] Cucurella £62m [emoji1033] McAllister £55m [emoji1159] Bissouma £35m [emoji1045] Trossard £27m [emoji633] Sanchez £25m [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Burn £13m [emoji632] Maupay £12m [emoji383][emoji383] Total = £389m...
  18. J wizzy

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arsenal and Chelsea given huge Mohammed Kudus transfer incentive as Brighton deal stalls. Mohammed Kudus is attracting interest from top Premier League clubs with Arsenal and Chelsea keen on signing the Ghana international. By Sam HillTrends Writer 21:00, 10 AUG 2023. Arsenal and Chelsea have...
  19. J wizzy

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kwa majira ya EAT hivi sasa ni saa 21:55 na kwa mujibu wa London hivi sasa ni saa 18:55
  20. J wizzy

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ila wao wanapenda kuuza kwa bei kubwa.
Back
Top Bottom