Search results

  1. F

    Shamba Linauzwa 100Acres -Mkata Handeni

    Umuofia kwenu! Shamba lenye ukubwa ya Ekari 100 Linauzwa.Shamba lipo Kijiji Cha Kwandugwa.Umbali wa Km 14 toka Mkata Centre. Shamba ni pori.Halijawahi kusafishwa.Linauzwa kwa Tsh 18M.Mazungumzo kidogo yapo.Shamba lina hati ya mauziano ya serikali ya Kijiji na mnunuzi atapata haki ya...
  2. F

    Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Buswelu-Mwakalundi

    Umuofia kwenu! Kiwanja chenye ukubwa wa Ekari 1.5 kinauzwa Kiwanja kipo kijiji cha Mwakalundi,umbali wa kilometre 4 toka Buswelu Wilayani.Kimetizamana na barabara kuu na kinafaa kwa biashara,makazi au ujenzi wa hosteli. Chuo Kikuu Bugando kitajenga campus maeneo hayo siku za karibuni. Bei ni...
  3. F

    Utaratibu wa kupata kibali cha uvunaji miti

    Umuofia kwenu! Kwenu! Wadau nimekuja hapa kuomba mwongozo juu ya taratibu za kupata kibali cha uvunaji miti ya asili shambani kwangu. Nimenunua shamba wilaya ya Kilindi na niko mbioni kulisafisha kwa kukata miti iliyopo ili niweze kufanya kilimo. Baadhi ya wanakijiji kwa kuogopa urasimu ama...
Back
Top Bottom