Tuhuma hizi ni za uongo nyingi:
KNCU umeuwa wenyewe
Uvunjaji wa nyumba kuanzia Ubungo hadi Mbezi walioadhirika ni kabila zote siyo wachagga tu.
Kilio cha kodi ni kwa watu wote na si kabila moja
Na hakuna jambo la ajabu katika kubadili safu ya uongozi kwenye cabinet, JK alifanya mabadiliko mengi sana, Mwinyi aliwahi kuvunja baraza zima, Mkapa nayepia alifanya mabadiliko kadhaa. Ukweli wa mambo ni kuwa Mwigulu Lameck ni mtu mwenye akili nyingi na bado ni wa manufaa kwenye serikali. Ni...
Hii statement imeshawahi kutolewa mara nyingi na watu wengi and is alll about good governance. Aliachoongeza ni kutaja Tanzaniain particular , and the timing- muda alipoitoa statement hii
Kuna wakati mmoja Raisi aliwahi kuhudhuria sherehe za kimila la Raisi wa Botswana. Nakumbuka watu walisema sana. Lakini, sikumbuki lawama zozote kwa safari za AU, Commonwealth, au UN. Image ya nchi ni Raisi wake ndiyo maana anakuwa na private jet kwa ajili ya kuwakilisha nchi kwenye forums mbali...
Hii ilitegemewa. Baada ya Director General kuondoka na kuja mpya, it was imminent that the Board of Directors would be dissolved as well. The new Director General would need a new team
Wenye kumwamini Mungu waombe ili haya yatimie. Watu wenye kutimiza haya wapo, na wengine kwa shughuli za kisiasa " active politics" ambazo wamefanya wameonesha maturity ya hali ya juu. By 2020 watakuwa na umri na experience tosha kabisa. Mungu walinde vijana hawa tunaamini uliwafanya wazaliwe...
Kampuni ya gesi kuuza hisa zake labda ni kutokana na kuamua kuingiza mtaji mpya/ au uongozi mpya wa kuiendesha. Inawezekana kampuni ilikuwa haipati faida na hivyo kushindwa kutoa gawio ndiyo maana ikaamua kuuza hisa ili ilipate mtaji wa kutosha na manejimenti mpya
Kamati yoyote haijawahi kunufaisha umma, bali ni kiini macho ambacho mmoja wa wachezaji hutangazwa kuwa ameaga umaskini huku utitiri wa watu ukiwa unapoteza mamilioni ya fedha kila siku. Hii ndiyo style ya BIKO. TATU MZUKA, SPORT PESA na nyinginezo nyingi. Kwa hiyo njia pekee ya umma kunufaika...
Niliona na mrembo wa SSRA anatoa gawio serikalini, nikajiuliza:
1. Is SSRA a company?
2. Sources za income yao ni zipi?
3. Kama ni Executive Agency, mbona agencies nyinginezo hazikutoa gawio?
It is apparent sasa Hazina kupitia msajili wa hazina inatakiwa kulieleza suala hili clearly ili uma...
Tatizo hapa ni jina la fedha hizo. Basi wataalam wanaweza kushauri jina muafaka kuondoa mkanganyiko. La muhimu serikali imepokea fedha ambazo tunaamini zitanufaisha umma wa watanzania, na sasa watanzania wataona umuhimu wa mashirika haya ya umma
Mheshimiwa Zito, leo kwenye hotuba yake Raisi kasema kwa mashirika yasiyotoa dividents serikalini na viongozi wake wanahudhuria mikutano ya bodi na wanalipwa posho za wakurugenzi " directors fees" ni afadhali hata wangechukua hizo posho wapeleke serikalini kama dividends
Tunaamini sheria za makampuni zinafuatwa, yaani gawio kwa wanahisa linaamuliwa kwenye mkutano wa wanahisa. Tunachoamini pia ni kwamba mashirika haya ya uma yanawekeza sehemu ya faida kwenye mtaji ili kuweza kwenda sambamba na mahitaji ya teknolojia, uboreshaji wa bithaa na huduma wanazotoa, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.