Search results

  1. Maguge Maguge

    Geita: Watu 6000 wavamia nyumba ya mtu ili kuchimba dhahabu

    Sheria za nchi hii zinakuruhusu kumiliki ardhi, ila hazikupi haki ya kumiliki vilivyopo jini ndani ya ardhi husika
  2. Maguge Maguge

    Ninaanza kutumia solar badala ya umeme nyumbani

    Ndiyo, na unapotaka kununua hivyo, nenda na fundi uliyemuandaa kukufungia ,ili akisaidie kuchagua na kuandaa seti yenye ubora
  3. Maguge Maguge

    Ninaanza kutumia solar badala ya umeme nyumbani

    Solar 100w Betri N200 Invetor 1500w Vifungwe kitaalam ( yaani chaja kontroo iwepo)
  4. Maguge Maguge

    Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

    Wewe!, magu hakuwahi kunusurika? Mwakyembe hakuponea india? Ps wa mwakyembe hakupita na maji?
  5. Maguge Maguge

    David Silinde: Waliokimbia Bungeni ndio walikwamisha mchakato wa Katiba Mpya na sio CCM

    Nilikuwa nasoma ujumbe wako mzuri, ila nimepata breki dauni kwenye neno "mbunge wa Chadema" "CHADEMA HAINA WABUNGE VITI MAALUM"
  6. Maguge Maguge

    Dkt. Bashiru: Siyo kweli kwamba CCM itatumia wingi wao Bungeni kubadilisha Katiba ili kumuongezea muda Rais Magufuli kukaa madarakani!

    Hili lipo, tena waliowahi kusema siyo hao tu, yupo na kigogo mmoja aliyestaafu aliwahisema, mi nadhani wanachomekea chomekea ili kutuandaa ki saikolojia ili mwishoni kabisa wabadili gia angani!
  7. Maguge Maguge

    Athari za chanjo ya mzungu kwa Waafrika

    Wanachoweza kutufanyia kwenye chanjo ya korona kinaweza kufanyika kwa njia nyingine, coz kama ni chanjo zipo nyingi sana, rejea mahudhulio na chanjo Clinic kwa wajawazito na watoto wa -5yrs
  8. Maguge Maguge

    Mama katembea na mume wa bintiye wa kuzaa kapata na mimba juu

    Mshana, mi mbona simuoni vzr yule mama? namuona mwanae tu au nina nusu video?
  9. Maguge Maguge

    Naomba tumsaidie Joyce Kiria wa wanawake live. Anabomoa msingi wa taifa Bora

    Tunatakiwa tuandamane kwenye mitandao ili TCRA wamuweke bench, kile kipindi hakimfai yule hafai kuwa mwalimu wa wanawake yule ni victim wa ndoa, wala hana experiance zaidi ya simulizi anazoambulia kushuri kuachana, anatakiwa asifanye hiyo kazi kabisa[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
  10. Maguge Maguge

    Kwanini Dini za asili hazipewi nafasi?

    Hoja ashaweka, ila huna kichwa cha kutafakari, una kichwa cha kupandikiza mambo tu
  11. Maguge Maguge

    Kwanini Dini za asili hazipewi nafasi?

    Kwanza uchawi maana yake nini kwa tafsiri?
  12. Maguge Maguge

    Kwanini Dini za asili hazipewi nafasi?

    Kama unaamini huyo ni bora kuliko miungu ya mababu zetu, unatudhibitishiaje? Je kuna mtoto anaezaliwa anamjua kama anavyojua kunyonya? Au mpaka afundishwe? Na je kama ni mpaka afundishwe huoni kama hapo kunaweza kuwa na maslahi binafsi kwa hao waliotuletea dini zao?
  13. Maguge Maguge

    Hivi Lissu ana dini kweli?

    Ulisoma hukumu ukaielewa msimamo/point zake...au ndio kukurupuka.
  14. Maguge Maguge

    Hivi Lissu ana dini kweli?

    Kwani kusema kwake kwamba "Mungu ana kazi nyingi hawezi kuhangaika na wajinga" kunaoneshaje kama hana akili, au kunaoneshaje kwamba hana dini? Kusema kwake kwamba "Mungu ana kazi nyingi hawezi kuhangaika na wajinga" kunahusianaje na kupona kwake majeraha ya risasi? Ushabiki ni kama ugonjwa...
Back
Top Bottom