Search results

  1. Gwota

    TRA na mapato ya November 2016

    Leo ni tarehe 18 December 2016 lakini sijasikia TRA wamekusanya sh ngapi kwa mwezi november. Imekua ni kawaida kila mwanzoni mwa mwezi tunaambiwa kilichokusanywa mwezi wa nyuma yake. Aliyesikia TRA wakitangaza atuambie ni sh ngapi ilikusanywa
  2. Gwota

    Pendekezo: Katibu mkuu wa CHADEMA awe Benson Kigaila

    Kigaika hata mimi naunga mkono, Jamaa yupo vizuri sana
  3. Gwota

    Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

    Hata Lowasa akiingia itakua vyema akimteua muhongo katika hii wizara bila kujaji katoka CCM, aliimuda sana huyu prof.
  4. Gwota

    Matokeo ya Urais, Ubunge na Udiwani kubandikwa Vituoni

    CCM kwisha, Goli la mkomo lakwama
  5. Gwota

    Mada moto live on Channel Ten: Yaliyojiri mwisho wa wiki kuelekea uchaguzi mkuu

    hawa chanel 10 why kila siku pole pole, hamna watu wengine nchi nzima?
  6. Gwota

    Kadi ya mpiga kura - Hakiki taarifa kupitia simu yako

    Nasikia ni bao la mkono, ukijaza namba yako wao wanaichukua japo sijajua km watafyatua kitambulisho kingine au la
  7. Gwota

    Hii project ya Tanzania Democracy Support Project ipo?

    M-Pesa : Aloyce Shirima ----0763-99-04-11, Namba hyo na ukipiga haipatikani na wao wamekataa mtu kupiga, Anayetaka kuliwa atume
  8. Gwota

    Interview SIDO Business development officer

    Na mimi niliapply ila sijaitwa, walikupigia simu au wamebandika majina? au km kuna link yeyote waliyoweka majina plz tuhabarishe tujiangalie
  9. Gwota

    Ugombea binafsi kuzua tafrani uchaguzi 2015

    Kama rasimu ilivyopendekeza kutakuwa na wagombea binafsi kwa nafasi zote, swali: nini kitanyika endapo watajitokeza wagombea 70 kwa nafasi ya urais na 70 kwa ubunge? je wataruhusiwa wote kugombea? vipi gharama za kuandaa mabox ya kura na confusion kwa wananchi kuwatofautisha wagombea? Kuna haja...
  10. Gwota

    Rais wa Nigeria atangaza hali ya Hatari nchini mwake

    Pin BBC to your taskbar by dragging this icon to the bottom of the screen Nigeria: Goodluck Jonathan declares emergency in states Nigerian President Goodluck Jonathan has declared a state of emergency in three states after a series of deadly attacks by Islamist militant groups. The military...
  11. Gwota

    Live Coverage from Mzenga Old Stand Grounds Mlandizi

    Si tuliambiwa mkiti wa kanda ni prof safari? imekuaje marando kamnyanganya kiholela?
  12. Gwota

    Madhaifu Haya Kurugenzi ya habari na uenezi CHADEMA yanatia kichefuchefu

    Exactly kaka lakini hawa hawasikii, tatizo hili mimi nishaambia toka mwaka jana lakini hakuna hatua yeyote, tusiwalalamikie ccm kushindwa ikiwa na sisi tunashindwa jambo dogo kama hili
  13. Gwota

    Madhaifu Haya Kurugenzi ya habari na uenezi CHADEMA yanatia kichefuchefu

    Usikariri, hili swala ni muhimu kwa chama na sio kuleta kejeli za ki.pu.mbavu, mnachotakiwa kufanya ni kuchukua hatua na sio kuleta mambo yasiyo ya maana, sasa hapo lumumba watalipa kwa lipi? eneza chama acha ushamba wewe
  14. Gwota

    Madhaifu Haya Kurugenzi ya habari na uenezi CHADEMA yanatia kichefuchefu

    Ni muda mrefu sasa kurugenzi ya habari na uenezi kupitia kwa Tumaini Makene imekuwa ikishauri wa namna ya kutumia kila fursa inayopatikana kukitangaza chama itumiwe ipasavyo, Cha kushangaza ama kwa dharau, au uzembe au ukosefu wa uelewa wa kutosha bwana Makene na maofisa wenzake (Isipokuwa...
  15. Gwota

    Pendekezo heading ya kesho tz daima/mwananchi-Udhaifu wa kikwete wazua balaa bungeni.

    TZ daima la kesho: UDHAIFU WA KIKWETE WAZUA BALAA BUNGENI, MNYIKA ATOLEWA NJE BAADA YA KUUVULIA UVIVU. Kufuatia udhaifa wa rais Jakaya kikwete ambao umekuwa ukipigiwa kelele na wadau mbalimbali vikiwemo vyama vya siasa, asasi za kiraia, wasomi mbalimbali na makundi mengine ndani ya jamii...
  16. Gwota

    Tume ya mabadiliko ya katiba

    Mzee mtei hapa umepotoka kabisa, mambo ya kuweka udini kwenye mambo ya kitaifa ndo yanaviathiri vyama vya upinzani kutokana na propaganda za ccm. Ww ulitakiwa ujadili mambo ya kitaifa na sio mambo ya dini.
  17. Gwota

    Inasikitisha Sana - Kutoka Temeke Hospitali

    Cha ajabu mama mwenye hao watoto jioni utamkuta kavalia jezi ya ccm anakata mauno kushehesha kampeni, hapo utajiuliza jamani jamani hawa wamama vp?
  18. Gwota

    TRA-written interview

    Km kuna mtu anajua vigezo exactly walivyotumia atujulishe ili tuliokosa tujiridhishe kuwa tumekosaa kihalali
  19. Gwota

    TRA-written interview

    Dah mlioitwa hongereni sana na tuliokosa tusikate tamaa one day yes na nawatakia kila la kheri
  20. Gwota

    CRDB na undugu kwenye Ajira

    Subiria taarifa utaletewa mdomoni utafune wenzako tushapiga intervw km 6 na kupata kazi 4 kwa mtindo huu.
Back
Top Bottom