Search results

  1. M

    Samia Suluhu Hassan: Kwako huu ujumbe ninakusihi

    Niliwahi kukuandikia Mh. RAIS Samia Suluhu, kwa sasa nakuombea tu Mungu akuongoze
  2. M

    Kama wanadai kuwa Corona ipo na ni hatari, kwanini sasa wanaendelea kufanya?

    Sifa kubwa ya kuwa "kamanda" ni kuwa na uwezo wq kusemw uongo hadharani mchana kweupe bila woga
  3. M

    CORONA isiwe mtaji wa kisiasa, hawakujali hata kama tungeisha wote

    Kila mtu anayo haki ya kufa au kuishi! Kufungia watu kwa kisingizio cha Corona kama mataifa mengi yanavyofanya kwa kutumia mabavu ndio jambo baya zaidi! Tuliongozwa vyema sana na JPM vita ya Corona
  4. M

    Uchaguzi 2020 Hakuna pingamizi atawekewa mgombea wa CHADEMA

    Nasubiri kuona namna Lisu atakavyoweza kupata asilimia 7,ya kura! Asilimia saba
  5. M

    Uchaguzi 2020 CHADEMA itashinda Chato na Majimbo yote ya Geita

    Hii inaitwa "kujitekenya mwenyewe na kucheka" 😀 😀! Geita yote ya kijani, chadema watakosa hata diwani
  6. M

    Kuna uwezekano mkubwa kabisa 2020 CCM ikaangukia pua tukawa Utawala mwingine kabisa

    CCM inahitaji tathmini kubwa, hasa ni namna gani polisi wanashughulika na watu, TRA na wafanyabiashara, serikali na sera za kodi, watumishi wa umma wamekaa kimya lakini wana hasira sana sijui serikali itaiondoaje (mishahara duni, bodi ya mikopo, utumishi na vyeo), wakulima ndio hao wanatiwa...
  7. M

    Jua tofauti za maumbile kwa wanaume

    Urefu na ufupi wa mwanaume unapimwaje?warefu sana ndio wapi hao?The analysis is vegue, lacking and unrealistic
  8. M

    Marekani: Sen Bob Menendez amtaka Rais Trump kusaidia kuiokoa Tanzania kutokana na wimbi la kurudi nyuma kwa Demokrasia

    Trump wa Marekani?Yeye mwenyewe anatamani awe na sheria kama ya Tanzania
  9. M

    Kwa haya, Natangaza rasmi kuukubali utawala wa Rais Magufuli

    Ungeandika kiswahili , maana hii lugha hujafuzu hata kwenye matumizi ya "Tenses" tu
  10. M

    TBC 1 kwenye matukio ya LIVE mjirekebishe

    Namuonea huruma lakini nadhani ni bora akarudi chuoni kufundisha tu!Unazidiwa vipi na Ayo tv, global tv etc kwenye kurusha live broadcast?Wametumia kiasi gani kuboresha matangazo yao hao wengine ambacho TBC hawana!Sijui ana lugha gani ya kuwaeleza watz. Kama vifaa vipo na tatizo ni warushaji wa...
  11. M

    TBC 1 kwenye matukio ya LIVE mjirekebishe

    Wanazidiwa na online tv za vijana wenye mitaji ya kuungaunga?Shame
  12. M

    Polisi, yanayoendelea barabarani na madhara yake kiuchumi

    Kutishia watu kwa kuwakosesha uhuru inakera zaidi!
  13. M

    Polisi, yanayoendelea barabarani na madhara yake kiuchumi

    Naamini hawa waliopewa dhamana wanatakiwa kuchukua hatua kwa kiasi na sio kufanya mambo kama "festival".Ukaguzi wa namna hii hauwezi kuwa endelevu ni usumbufu usio na tija kwa taifa na raia wake. wanapunguza furaha ya raia kwa sababu nyepesi. Kama ulivyosema sitashangaa kama ajali zikiongezeka...
  14. M

    Polisi, yanayoendelea barabarani na madhara yake kiuchumi

    Jeshi la polisi limeamua kuingia barabarani na mtaani (kama oparesheni) kukamata magari mabovu, yenye hitilafu na madereva/wamiliki wake katika juhudi za kupunguza wimbi la ajali zinazotokea nchini. Pamoja na nia njema ya jambo hili, lazima ifahamike kwamba kutakuwa na mtikisiko wa mapato na...
  15. M

    Hivi Maprofesa na PhD candidates wanapublish wapi paper zao hapa Tanzania?

    Mifano michache ya Maprofesor kutoka SUA. Fungua hizo link Siza D. Tumbo - Google Scholar Citations Japhet J. Kashaigili - Google Scholar Citations Maulid Walad Mwatawala - Google Scholar Citations Geoffrey Mrema - Google Scholar Citations
  16. M

    Hivi Maprofesa na PhD candidates wanapublish wapi paper zao hapa Tanzania?

    Sasa hivi ukiingia google scholar tu kwa jina la Profesor yeyote mizigo yake inatiririka vzr
Back
Top Bottom