Search results

  1. prince john john

    Kwa vita hivi ulimwengu utamjua Yesu ni nani!

    Sasa ulimwengu utamjua Yesu ni nani. Lakini vita hivi ni fursa ya Ukristo kuzishinda dini zingine. Laiti tungelimakinika na fursa hii! Waliokuwa wanamkataa Yesu watamjua Yesu sasa. Nadhani tangu hivi karibuni, kila dakika kumi Mungu anapokea roho ya marehemu fulani, mhinga wa vita. Ikija roho...
  2. prince john john

    Simba SC wapewe maua yao

    1. Sina cha kuwalaumu Simba katika mazingira yale kwenda kwenye hatua ya upigaji wa mikwaju ya penati sio kazi ndogo. Well done Simba. Wapewe maua yao 2. Simba inahitaji marekebisho ya kiusajili. Wanapokwenda kusajili kwa Msimu Ujao waache kutafuta Yanga inataka kumsajili nani wamuaharibie bali...
  3. prince john john

    House4Rent Nyumba ya kupanga Mbagala Sabasaba

    Nyumba nzima inapangishwa maeneo ya mbagala sabasaba nyuma ya Tayma hospital mita10 kutoka stend ya mwendo kasi na kituoni Sifa ya nyumba 1. Nyumba ina vyumba 6 2. Vyumba vya kulala 3 kimoja ni master 3. Vyoo na bafu ni vya ndani 3. Jiko 1 4. Sebule moja kubwa 5. Maji na umeme unajitegemea...
  4. prince john john

    Tuwaombee mafrateri hawa waliotekwa wapatikane

    Wapendwa Taifa la Mungu, Mafrateri hawa (pichani chini ) walitekwa na watu waliokuwa wamejihami kwa silaha walipovamia Seminari kuu ya Mchungaji Mwema (Good Shepherd Seminary) iliyopo Kaduna huko Nigeria usiku wa tarehe 08 Januari 2020. Tangu kutekwa kwao, watekaji wamekuwa wakiwasiliana na...
  5. prince john john

    Msaada juu ya computer yangu

    Habari za muda huu ndugu zangu Nauliza mother board ya hii computer nitaipata wapi kwa hapa dar Lenovo L420 thinkpad Processors corei3 Kwasasa nipo dar as salaam
  6. prince john john

    Tatizo kwenye computer

    Jana nilitumia computer kwa muda mrefu kidogo ingawa ni kawaida yangu kutumia hivyo.. mara ika zima ghafla, nilipoiwasha ikazima nimeiacha mpaka asubuhi, nimeiwasha tena ikaenda mpaka mwenye window (starting up) ikazima mpaka sasa.. Hakuna beep sounds inapowaka, kwa sasa hata taa zile za...
  7. prince john john

    Mwalimu wa physics na computer science

    Habari ndugu zangu Mimi ni mhitimu wa elimu ya shahada(degree) ya uwalimu wa masomo ya physics na computer science Kwa yeyote mwenye anayo nafasi au anajua nafasi ya kazi ya ualimu wa physics kwa olevel au Advance. Pia kwa computer nafundisha microsoft office package yote...
  8. prince john john

    Buddha's quotations

    Hii special kwa any quotations kutoka kwake..
  9. prince john john

    Mwalimu wa Physics na Computer Science niko hapa

    Habari ndugu zangu Kwa yeyote mwenye anayo nafasi au anajua nafasi ya kazi ya ualimu wa physics na computer science kwa o-level au Advance mwalimu napatikana. Mimi ni mhitimu wa shahada ya uwalimu kwa masomo ya PHYSICS na COMPUTER SCIENCE na Kwasasa nipo dar es salaam. na nipo tayari kufanya...
  10. prince john john

    Wasikie wakenya wanavyotunanga!

    Kunanga ndo nini mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. prince john john

    Catholic store pictures

    Thread hii ni kwa ajili ya picha za matukio ya Roman Catholic karibuni.. Padre pio.. Ekarist takatifu
  12. prince john john

    Habari njema kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita..

    Wapendwa Wahitimu Kidato cha Sita 2018, Kwa Heshima kubwa, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kinawapongeza sana kwa kuhitimu masomo yenu na kufuzu vizuri kupitia matokeo ya mtihani yaliyotangazwa hivi karibuni na NECTA. Tunapenda kuwatangazia wale waliopungukiwa sifa kidogo za kujiunga moja kwa...
  13. prince john john

    Msaada jinsi ya kufanya HTML file kuwa PHP

    Habari za muda huu ndugu zangu.. poleni na swaumu kwa wale ndugu zangu waislamu.. Nimeandika codes za website kwa kutumia HTML na CSS (static website) na natamani nizifanye kuwa dynamic website kwa kutumia PHP naombeni ushauri ndugu zangu nini nifanye na nini niongeze Ili HTML/CSS codes ziwe...
  14. prince john john

    Moyo wa Yesu unakaribia kupasuka kwa jinsi tunavyomtesa siku hizi

    KIBWAGIZO CHA JUMA KUU NA PASAKA -MOYO WA YESU UNAKARIBIA KUPASUKA KWA JINSI TUNAVYOMTESA SIKU HIZI _Padri Titus Amigu_ Mniwie radhi sana ninapotumia lugha hii ya picha ambayo hoja yake inaweza isilingane kwa asilimia mia na mafundisho msingi ya imani (dogma). Lakini siwezi kuuzuia mkasa...
  15. prince john john

    Nina shida na vitabu vya Chands

    habarini ndugu zangu mwenye vitabu hivi na vingine vya chands ninashida navyo ndugu zangu. Pdf files ndugu zangu mnisaidie Asanteni nashukuru.
  16. prince john john

    Mbasha: Wanaofanya mapenzi kinyume na maumbile hawatauona ufalme wa Mungu

    Kuna ujumbe umetapakaa kwenye social networks wa Mr. Mbasha. Je ujumbe huu umemlenga nani? Nini dhumuni lake hasa la ujumbe huu kwa muda huu? Kwanini kautoa ujumbe huu sasa?
  17. prince john john

    Maji yamefika shingoni naombeni ushauri wenu..

    Habari zenu ndugu zangu.. Nina rafiki wa Karibu mwanaume mwenzangu na tupo wote Chuo kimoja aliniomba ushauri na me nikaona isiwe vibaya kuja huku JF coz Naamini kuna watu wenye hekima na busara na wanaweza kumsidia huyu rafiki yangu.. Rafiki yangu anampenzi wake na wamedumu kwa miaka miwili...
  18. prince john john

    Nielewesheni kuhusu degree za nje ya nchi

    Habari za wakati huu ndugu zangu. Mwenye kujua(uelewa) juu ya degree za nje ya nchi (nikiwa hapa nyumbani)na jinsi zilivyo (hapa namaanisha faida na hasara zake pamoja na ugumu wake) ili nipate mwanga. Asanteni na Mungu awabariki nyote.
  19. prince john john

    SQL jamani

    habari wana jf mwenye key za SQL DATABASE STUDIO anisaidie nimeinguia hapa nimekwama ndugu zangu SQL Database Studio - download
  20. prince john john

    Msaada: Kuhusu kudownload linux

    jamani anayeijua jinsi ya kudownload na kuinstall linux kwenye pc atupe idea ndugu zangu
Back
Top Bottom