Search results

  1. D

    Wako wapi wale viongozi wake wa dini ambapo Mbowe alisema kuwa bila viongozi wa dini hakuna taifa

    Wako wapi wale viongozi wa dini ambao wengine walikuwa wajumbe wa halmashauli kuu ya taifa ya chama? Kwanini sasa CHADEMA kama waanzilishi na waliwaaminisha watanzania kuwa chama ambacho akikubariki na viongozi wa dini hakifai kuwa na dola au kuchukuwa dola. Mwenyekiti Mbowe alikwenda mbali...
  2. D

    Lissu katika mikutano yake ya kampeni anasema yeye na Mwenyekiti wanatembelea magongo kwa kupigwa na watu wasiojulikana

    Jamani mimi naona kama wanatoa siri zao na kutuwezesha sisi wananchi kupata ukweli haraka na wa uhakika kuhusu hao watu wasio julikana. Mara ya kwanza nilipomsikia Lissu pale Ufipa siku alipopokelewa nilifikiri hawakumwambia sasa nilipoona anazidi kuisema kilasiku na kila sehemu ndiyo nimekuja...
  3. D

    Kama kweli CCM itawatia adabu waliotoa rushwa itajenga imani kubwa kwa wapiga kura (Watanzania)

    Taarifa zinasema kumekuwa na rushwa katika chaguzi za CCM kwa miongo kadhaa lakini wadadavuaji wa mambo ya kisiasa wanasema safari hii ilikuwa ni balaa, kwani kura zilipelekwa katika soko kama la hisa au mnadani wa kura kwani mwenye dau kubwa ndiyo alifanikiwa kununua kura za ushindi na mwenye...
  4. D

    Makonda amejijengea CV kubwa ndani ya nchi na ndani ya Chama cha Mapinduzi

    Jamani kuweni wapole, huyu jamaa namfahamu, jamaa ametoka mbali sana na anakoelekea ni mbali, hivyo kuweni na hikima sana mnapo mjadili. Mimi kwa mara ya kwanza nilikutana naye Ushirika Moshi na kuna semista tulikaa chumba kimoja hivyo nimeunganisha story yote na hadi hapa nimeona mnamjadili...
  5. D

    Naupenda sana Mfumo wa Vyama Vingi lakini unatugawa sana Waafrika kuna haja ya kuchukua tahadhari kwani tutapoteza kabisa Umoja wa Kitaifa

    Mapokezi ya Tundu Lisu popote pale duniani usinge weza kuyaficha kwani Lissu si kushangaza umma bali tendo lile la kushambuliwa na watu wasiojulikana na kupigwa risasi 16 lilikuwa baya na lakulaaniwa na watu wote Je, ilikuwa sahihi kufanya maandamano wakati Mwili wa hayati Rais mstaafu...
  6. D

    Hivi jamani, hamuoni aibu kila kitu ubalozi wa Marekani, kikitokea kitu mnakimbilia kusema tutashtaki Marekani? Ni ushamba

    Zamani wakati wa ujinga wengi tulikuwa hatujui kuhusu hiyo Marekani tulimezeshwa kila kitu cha upande 1 wa shilingi. lakini inatia aibu kijana ambaye wazazi wake wamempeleka shule lakini leo bado yupo katika zama za ujinga bado anaona kama Marekani ndiyo kimbilio wakati ni nchi hatari hasa kwa...
  7. D

    CHADEMA kugombea Urais ruksa hata Wabunge wote lakini kugombea Uenyekiti unatafuta matatizo makubwa na ni hatari sana

    Ndani ya CHADEMA democrasia zero lakini wakiwa nje ya CHADEMA democrasia 100% Kuna wakati nakumbuka walikuwa wanamsema marehemu Nkurunzinza na Kagame wanang'ang'ania madaraka wakati wenyewe Mzee Mbowe anavipindi zaidi ya vinne ofisini, ni ngumu sana mtu kuwaelewa hawa watu. Leo hii wameweka...
  8. D

    Jeshi la Polisi limekuwa dhaifu kulinda wachochezi

    Mchungaji Msigwa alipata kusikika akitoa kauli nzito ambazo zingeweza kulimega taifa vipande vipande na hata kusababisha maandamano makubwa katika nchi yetu kama yele yaliyofanyika kule Marekani kwa kupigwa na kufariki dunia kwa Geoge Floyd. Msigwa alipata kusikika kupitia mitandao ya kijamii...
  9. D

    Mbowe tangu ashambuliwe na wasiojulikana amekuwa kimya, au kaamua kuwasamehe?

    Kitendo cha kushambuliwa Mhs. Freeman Mbowe na watu wasiojulikana na kumvunja miguu mwenyekiti wa Chadema taifa na KUB hasa ukichukulia tena tukio hili limetokea tukiwa tunakaribia uchaguzi mkuu, tena wakora hao walimwambia kuwa anaisumbua serikali vyo wakamtegua mguu sasa ni vipi huyu...
  10. D

    Chadema kutoka kuwa chama cha upinzani hadi kuwa chama adui kwa serikali na wananchi wa kawaida

    Nimeshangaa sana kuona Chadema ikwa inaipinga CCM kwa nguvu kubwa hili hari kumbe wanafanya vita na wananchi wa kawaida na wengine ni wanachama maskini wa Chadema. Chama cha siasa kufanya uadui na wananchi au wapiga kura ni kitu cha ajabu. Angalia jinsi Chadema ilivyoamua yenyewe kama chama...
  11. D

    WHO walitabiri hadi kufika katikati ya Mei maiti zitakuwa zinazagaa katika mitaa na vichochoro vyote katika Bara la Afrika kutokana na COVID-19

    Huo ulikuwa utabiri wa mke wa mzungu ambaye ni tajiri mkubwa dunia mama Melinda Getes ambapo utabiri wake ulipaliliwa na shirika la afya duniani WHO. Utabiri huo haukuishia hapo ulikwenda mbali zaidi kwa kusema kuwa ugonjwa wa Korona utaipiga Afrika barabara yaani thelusi 3 ya watu weusi...
  12. D

    Uchaguzi 2020 Unaweza usiaminiI CHADEMA kusumbua sana uchaguzi mkuu 2020 kuibuka kidedea

    Pamoja kuwa chama kikuu cha upanzani kiko katika hari mbaya sana kwa sasa ni kama mtu anapumulia mashine ya ugonjwa wa Korona katika chumba cha wagonjwa mauti uti lakini kinahistoria za ajabu kuibuka kidedea au kukimbiza dakika za majerui. Chadema kimepita katika misukosuko mikubwa huko nyuma na...
  13. D

    Kweli Marehemu Christopher Mtikila alisema kweli kuhusu 'unyani'

    Marehemu christopher Mtikila alikuwa akilia sana na kuwafananisha viongozi wa Tanganyika wakati ule na viongozi wa Afrika na nyani ambao tunawaona mstuni. Marehemu Mungu ampe pepo ya milele. Mchungaji alienda mbali sana na kusema viongozi wa Afrika wako tayari kuuza ndugu zake, familya yake...
  14. D

    CHADEMA inamuandaa mgombea wao wa urais kwa siri kubwa

    Taarifa za ndani zinasema kuwa anaandaliwa Mzee Mabere Nyaucho Marando kuwa mgombea urais kupitia CDM. Mwanasheria huyo nguli ambaye pia ni watu wa mwanzo kuasisi mfumo wa vyama vingi ataibuka kama upepo wa kisuli octoba 2020 hili kufuana na Dkt Jonh Pombe Magufuli.
  15. D

    Ushauri wa bure kwa CHADEMA dhidi Freeman Mbowe

    Ni kweli hata katika Biblia wameandika upendo uvumila yote, upendo haukosi kuwa na adabu, upendo uamini yote, upendo hauhesabu mabaya. Hii ndiyo hali ambayo wabunge watiifu Kwa Freeman Mboe wanapitia na kusikiliza amri ya kamanda mkuu, mfalme wa anga akitoa amri katika hili gwaride. Hebu...
  16. D

    Hivi hali ikoje wakati tunatangaziwa maambukizi mapya ukilinganisha na sasa zoezi limesima hatusikii lolote

    Mi naona hari hii imetupa kupumua kidogo maana tulikuwa tuana kaa roho juu kilasiku wakati Dada Ummy ambaye anasura nzuri lakini akianza kutangaza anatisha, mi naona Mhs. Ummy aendelee kutulia kwani alikuwa anasababisha presha zetu kupanda kupita kiasi. Na naunga mkono kauli ya huyu Mhs. Ummy...
  17. D

    CHADEMA huwa haiangalii mwisho wa maamuzi yake sijui kwanini

    Chama cha Democrasia na maendeleo kimeonyesha wazi kuwa hakifanyii kazi au tafiti maamuzi yake azi ifu ni chama kigeni hapa Tanzania, ni kama hakipendi kuumiza kichwa sina hakika huwa linakuwa wazo lamtu mmoja au vipi lakini siamini. Tujaribu kuliangalia swala la kulokudauni au kufunga miji na...
  18. D

    Mshaurini Kiranja mkuu, naona kama anazamisha jahazi

    Si kila jambo kusingizia CCM kwani kila kitu duniani lazima kipitie changamoto zake hivyo hii tabia ya kususa ingeangaliwa upya kwani haijawai kuzaa matunda tangia ilipoanza kutumika. Maalim Seif ilimfelisha sana hii njia ya kususa, CHADEMA wameitumia na kufeli nyakati zote. Nadhani ipo haja ya...
  19. D

    Namfananisha Rais Magufuli na Mfalme Nebkadneza

    Nimemsikiliza leo huyu Mzee kwa umakini mkubwa ndiyo nimemwelewa vizuri kwa mara ya kwanza kuwa Rais wa awamu ya 5 Ndugu na Daktari Joni Pombe Magufuli ni kiongozi si waajabu lakini nimemfananisha na Mfalme Nebkadneza ambaye yeye wakati wa utawala wake alikuwa anategemea wataalam wa mwili yaani...
  20. D

    Ni hatari kufanya uchaguzi wa Rais katika kipindi hiki cha COVID 19

    Dunia nzima inapita katika kipindi kigumu sana kisiasa, kiuchumi na kijamii. Shughuli zote za kijamii, kiuchumi na kisiasa zinafanyika kwa ugumu sana. Tumeshuhudia shule zikifungwa, ndege haziingii wala kutoka, utalii ukisimama mabisa, biashara zikidorola, hofu ya ugonjwa na matumaini ya maisha...
Back
Top Bottom