Search results

  1. J

    Watanzania, Ni vigumu Kumsahau Lowassa

    HIVI unamaanisha ni viugum kumsahau E.N.L wala si ngumu kumsahau mbona tumeshamsahau huyu mtu na wala haihitaji kutumia nguvu nyingi kuwaelezea watu alichokuwa akikifanya watu watajua tu ama wanajua......kila la heri endelea kumkumbuka mkuu
  2. J

    Tunaomba wa mwisho kutoka Chadema asisahau kuzima taa na kufunga mlango

    ndugu yangu hawa hawezi kumchukua zzk kwani ni mtu ambaye yuko chadema kwa maslahi ya ccm ndiyo maana wanalilia msimtoe huyo suluhisheni tu yataisha hayo.kwani hata yasipoisha sisi ndiyo tutakaoumia nyie mnakerwa na lipi??
  3. J

    TAARIFA kuhusu Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA, kilichomalizika leo Jan 04, 2014

    mgogoro unawahusu CHadema,Ccm hawa ni wapinzani kwanini Ccm wanataka tusuluishe yaishe wakati wao yasipoisha kwa CHadema wanatakiwa wafurahie kwani wanaamini chama kuvunjika.kwanini mnataka tupatane na zzk kama hamna maslahi yenu na zzk anapokuwa chadema?
  4. J

    Lowassa, Meghji, Airo hoi bungeni

    Ni kweli bwana sio wote wako interested bungeni wengine wanaisaidia jamii na makundi mbalimbali kwa kuwapa fedha nae ni mchango wake!!!!
  5. J

    Mh. Mwakyembe TRL ITAKUSHINDA UKIENDEKEZA KUTAKA SIFA.

    Mkuu hapo umenena hakika nami nahisi huyu jamaa amekumbwa na ile issue ya magari ya Dandho katimuliwa huyu pia hatutakushangaa sana kwakuwa unaonekana ni kambi ya E.l lolote afanyalo kwenu hamuwezi likubali ila tupo tunaweza kuona na kuhisi kuna kitu cha tofauti
  6. J

    Zitto katoa wapi pesa za kufanya 'private investigation' Uswisi?

    Katumwa huyo utafikiri analipwa?we kinakuuma nini Zito akifanya kwa kutumia hela yake mwenyewe?
  7. J

    JK akabidhi kadi za CCM 1138 ktk ziara yake LINDI.

    sasa kama amewapa kadi wanachama wapya 1138 tupeni picha nasi tushuhudie mlichokiandika.
  8. J

    Kama MWAKYEMBE na MAGUFULI wanafanya uhuni huu basi CCM imedhamiria kuwazika Watanzania!!!

    Hatutaki kumsifia mtu kitu asichokuwa nacho kwani haya majembe yangu popote yatakapokuwa yanafaa kwa kazi na kazi yenye tija.nitawapigia kura yangu katika chama chochote wewe una chuki binafsi wala si ya maendeleo uyasemayo. Treni kutoka ubungo hadi stesheni inatumia hardly daika 45.lina behewa...
  9. J

    CHADEMA wadaiwa kupiga na kujeruhi viongozi wawili CCM

    si ni gazeti la serikali ulitegemea nini?
  10. J

    Kumbe kutekeleza ahadi kazi: Mjane wa Mwangosi alia na Slaa

    MI NADHANINI CCM TU NDIYO WANAWEZA KUTEKELEZA AHADI WANAZO AHIDI.! :A S embarassed: :smash:
  11. J

    Watoto wa Wasira waliojiunga CHADEMA watoa ufafanuzi juu ya uhusiano wao na Waziri Wasira

    Hongereni kwa maelezo ya kutosha kwani hayo maelezo yenu hayakuhitaji mtu yeyote aje ayajibu wala kukanusha kipekee nimeshangaa mzee Wasira akijikanyaga eti kuwa akina Esther na mwenzake si watoto wangu bali ni watoto wa kaka yangu.Safi kwa uamuzi wenu mliouamua always AIM HIGHER@ M4C
  12. J

    Wanasiasa na kashfa za ngono

    Ninaendelea kulikumbuka Azimio la Arusha.sioni ubaya wake ila mle kulikuwa na miiko ya uongozi lakini mliamua kukataa muwe huru haya ndiyo yanayotokea sasa.tusijilaumu kwani kupanga ni kuchagua
  13. J

    Dkt. Ulimboka amuumbua mmoja wa wahusika wa utekaji wake!

    Jamani huyu muhusika amefahamika tayari na atatakiwa awataje wenzake.tumeweka vizuri utetezi wetu kwani lazima atatakiwa kwenye vyombo vya sheria.twahitaji majina yake yote na yuko wapi kikazi na kitengo chake.kwani kwa unyama huu alioufanya huyu ni wa kunyongwa tu.uzuri kama Dr mwenyewe...
  14. J

    Mkimgusa Edward Lowassa mtasahaulika katika siasa za Tanzania!

    ok bwana kila mtu na maoni yake unaona anafaa lowasa mpe kura yako,si ndiyo uhuru/haki ya kila mtu wa kikatiba.ila mimi naona kama watamsimamisha wasira(tyson)huyu atatufaa zaidi.ccm tufikirie zaidi juu ya hili.
  15. J

    Chadema hamjui mnazidiwa na mzee wa mpako

    Mzee wa Mpako ndiyo nani?
  16. J

    Wanaohama CCM ni 'Oil Chafu' - Nape

    siku zote kumbuka ukiwa kiongozi akihama mtu hata mmoja mtafute na uhojiane naye ni kipi kinamtoa.sasa wewe unasema endeleeni kuhama ni oil chafu
  17. J

    Wanaohama CCM ni 'Oil Chafu' - Nape

    haya ni maneno tu yatapita yasiwasumbue
  18. J

    Hotuba ya JK Mwanzo wa Mwezi Vipi?

    MWAMBIENI JK akamuulize B.W.MKAPA aliwezaje kuyafanya yote na katika miaka yake yote
  19. J

    Serikali ya CCM yazidi kuchafuka UDOM

    Kwani mnahitaji hela kiasi gani ndugu yangu sidhani kama nikikubwa kiasa kwamba serikali kushindwa kuwalipa.kwani safari moja ya JK (msafala wake wa Brazil alitumia Tsh 251mil safari moja tu.sina data kamili kwa mwaka mzima huu amesafiri mara ngapi utapata majibu.yeye anatanua huko nyie...
  20. J

    Obama becomes first US President to support gay marriage

    kulingana na mambo yanavyoenda utasikia siku moja Rais atatangaza hatuna budi kukubali kwakuwa wanatupatia misaada nyie subirini tu.
Back
Top Bottom