Search results

  1. F

    Nchi Mbili Tofauti: Congo na DRC/RDC (Democratic Republic of Congo/ Republique Democratic du Congo)

    Asante sana hizi Nchi zimekuwa zikinichanganya Sana ivi hapa kabla sijapita hii page nilikuwa na Google nipate utofauti wake upoje,barikiwa.
  2. F

    Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

    Ni biashara ninayoitamani niianze hata Leo ,ni nzuri Sana na yenye faida ila inahitaji ujipange maana maandalizi yake SI haba
  3. F

    Sitathubutu kuoa mwanamke mwenye elimu duni

    Don't take it serious mkuu we are just refreshing mind,life is too tough we are trying to share different ideas.at the end Kila mtu ana mtazamo wake Kuna mtu hapendi kuoa msomi Kwa mtazamo kuwa atamsumbua pia Kuna anayetaka kuoa msomi mwenzake pia Kwa maana watakwenda sawa,ambacho nakuona Mimi...
  4. F

    Sitathubutu kuoa mwanamke mwenye elimu duni

    Well said mkuu, hakuna tajiri msomi,ngumbaro wenzangu mje tulisongeshe gurudumu pamoja,nyie mnaotaka waliosoma mkafungue vyuo vyenu.
  5. F

    Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

    Umenifurahisha hapo kwenye aunt mwenyew ndo wewe ,usijari dear Mungu atakupa Kwa wakati wako.
  6. F

    Sitathubutu kuoa mwanamke mwenye elimu duni

    Asante mkuu Kwa kunitia moyo
  7. F

    Sitathubutu kuoa mwanamke mwenye elimu duni

    Sasa sisi wa fomfo atatuoa nani au ndo tumelala yoyoyo
  8. F

    Adhabu gani inamfaa mwanamke huyu?

    What goes around comes around
  9. F

    Ushauri: Mpenzi wangu mpya ni Mzungu, nashindwa jinsi ya kumuomba pesa

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 daaah ukweli mtupu wako honest kweli Kuna rafiki yangu alikuwa na mpenzi mzungu Kuna siku alimuomba hela akamjibu usiwe kama wanawake wanaopenda hela ,hela ya kukupa sina ila km unahitaj kuja UK nitalipia tiketi ya ndege 😂😂
  10. F

    Ushauri kati ya kozi ya Public Health na Health System Management

    Habar ya kazi wakuu, nahitaji kusoma masters. Naomba mwenye uelewa wa hizi kozi ipi ni nzuri zaidi na ni Vyuo gani hutoa hizi kozi. Asanteni
  11. F

    Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    Hao ni walinzi wa kisiasa wanaitwa Green guard,hata chadema wanao hao walinzi,so ni kawaida tu
  12. F

    Yamenikuta mwenzenu. Ushauri tafadhali

    Shame on you,ulishindwa kudate na mtu angalau kuanzia miaka 25yrs ,mtu mzima kama wewe unatoka na vitoto vidogo hivo,utavuna ulichopanda,ninyi ndo mnatuharibia watoto wetu ,afu wa kwanza kuja kuleta majukwaa ya single mother na kuwananga,😥😥😢😢Ninyi wababa sometimes muwe na huruma jamani mweeeee!
  13. F

    Kikuu vs AliExpress

    Tayari ninayo app ya Aliexpress but nashindwa kutumia nikiandika kitu ninachohitaj vinakuja vingine ,pls Msaada how to use
  14. F

    Kikuu vs AliExpress

    Mbona najaribu kuingia hapo inagoma,msaada
  15. F

    Kikuu vs AliExpress

    Mwl.naomba nisaidie jinsi ya kupata app ya Aliexpress
Back
Top Bottom