Search results

  1. Lyn Vivac

    Papers za Geography au SST

    Hello wadau, nafahamu hapa nipo mahali sahihi kabisa. Mimi ni mwl wa geography, nahitaji kama kuna walimu wenzangu humu hasa kwa private schools tusaidiane namna ya kupata papers na kutungiana mitihani kama utawezekana, au pia kubadilishana mitihani toka katika shule mbalimbali. Kama wapo...
  2. Lyn Vivac

    Kuolewa usipopenda..

    Habari zenu? Hope mu wazima!! Binadamu tuna mawazo tofauti sana, namaanisha kila mmoja ana namna Mungu alivyomjalia hekima. Ninaomba mnipe ushauri wa kumshauri huyu mtu maana hadi sasa analia tu. Main body: Nina jirani yangu wa kike ambaye sahivi ni kama rafiki kabisa kwangu. Kuna kaka...
  3. Lyn Vivac

    Yanga -Ruvu

    Hello wazawa, leo vipi matikeo ya timu hizi mbona sijayaona??????? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Lyn Vivac

    Frame ya restaurant

    Habari zenu wadau, Straight to the point natafuta frame kwa ajili ya restaurant hapa Dar, hasa maeneo yenye watu wengi au watu wengi wanapokutanika. Tafadhali naomba msaada wenu wadau nianze ujasiliamali maana monthly salary haifui dafu kwa maisha yangu. Natanguliza shukrani.
  5. Lyn Vivac

    Kazi ya tourguide!

    Habari zenu wapendwa? Namtafutia kazi kaka'ngu, ana diploma ya tourism na pia amejifunza driving. Amekaa mtaani siku nyingi plz naombeni msaada wenu juu ya hili kwa anayeweza nisaidia.
  6. Lyn Vivac

    Laptop nzuri tafadhali

    Habari zenu wapendwa? Naomba kwa wataalamu wa hivi vifaa, maelezo au specification ya hizi computer tafadhali. Nahitaji PC nzuri, naomba msaada wenu plz.
  7. Lyn Vivac

    Scholarship nje ya nchi

    Hello, Hope mnaendelea vyema, naomba kujua namna ya kutafuta au nitapataje scholarship nje ya nchi hii ya tz hasahasa nje ya Africa au hata ikiwa Africa yenyewe. Plz, mwenye ujuzi naomba anisaidie. Nimehitimu bachelor ya education this year.
  8. Lyn Vivac

    Kuna athari gani kutokuwa katika uhusiano kwa muda mrefu?

    Habari zenu? To cut the story short, kuna rafiki yangu ( msichana) ana mchumba wake, takriban miez miwili sasa. Tatizo yule kaka haeleweki ( maneno ya mlalamikaji), yaan kama vile yupo hayupo, Akimuuliza kwann yupo hivyo, kaka anasema amekaa nje ya mahusiano tangu 2011 kwa sababu mchumba wake...
  9. Lyn Vivac

    Rafiki wa ex wangu ananitaka niwe mkewe

    Hello, habari zenu wapendwa? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nilikua na mchumba angu (sio mpenzi na hatukuwahi kukutana kimwili) ambaye tumedumu kwa miaka miwili, hatukuwahi kugombana wala sikumfanyia kosa lolote kwa mtazamo wangu, nilimjali kwa kila kitu hadi marafiki zake wakawa...
  10. Lyn Vivac

    Je soko la matango kwa mwezi december nitafanikiwa?

    Wapendwa, habari zenu? Poleni sana kwa majukumu. Naomba kusaidiwa, soko la matango kwa mwezi wa December nitafanikiwa? Nimepata shamba tayari na najua gharama zake si kubwa kiasi hcho, naombeni ushauri au ufahamu wa zao hili tafadhali. Mungu awabariki na abariki pia kazi za mikono yenu.
Back
Top Bottom