Search results

  1. Freema Agyeman

    Watoto wa Lemutuz walikataa kumsamehe baba yao...

    Bwahahaa. Angekutolea cheko hilo.
  2. Freema Agyeman

    Watoto wa Lemutuz walikataa kumsamehe baba yao...

    Nimeona maneno yasiyo ya staha nikashtuka. Sikutegemea kusoma maneno hayo kutoka kwako great thinker.
  3. Freema Agyeman

    Watoto wa Lemutuz walikataa kumsamehe baba yao...

    🥱 siku hizi nawe umeanze hivi viroja?
  4. Freema Agyeman

    Mbowe: Matatizo inayopata CHADEMA hata wanaCCM wanayapata

    Mbona ipo obvious zamaaani. Hakuna upinzani Tanzania wote ni wale wale wachumia tumbo.
  5. Freema Agyeman

    Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

    Skuona disclaimer kuwa huu uzi ni kwa mnaopenda madogo. Sorry wrong post.
  6. Freema Agyeman

    Ex harudiwi. Ilikuwaje ulipomrudia Ex wako? (Ushuhuda)

    Chemistry ipo tu haifufuliwa. Ukiona unatafuta jinsi ya kufufua chemistry basi jua haipo. Move on.
  7. Freema Agyeman

    Ex harudiwi. Ilikuwaje ulipomrudia Ex wako? (Ushuhuda)

    Why not, kama hamkushindwana ila mazingira yaliwatenganisha na bado chemistry na spark ipo.
  8. Freema Agyeman

    Kumtafuta mchepuko wa mumeo

    Akupendae mpende, asiyekupenda mwache aende.
  9. Freema Agyeman

    Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

    I see, Mbowe kama Mbowe. Hongereni kwa kuanza.
  10. Freema Agyeman

    Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

    RIb eye, jembe choma kwa mshale wa kukaanga na kachumbari kwa pembeni.
  11. Freema Agyeman

    Mama Samia Suluhu anajua kuongea Kiingereza?

    Poleni. How many more days of purgatory?
  12. Freema Agyeman

    Corona: Misiba mitaani imekuwa mingi mno. Hii siyo kawaida

    Una stress, nayo ni ugonjwa unaoweza kusababisha kukata pumzi Unaweza usife kwa corona ukafa kwa stress, ajali, mshtuko au maradhi mengine.
  13. Freema Agyeman

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

    Ukitaka kumjua mmbea mpe fake news. Ikikurudia unajua fika nani 'asutwe'. Jamani nyanyukeni chaumbea kaja!
  14. Freema Agyeman

    Hali yangu kiafya si nzuri. Maombi yenu Wakuu

    Fiati hujatumia busara kwenda kwenye mkusanyiko ukiwa mgonjwa, unadhani unaweza kuwa umewaambukiza watu wangapi ugonjwa wako huko kanisani?
  15. Freema Agyeman

    Mama mkwe huyu anaweza kuharibu ndoa ya Mwanawe wa kike. Suluhisho ni nini?

    Kama kweli tatizo ni kitanda kupiga kelele wakati wa kujamiiana, akitengeneze au nunua kitanda imara. Afike nyumbani kwa bashasha, aanze rom na mkewe sebuleni, amfate jikoni, yaani mahaba km yote wakati wowote. Aishi maisha yake na afanye wajibu wake.
  16. Freema Agyeman

    Mwanangu kaniuliza baba mbona mama kajaa tumbo (mjamzito) nimepatwa na kigugumizi. Wewe ungejibuje?

    There is no dangerous information than misleading information. Fyi huyo mtoto pengine ana idea au anajua mchezo mzima anataka confirmation toka kwa mtu anayemwamini. Kwa hiyo mtoto akikua utamwambia ulimdanganya kuua curiosity yake? Tunaweka negativity hata kwenye malezi tukitegema tuwe na...
Back
Top Bottom