Search results

  1. B

    Anakotupeleka Rais Magufuli ni kuzuri; Serikali itakuwa na uwezo wa kumlipa hela kila asiye na kazi

    Kwa iyo buku buku ndio unaita inflow ya pesa ya kulipia trilions zilizokopwa, subiri wachina waje wachukue nchi yao deni halilipiki.
  2. B

    Diaspora changeni pesa mfanye kitu kikubwa nyumbani

    Wazo zuri lakini sio kwa Tanzania nchi haiko stable kabisa biashara ya Leo sio ya kesho vitu vinabadilika upesi sana, sheria ziko chini ya kabati anytime zinabadilishwa na mtu mmoja tu kwa mawazo yake binafsi.
  3. B

    Tanzania inaweza kuwa Taifa la Watu Wajinga zaidi Duniani!

    Nadhani kwa wakati huu ndio taifa la wajinga wengi na vichaa pia
  4. B

    Tuliokuamini na kukutetea kwenye janga la Corona umetuangusha. Nimepoteza rafiki na ndugu kwa janga la Corona. Serikali chukueni hatua

    Bwana Paskali watu wanamuelewa mkuu ndio maana hawakubaliani nae, kwanza kuelimisha wananchi siukweli elimu nyingi iliyotolewa haina msingi unawaambia wavae barakoa wakati uwafundishi hata jinsi ya kuivaa na kuivua barakoa sawasawa, na izo barakoa nyingi ni chini ya kiwango so maambukizi yako...
  5. B

    Kwanini CCM wanalaumu CHADEMA kujitoa Uchaguzi Serikali za Mitaa? Sababu hizi hapa...

    Mjomba hii ndio Sayansi mnayo ielewa nyinyi tu, hii kitu haingii kichwani TZ mapato yake haiwezi hata kulipa mishahara sasa mnaposema mnagharamia mradi wa billions $US it doesn’t add up ni uongo ndio maana mnafukuza CAG, vitu havipitishwi bungeni ni uongo. Time will tell mbivu na mbovu tutajua...
  6. B

    Kwanini CCM wanalaumu CHADEMA kujitoa Uchaguzi Serikali za Mitaa? Sababu hizi hapa...

    Acha kujiongopea na kuwa mjinga kiasi hicho weka mradi mmoja unaofanywa na pesa za ndani.
  7. B

    Walichofanya Serikali ya Boris Jonhson ni kitu cha kuigwa na viongozi wa Afrika

    Like I said you don’t have any idea what’s going on, Commons trying to deny people’s voice and reaction you will see in next election people will punish them.
  8. B

    Walichofanya Serikali ya Boris Jonhson ni kitu cha kuigwa na viongozi wa Afrika

    I don’t think you know what’s going on in UK, keep reading your unreliable source hao ni kama Musiba tu.
  9. B

    Team Membe akiwemo Nape, January, Makamba mbioni kufunguliwa kesi ya uhaini kutaka kumdhuru na kumpindua Rais Magufuli

    Na yeye akishamaliza muhula wake atuelezee hasara zote anazotuingizia na hela anazotupiga sasa ivi na mwanae Bashite.
  10. B

    Pamoja na ukatili wote huu, bado kuna wasaka vyeo wenye moyo wa kusifu na kupiga makofi!!

    Kwaiyo siku hizi Watanzania tunamipaka ndani ya nchi, huo ubaguzi
  11. B

    Ndani ya kaburi kwa siku 2

    Sio kweli huyu jamaa alichukuliwa na Bear akamficha kusudi amle siku nyingine, kwa bahati nzuri watu walipita huko wakamuona nadhani alimvunja mgongo niliiona gazetini.
  12. B

    Jionee Jinsi Madereva wa Mabasi ya Mikoani wanavyofanya jitihada za kuua abiria

    Sio wanafiki hawana confidence kumvaa Dereva hata hawajui haki zao.
  13. B

    Kuenea kwa ugonjwa wa kuamini uongo

    Nadhani ungebadilisha heading na kusema “Tanzania kuna ugonjwa wa kusema uongo” halafu wewe na hao wenzako waliokutuma ndio mtakuwa wakwanza maana mnadhani watu wote ni mambumbumbu. Watu wako kimya tu uwezi ukamjibu mjinga kila kitu.
  14. B

    Rest In Peace Kizzo Gunz

    Saa nyingine nawazaga ivi kuna watu wengine are so f**kn dumb so stupid au ushamba uliopitiliza. Mtu kavaa heleni kwa mapenzi yake kama wewe una ushujaa wa kuvaa heleni sinyamaza tu who da f**k are you kujaji. Na nani kasema heleni wanavaa wanawake tu na kuvaa suruali ni wanaume tu. Wewe ndio...
  15. B

    Emani UK Trading Ltd walioko London ni Matapeli wa Kusafirisha Mizigo toka UK

    Kwanini usiiripoti kwa polisi wakati vielelezo vyote unavyo. Kama wewe uwezi tafuta mtu yeyote alieko U.K. Mpe details akawashitaki.
  16. B

    Watumishi wa umma tumemkosea nini Rais Magufuli?

    Dharau inafanya mtu awe mjinga, kama mtu analipwa laki ukitoa makato yote ya paye na mkopo atabakiwa na ngapi? Student loan isitumike kukandamiza maskini kwa kisingizio cha kusaidia maskini. Makato yangeendana na mapato kama unaingiza chini ya laki tano ingekuwa 5% juu ya laki tano mpaka 800k...
  17. B

    Best Watch Brands for Men!

    Saa ndio ugonjwa wa kiume zamani tulikuwa tunaita vidonda, mapenzi yangu. 1. Invicta 12879 (heavy) 2. TW steel ( big for big watches) 3. Citizen Eco Drive 4. Tag 5. G A mechanical (leather)
  18. B

    Muongo Vs. Mengi. Kimenuka !

    Ebu elezea vizuri na ubongo wako usio jaa kisoda Kivipi watanzania tunashindwa kama sio Muhongo keshavuta kwa BG na wengineo wapitishe bill ile kwetu. Anacho sema Mengi ni sahihi zitungwe sheria Kabla na watanzania tunaweza.
  19. B

    Ps2 for sale na ps3 inahitajika

    "ps2 inauzwa iko full kabisa memory card,pad 2 ,ni ile kubwa sio slim na ni ntsc unapata na cd 1 bei 160 maelewano yapo condition nzuri na haijatumika sana na anaeuza ps3 from laki6 hadi 8 ni pm au 0713522445" Umeshapata ps3? Kama bado mi naweza kukutumia kwa 8k.
Back
Top Bottom