Search results

  1. Panga Makalikuwili

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Mwenyezi Mungu amrehemu, Angetufariji Angefanya tujiamini sana hata kwenye hatari Angetuaminisha kuwa Mungu anatupenda sana sisi kuliko wengine (hili ni jambo jema sana) Angezitajirisha nafsi zetu kwa kutuwekea wazi utajiri tulionao nchini Pia angetutangazia faida kubwa imepatikana tangu...
  2. Panga Makalikuwili

    #COVID19 Tulioathiriwa na corona kwa namna moja au nyingine tukutane hapa

    Habari wana jamii Namshukuru sana Mungu mpaka sasa sijaugua corona ingawa wataalamu wanasema unaweza kuwa nayo bila kutambua kutokana na uimala wa kinga yako. Hata hivyo katika kipindi cha miaka miwili iliyopita, corona imenigalagaza na kunichapa kimaisha vibaya sana. Mimi ni miongoni mwa...
  3. Panga Makalikuwili

    Kituo cha Mwendokasi Karume kinajengwa juu ya makaburi

    Mkuu ,kituo kinajengwa kati ya barabara moja na nyingine, kwenye tuta linalotenganisha barabara ya kwenda na ile ya kuludi.Sehemu hii tulizani hakuna makaburi cha kushangaza kila tukichimba tunatoa masalia ya watu. Yaani hata yanapopita magari sasa hivi, chini kuna makaburi hayajaondolewa.
  4. Panga Makalikuwili

    Kituo cha Mwendokasi Karume kinajengwa juu ya makaburi

    Ni mifupa ya zamani sana, ikitolewa inapukutika
  5. Panga Makalikuwili

    Kituo cha Mwendokasi Karume kinajengwa juu ya makaburi

    Eneo lile lilikuwa na makaburi kabla ya kupitisha Barabara pale. Magari yanapita juu makaburi. Kwa kipande kidogo tulichochimba kwa ajili ya kujenga kituo tumekuta makaburi mengi tu. Mifupa na mafuvu tumeacha mlemle chini na ujenzi unaendelea.
  6. Panga Makalikuwili

    Kwanini wake za watu wengi wanaongoza kuchepuka?

    Tafuta usiri wa kuwamaliza waende zao
  7. Panga Makalikuwili

    Nahisi naonekana kama mwizi

    Au unavaaga mishati mikubwa, wanadhani umeficha silaha
  8. Panga Makalikuwili

    Songea: Makanisa mawili yateketezwa kwa moto

    Hakuna mfiadini aliye kufia ndani?
  9. Panga Makalikuwili

    Iko siku machinga watawashika viongozi pabaya

    Too much bhana.. Mpaka nje ya ATM
  10. Panga Makalikuwili

    Gazeti la Raia Mwema lafungiwa kwa siku 30

    Wafunge na wizara ya habari
  11. Panga Makalikuwili

    Kwa walichokifanya Mbagala leo, Polisi sasa wanatia aibu

    Pale mbagala kizuiani kuna mgomo wa wafanyakazi wa kampuni ya sino hydro, wanaojenga barabara ya mwendokasi ya kilwa load. Wana siku ya tatu wakigoma kushinikiza madai yao. Ila asubuhi ya leo walifika polisi wakiwa na silaha,bila kuuza chochote kutoka kwa wafanyakazi wakaanza kuwavulumishia...
  12. Panga Makalikuwili

    CHADEMA imarisheni chama chenu haraka, fursa ndiyo hii

    Hii hali iliyojitokeza sasa ya wananchi kuonyesha chuki dhidi ya ccm na serikali yake ni fulsa kubwa sana kisiasa
  13. Panga Makalikuwili

    CHADEMA imarisheni chama chenu haraka, fursa ndiyo hii

    Uzuri wa kitu mpaka kitoweke mkuu
  14. Panga Makalikuwili

    CHADEMA imarisheni chama chenu haraka, fursa ndiyo hii

    Kwanza achaneni na kesi ya Mbowe kuwa kama jambo muhimu la kugalimu nguvu kubwa ya chama. Ni wakati wa kupanga upya safu ya ongozi wa chama tena kwa kuweka sura mpya ili kuvuta hisia za wananchi na kuwajaza matumaini mapya juu ya chama. Taratibu CCM ya 2015 kuludi nyuma inalejea, na chuki ya...
Back
Top Bottom