Search results

  1. M

    Kusajili Gari iliyotumika South africa

    Habari wafa, Kuna mtu amekuja na gari Kutoka South Africa nimeipenda nataka kununua. Naomba kujua nikitaka kuibadili namba zake za usajili zisomeke za Tanzania gharama zake zipoje na utaratibu wake upoje Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  2. M

    Nahitaji Nyumba ya kununua Dar es salaam

    Habari ndugu zangu, Nahitaji Nyumba ya kununua maeneo ya Mbagala, Kitunda, madale gogolamboto,pugu na maeneo mengine yasiwe mbali na mjini. Asanteni
  3. M

    Naomba ufafanuzi kuhusu makundi ya damu kwa watoto

    Habar wandugu Napenda kuuliza Hivi group la damu la mtoto linatokana na baba na mama magroup Yao ya damu au? Kwa mfano kama baba na mama ni b positive mtoto group lake linakuwa ni lipi? Ningependa kupata maelezo kwa magroup yote ya damu na mtoto anakuwa na group gani. Asanteni
  4. M

    Ushauri: Mawasiliano ya mke wangu na ndugu yake wa kiume

    Habari ndugu zangu, Mimi ni mwanaume nipo kwenye ndoa kwa mwaka wa pili now but mke wangu tumekuwa kwenye uchumba sugu kwa miaka kama minne. Tatizo mke wangu ana ndugu yake wa kiume undugu wa mbali wana mawasiliano ambayo yananipa wasi wasi sana. 1.Almost kila siku lazima wapigiane simu usiku...
  5. M

    Gharama za matibabu India kuondoa uvimbe (kansa)kwenye ubongo

    Habari za Mchana wadau,Tafadhali naomba kujua gharama za matibabu nchini india kuondoa uvimbe kwenye ubongo. Note;Nina Mdogo wangu umri ni miaka 8 ,alikuwa na tatizo la kudondoka na kupoteza fahamu,Baada ya tatizo kuzidi kuongezeka ,kama familia tuliamua kumpeleka hospital kwa ajiri ya...
  6. M

    0079047298024 nimeambiwa nipige hii number ckumake confirmation ya zawadi

    Habari wadau Wadau kuna namba imenitumia sms kwenye simu kupitia wasapps ikiniambia number yangu imechaguliwa na kushinda zawadi ya cash naomba ushauri kwa mtu ambaye anajua haya mambo isije kuwa ni matapeli
  7. M

    Biashara ya spare za magari Dar es salaam

    Habari za jioni wadau, Baada ya kufanya kazi kwa muda mreu na kutafuta mtaji wa biashara,Nimeamua kujiajiri na nimeazimia kufungua biashara ya spare za magari. Naomba kujua kwa wenye uzoefu na hii biashara mtaji wa 15,000,000 Tanzania shilingi unaweza kuanzia na je nikitaka kuchukua mzigo...
  8. M

    Accountant, DANIDA

    Habari zenu wadau ,samahani hawa jamaa wa Danida -ubalozi wa Dernmark walitoa tangazo la nafasi ya kazi post ni Accountant ,Naomba kama kuna Mtu ana any feedback aniambie.
  9. M

    Mke wangu ananitesa kwa hili

    Habari za usiku ndugu zangu Mke wangu anapenda sana kukasirika bila sababu za msingi, hivi hii inaweza sababishwa na kitu gani? Nimekuwa namshauri kila siku kubadilika kuacha kuwa na hasira haelewi nisaidieni ndugu zangu kuna kipindi nawaza labda kuna mtu anampa kiburi na labda ni mjamzito...
  10. M

    Msaada wa kupata nafsi st mary mazinde juu au kifungilo

    Wadau naweza kupata msaada kijana wangu amechelewa kufanya interview kwenye hizo shule naweza pata msaada ili aweze kuingia kati ya hizo shule mbili au seminar yeyote au shule zuri ya wasichana kwa masomo ya science amepata div 1.16 akiwa na amefaulu kiwango cha B kwa masomo ya...
  11. M

    Naomba kujua shule za ya advance kwa wasichana

    Ndugu zangu wadau naomba kujuzwa shule nzur kwa ajir ya wasichana iwe ya boarding na combination za science ,kuna kijana wangu nataka nimtafutie shule amefaulu masomo ya science amepata div 1.16,naomben msaada wenu wana jamvi
  12. M

    Aga khan founadtion interview vipi kwa nafasi za mtwara

    wadau mambo vipi hawa jamaa wa aga khan foundation walitoaga nafasi mbali mbali mtwara, vipi walishaita watu kwa ajil ya interview naomba kujuzwa kwa anayejua
  13. M

    Touch tv series show ya kiefer or jack wa 24hrs

    Wandugu mm ni mpenz mkubwa sana wa movie hii movie nimejaribu kuitafuta but sijaipata kama kuna mdau anajua jinsi ya kuidownload for free anilekeze link jaman naomba msaada.
  14. M

    Wwf program accountant position

    wadau mambo vipi hawa jamaa wameshaita shortlist au bado nauliza wakuu
  15. M

    International Psychometric Score anayejua kuhusu hii kitu msaada anayejua

    waandugu naomba kuuliza kama kuna mtu anajua kuhusu hii kitu anisaidie nimeomba kzi sehemu wameniambia nitupe na ips ambay kirefu chake ni hicho hapo juu,n hiyo huduma unalipia kwa anayejua anisaidie international job lazima utume hiyo ips
  16. M

    The agha khan university salary

    wadau habar zenu naomba kujua hwa jamaa wanaitwa agha khan univesity mshiko wao umekaaje kwenye post ya assistant accountant,naombeni kujua wadau bt mnisaidie wadau msinshambulie sana aminia jf the great thinkers
  17. M

    Nitapata wapi vifaa vya soloon ya kisasa ya wanaume

    wakuu nahitaji kujua ni duka gan hapa mjini dar es salaam linauza vifaa vya kisasa vya saloon ya kiume ,nataka kufungua soloon ,msaada wenu wadau
  18. M

    heifer international tanzania-walishaita watu kwa ajili ya inervier project accountant ?

    habar zenu wadau kuna ngo moja inaitwa heifer international walikuwa wanahitaji project accountant mwenye info anijuze kama walishaita watu kwa ajili ya interview. naomba kuwasilisha
  19. M

    Bodi ya mikopo

    jamani mwenye taarifa atujuze kuhusu bodi ya mikopo washaita watu kwa ajili ya inetrview au wanaita lini kwa anayejua naomba kuwasilisha
  20. M

    Presion air wameshaita watu au kwa ajili ya interview

    jamani naomba mnijuze presion air walitoa nafasi za Accountant vipi walishaita watu au bado? wenu katika kutafuta kazi
Back
Top Bottom