Search results

  1. Kutwa

    Watumishi wa umma tulionyimwa mshahara wa Machi kwasababu ya PEPMIS tumeumaliza mwezi salama, hatujawa ombaomba

    Tunajaza activity progress za PEPMIS kwa bei nafuu kabisa, tutengeneza Employee Performance Plan na ku-update daily performance kila week. Karibu inbox
  2. Kutwa

    KERO Huduma ya Airtel kwa Wateja wa 5G ina walakini, iangaliwe

    Nalipia kifurushi 110k, na matumizi yangu hayazidi 200GB per month lakini hii router hakuna kitu mzee, tumepigwa. Speed yake ukiconnect kwenye 4G na 5G ni sawa na inakata sana yaani kuitumia kwenye vitu vinavyohitaji video rendering muda wote hutoboi, inawafaa watumiaji wa social media wale wa...
  3. Kutwa

    10 Most Underrated TV Shows

    Kuna watu watakuja kusema umri wako hauzidi miaka 24 na unakula kwa shikamoo, naomba uwapuuze mkuu.
  4. Kutwa

    Sasa wale wafia dini hebu tuelezeni huwa mnawapapatikia hawa watu Kwa sababu zipi?

    Sasa DPWorld imeingiaje hapa au mimi ndio sijaelewa.
  5. Kutwa

    Baadhi ya Watanzania wanyonge maeneo mbalimbali wampigia magoti Paul Makonda kumuomba arejee mitaani kuendelea na ziara

    Mkuu hawa ni zaidi ya mamilioni, yaani nimeamka, kufika pale dukani nimekuta mangi amepiga magoti tayari, kituoni nimekuta mateja na baadhi ya abiria wamepiga magoti wakimlilia arudi, cha ajabu mpaka kwenye daladala watu wameacha seat wamepiga wagoti wakimlilia arudi yaani ni vilio vilio tu...
  6. Kutwa

    TUONGEE KIUME: Mwanaume fanya yote ila usisahau kuupa mwili pole

    Kuna wanaopumzika weekend mpaka monday inabidi wapumzike tena wasifike ofisini.
  7. Kutwa

    Pasco Mayalla ana vielement vya unabii afungue kanisa

    Mpaka Pasikali Manjaa ana chawa.
  8. Kutwa

    Mahakama yastukia utapeli wa Mchungaji, yaamuru arudishe milioni 15 alizotaka kumtapeli muumini wake kwa kusingizia zaka

    Wangekubaliana tu na huyo dada aandaliwe ibada yake, aombewe milango itafunguka atapata nyingine.
  9. Kutwa

    Massage za Dar

    Wewe ndiye au kuna mwingine ajaye...
  10. Kutwa

    UZUSHI Kijiji kizima chafutwa kwa tetemeko la ardhi nchini Morocco isipokuwa majengo mawili tu ya Msikiti

    Mwamba alikua anaiba material anakuja kujengea kwake. Leo kaumbuka.
  11. Kutwa

    Waislamu wagombea Msikiti wa Wilaya ya Nyamagana, Ngumi zaibuka Waumini wadai BAKWATA imeundwa huu Msikiti wa Masjid Noor wameukuta!

    Achana na historia, hapo mwenye umiliki ni yule aliyekaribu na Chama-dola zaidi.
  12. Kutwa

    Wazungu\Foregners wanatengeneza sana pesa hapa nchini kwa ujinga wetu

    Vijana tumeamua kujiajiri, kuna Wakurugenzi/Mameneja na Maafisa Bashiri, kazi yetu kubwa ni kutengeneza fixture ili kumpiga muhindi.
  13. Kutwa

    Wakazi: Niliwahi kulala kwenye gari miezi miwili baada ya kufukuzwa home

    Yaani unafukuzwa home na hela na gari, dah wakishua aisee, huyu itakua walimlazimisha amalize chakula akasusa. BTW, alikuja na ile Bigijii yake studio.
  14. Kutwa

    Wizi mpya wa "kuunganishiwa mabando (GBs)" umeibuka!

    Mkuu niulizie kwa kaka tapeli hicho cha miezi 6 GB80 kama bado kipo.
  15. Kutwa

    Nilikutana na mwenza wa maisha Dating sites

    Mlikua sahihi kutumia eneo lenye filter vinginevyo kimtaa mtaa, msingetoboa.
  16. Kutwa

    Haya ndio maumivu au uchungu wa kifo unaompata mtu anayekufa 'Sakaratul-Mauti'

    Experience yako ya kufa ni ya muda gani mkuu? Na katika mazingira gani tofauti tofauti?
  17. Kutwa

    Naitafuta sana hii Nyimbo ni oldschol Kali sana

    Pitia hii kwanza wakati unaongeza nyama. Yo-yo ft Ice Cube
Back
Top Bottom