Search results

  1. L

    Mjadala wa hukumu ya mahanga [segerea] na haishi [sumbawanga] mjini.

    Nimepata nafasi ya kusoma hiyo hukumu; ni uzembe tu wa petitioners kutoa ushahidi, na pengine wakili wake alaumiwe; 1. Kwamba mtendaji alikamatwa na matokeo feki na Mpendazoe kwenye Amended Petition alisema ana ushahidi wa CD ambao angeuleta Mahakamani, lakini hakuupeleka. 2. Kwamba kuna kijana...
  2. L

    Kuelekea baraza jipya "EVERYBODY MARK THESE WORDS"

    Wana JF, Mimi nashangaa kwa wale wanaoamini kuwa JK na CCM yake anaweza kuwawajibisha mafisadi. Tatizo si hao watu wanaopewa nafasi, bali ni mfumo. Haiwezekani tena ni ndoto ufisadi ukaisha chini ya CCM. 1. CCM walichota hela BoT (EPA) zilizomwingiza JK magogoni, kwa hilo ana mbavu gani ya...
  3. L

    Mwenye hukumu ya lissu na ya aeshy, naomba anisaidie, hata ya mbassa ikishatoka

    Wana JF, Nipo katika kuchambua hukumu za kesi za uchaguzi, ningeomba mwenye hukumu tajwa hapo juu anisaidie.
  4. L

    PICHA: Kwanini Tundu Lissu amelia baada ya kushinda kesi??

    Magamba bwana! Umesahau kuwa JK wakati wa kampeni aliwaambina wanasingida kuwa "Ni bora dr, slaa awe Rais kuliko Tundu Lissu awe Mbunge". Analia akikumbuka hayo pia! Aliyefuatilia kesi anajua jinsi Chiligati alivyokuwa anashikiriana na Mrema mchana na usiku ili wamwindoe Lissu kwa mashahidi Fake...
  5. L

    Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    Hamphrey Polepole anawakilisha NGOs kwa vile ni Mwenyekiti wa National Council of NGOS (NACANGO) Hajaenda kama mtu aliyetoka kundi la vijana.
  6. L

    Vurugu za Arumeru: Tunasubiri tamko la CHADEMA

    Magamba at work! Hivi wewe unamjali sana mwekezaji wakati wana wa nchi hawana ardhi? Ukifikiria Kimagamba ni matatizo mtupu, kwani si Mlimtuma EL kuwa angechaguliwa mkwe wake mngerudisha Ardhi? Wacha wananchi wachukue hatua
  7. L

    Ni makosa makubwa kushinikiza Serikali - Dk Benson Bana

    Jamani Dr. Banna naye si ni kiraza tu! Kuiwajibisha serikali haimaanishi kuishinikiza. Kwani hafahamu kuwa kazi ya Bunge ni kuisimamia serikali? Isipowajibika, Bunge huiwajibisha. Hiyo ndiyo separation of powers. Anategeme NEC au CC ndo iiwajibishe serikali? Watu wengine PhD zao sijui wamezitoa...
  8. L

    Wabunge Halima Mdee na Esther Bulaya wamefurahi Kanumba kufa?

    Ingependeza mngeomba kwanza ushauri wa kisheria kabla hamjawajadili hao! Lulu's case is a very simple case. She just needs wakili makini. She is innocent until pronounced guilty - Art. 13(6)(b) ya Katiba. Waandesha mashtaka wameshaanza kuchemka kumfungulia mashtaka ya "murder" hali wakijua...
  9. L

    Wabunge Halima Mdee na Esther Bulaya wamefurahi Kanumba kufa?

    Ingependeza mngeomba kwanza ushauri wa kisheria kabla hamjawajadili hao! Lulu's case is a very simple case. She just needs wakili makini. She is innocent until pronounced guilty - Art. 13(6)(b) ya Katiba. Waandesha mashtaka wameshaanza kuchemka kumfungulia mashtaka ya "murder" hali wakijua...
  10. L

    Chadema sasa chakomaa kisiasa- Arumeru Mashariki!!

    Bahati mbaya umeingia kwenye mtamdao wa watu wenye fikra makini ambao hawawezi kuyumbushwa na upuuzi wako huo! Umetumwa au umerogwa! Tunajadili mambo ya msingi humu si umbeaumbea wako.
  11. L

    Kesi ya G. Lema kuisha kiajabu

    The Start of a New Revolution!!!
  12. L

    Mahakama Kuu yaamuru madaktari kusitisha mgomo

    Nadhani Serikali inacheza na afya za Watanzania. Mgomo wa madaktari is about "attitude". Huweza ukabadili "attitude" kwa order ya Mahakama. Watarudi kazini, sawa, lakini huwezi ukawaamuru wafanye kazi kwa ustadi unaotakiwa kama hujawabilisha "attitude" yao juu ya kile wanachokipigania. Mahakama...
Back
Top Bottom