Kasumba iliyopo kwa baadhi ya watu hasa viongozi kutumia maneno "mwananchi wa kawaida" imepelekea kuzalisha mitazamo isiyo mizuri na imetengeneza mianya kwa baadhi ya wanasiasa na wachumia matumbo kutumia maneno haya kama njia ya kujiopolea faida za kiuchumi na za kisiasa. Sasa kwenye video hii...
Hivi ulishawahi kujiuliza waganga au matapeli wanatoa wapi taarifa zetu? :eek:lol unafahamu kila unapojiunga na kuipa ruhusa mitandao ya kijamii unajitengenezea mtandao usioujua ambao mwisho wa siku unaweza kutumika na watu wenye utaalamu wa sayansi ya kompyuta kukubaini wewe ni nani?, upo...
Hello! Habari!!
Leo nakuja kwako na historia ya fursa
Fursa ni nini?
Fursa ni pungufu lolote ambalo unaliona katika jamii yako au kwa mtu yoyote na kuweza kulipatia suluhisho.
Hivi unafahamu kuwa biashara zote duniani zimeanzishwa/zinaanzishwa kwa msingi wa falsafa moja tu ambayo ni "uzembe...
Yaaaaap kwa wale wapenzi wa TV Series na movies kupitia websites hizi inakuwa rahisi mno kudownload/kustream TV Series bureeeee! Kupitia websites hizi utaweza kudownload TV Series zaidi ya 2000+ zakizungu, zakihindi, zakichina, zakikorea pamoja na documentaries kutoka mashirika makubwa ya...
Kujiandaa kwa ujio wa mtoto ni kuna changamoto zake. Mtoto ni vema akawa na chumba chake ili kumjengea hali ya kujitegemea akiwa angali mdogo na pia kurahisisha uhifadhi wa vitu vyake bila kuchanganyika na vya wengine. Chumba cha mtoto 'Nursery' inatakiwa iwe comfortable na pia ya kisasa na...
The Magic of Thinking BIG-David J. Schwartz
Kitabu hiki kimebadili maisha yangu kuanzia mtazamo na utendaji wangu kazi. Kama kinavyoitwa The Magic of thinking BIG kinasihi kujiwekea malengo makubwa na kujiongeza kwa yote yaliyo mazuri, na kufanya mambo kwa UKUBWA na si tu ukubwa bali weledi...
Kwenye video hii nakuangazia msanii wa mziki wa Hiphop Tanzania Nikki wa pili akiongelea masuala mazima ya ubunifu, elimu pamoja na mambo mengine yanayohusu maendeleo ya jamii.
SUBSCRIBE, SHARE NA COMMENT kujumuika nasi Shukran!
Katika kupitia historia nikakutana na haya:
* watu wa Kagera walianza kufua vyuma takriban miaka 2000 nyuma,
na ufuaji wao vyuma pamoja na utengenezaji wa vyombo vya udongo upo tofauti na ule uliokuwa ulaya ama nchi zinazotajwa kuwa na maendeleo ya viwanda.
Kwa hivyo basi kama civilization...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.