Search results

  1. mcubic

    Simba SC wako kimya kana kwamba hawakucheza jana na Al Ahly

    Tunasema yanga amenyimwa goli
  2. mcubic

    Simba SC wako kimya kana kwamba hawakucheza jana na Al Ahly

    Mikia inajificha kwenye kichaka cha Yanga
  3. mcubic

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Sifurahishwi na Martial....badala akabe yeye anaoneshea vidole tu
  4. mcubic

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mwalimu amefanya gambling Kwa Pogba na Matic...hawana Kasi na ukabaji wao ni dhaifu
  5. mcubic

    Simba yasema kauli ya Manara haijatolewa kwa maelekezo ya Klabu

    Mikia bhana....naona joto limezidi wamesahau nguo...mambo hadharani
  6. mcubic

    CHADEMA leo wana nafasi ya kuweka historia ya kusimamia maadili ya chama kwa kuwafukuza Wanachama wake 19 kwa mpigo

    Kina Halima wana mtihani mkubwa sana kuishi na jina la usaliti......na usaliti wao upo wazi kabisa, yaani unaenda kuhalalisha haramu wazi wazi.
  7. mcubic

    Halima Mdee na wenzake 18 wagoma kufika Kamati Kuu ya chama kwa madai ya kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

    CDM wasipepese macho hapa, ni kuwafukuza tu hawa wahalalishaji haramu. Ukiona nzi wa kijani wanaruka ruka Kwa furaha ujue kuna matunda yameoza au mzoga. Ondoa mzoga mazingira yatulie watu wapate oksjeni maisha yaendelee
  8. mcubic

    Mtangazaji Maulid Kitenge mwenye Mahaba yasiyojificha na yaliyopitiliza kwa Yanga SC badilika kwani tumekuvumilia vya Kutosha

    "Sina shida kabisa na aina ya Utangazaji wako kwani hata Mimi japo ni mwana Simba SC naupenda na labda nikuambie tu Wewe umekuwa ni Mtangazaji Mahiri mno wa Michezo katika Watangazaji wa Kizazi hiki cha Kati na umeweza Kuwashawishi Watu wengi (Watangazaji) wengi wa Michezo Kukuiga kwa Mikogo...
  9. mcubic

    Live from Tunis: Tunisia vs Tanzania

    Kama matokeo ya wizi ya uchaguzi ulioisha hapa bongo
  10. mcubic

    Live from Tunis: Tunisia vs Tanzania

    Tumeenda kuzuia tu nafikiri....Tunis players are all over the pitch.
  11. mcubic

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Na bado CAS itakuwa against nae
  12. mcubic

    Kwa 'Kauli' hii ya Kocha mpya wa Yanga SC Mburundi Cedric Kaze tayari barua yake ya Kuachishwa Kazi imechapwa na imetunzwa

    Narudia tena, haitashangaza kama akifukuzwa.....huo ndio utaratibu.... Mengine hayo unayoleta ni mbwembwe tu.
  13. mcubic

    Kwa 'Kauli' hii ya Kocha mpya wa Yanga SC Mburundi Cedric Kaze tayari barua yake ya Kuachishwa Kazi imechapwa na imetunzwa

    Naona foma na omo imeenea kwenye maji....ila ukweli utabaki hivyo....wanaajiriwa na kufukuzwa.
  14. mcubic

    Uchaguzi 2020 Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu katika mji wa Tunduma

    Speech ya Lissu Tunduma....ni heavyweight.
  15. mcubic

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    "Kwa kipindi cha miaka mitano tupo salama zaidi kumjadili mungu kuliko JPM"-Lissu
  16. mcubic

    Uchaguzi 2020 Tunapenda Dkt. Wilson Mahera na wenzake wasikie sauti ya Askofu ambayo inawakilisha watetezi wa haki wote nchini

    Wana macho lakini hawaoni, Wana masikio lakini hawasikii. NEC na ZEC Wana sifa hizo tajwa....mwisho wake siku zote huwa mbaya kama sio wao basi vizazi vyao.
Back
Top Bottom