Search results

  1. F

    Benki ya Dunia: Tanzania ina nafasi gani katika kukua kwa Bara la Africa?

    Lakini huo ni MJADALA wa KISOMI katika Mazingira hayo UCHAMA unatoka wapi ndugu?? pia ilo tangazo linasema yeye atakua ni mwenyekiti wa Mjadala sasa hizo data atazipika katika mazingira gani???
  2. F

    Mjue mshauri wa Rais Magufuli anayedumaza uchumi

    binafsi SIMTETEI Magufuli, ila unavyo sema Rais Magufuli hashauriki UMEWAHI KUMSHAURI AKAKATAA?? au kuna Kiongozi wake yoyote aliye wahi mshauri Rais akakataa ushauri wake?? tuacheni maneno ya mitaani, maneno ya kusikia hayana ishu
  3. F

    Kibiti: Polisi yaua watu wanne(4) wanaodhaniwa kujihusisha na mauaji wilayani humo

    mashaka yako nini? Polisi wa TZ wapo vizur sana, usije ukaomba kukutana na moto wao mkuu
  4. F

    Kibiti: Polisi yaua watu wanne(4) wanaodhaniwa kujihusisha na mauaji wilayani humo

    ww unacho taka kujua hapo ni nini haswa?? au HUKUPENDA majambazi kuuwawa??
  5. F

    Benki ya Dunia: Tanzania ina nafasi gani katika kukua kwa Bara la Africa?

    Acha mijadala ifanyike tujue tunakosea wapi ili tuendelee kama Taifa
  6. F

    Benki ya Dunia: Tanzania ina nafasi gani katika kukua kwa Bara la Africa?

    haaaa aaaaa haaaaaa Nyoka alambi ungaa, hapo HAMNA HATA KUMI chezea JPM weye
  7. F

    Benki ya Dunia: Tanzania ina nafasi gani katika kukua kwa Bara la Africa?

    toa mifano basi ya mifumo mibovu tuliyoirithi ili tusaidiane kuelewa
  8. F

    Benki ya Dunia: Tanzania ina nafasi gani katika kukua kwa Bara la Africa?

    kwa nini unasema Tz inanafasi ndogo katika maendeleo ya Afrika???
  9. F

    Rais Magufuli: Msiwabomoleshe Mwanza, hata kama wamekosea ndio walionipa Urais

    haaaaa ndo kusema mzee baba mgonjwa??
  10. F

    Ukweli wa alichokisema Sheikh Kipozeo kuhusu Diamond

    Umechambua vizuri sanaaaa yani umetoa bonge la shule
  11. F

    UKONGA MOMBASA, DAR: Polisi watembeza kichapo kwa raia. Yadaiwa kuna askari kauawa na raia

    Hatuna budi kulipongeza Jeshi la Polisi na Viongozi wake katika kutulinda ss raia waadilifu, mali zetu na kila kitu, kwakweli mapolisi mpo vizuri sana. Vibaka wote mtaani saizi wanamjua KAMANDA SIRRO, kwa kweli big up sana mapolisi wetu
  12. F

    UKONGA MOMBASA, DAR: Polisi watembeza kichapo kwa raia. Yadaiwa kuna askari kauawa na raia

    weledi ndo nini?? mapolisi hawana shida jamani, hawa jamaa wana roho nzuri sana hawawezi kuleta fujo bhana
Back
Top Bottom