Search results

  1. E

    Kuagiza ama kuuza mizigo (Internatianal trade)

    Habari za muda wanajukwaa. Mimi nina rafiki yangu aliepo Asia (korea) wakati wa kujadili Idea za hela akaniambia yeye anafanyaga pia International trade. Akaniambia kuwa maaana yake ni yeye ni mtafuta masoko wa kimataifa anatuma mizigo kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine ama bara jingine...
  2. E

    Mawazo kuhusu biashara ya Bahasha za khaki / Paper Bags

    Habari? Jina Langu ni Mr Equator. Ni kijana ambaye najaribu kuyatafuta maisha. kwa njia mbali mbali. Nimekuwa nikitafuta wazo la biashara ya pembeni (Side-hustle) ya mtaji kati ya Laki 1-2. Kwenye pita pita zangu nimepata wazo la biashara ya bahasha na nika angalia video baadhi Youtube. Nika...
  3. E

    Ninatoa ushauri wa bure wa mambo ya Tehama

    Je, una swali kuhusu mambo ya computer? ama Tehama kwa ujumla yani (Information Technology?). Basi naomba nikukaribishe iwe maswali kuhusu printer, computer gani nzuri?, Naweza kufanyaje kwa ajili ya suala fulani? . Mambo ya website mambo ya mitandao ya jamii. Nitafurahi sana kuona maswali yako!.
  4. E

    Hadithi: My Soulmate

    My Soulmate Episode 1 Produced by EquatorStory Specials Stela :”Nickson uko wapi jamani ?? Mpaka sasa umechelewa sana.”. Ilikuwa ni sauti ya stela akimngojea mpenzi wake Nickson alie kuwa njiani akitokea kazini . Nickson:”Nimekuona mpenzi hapo ulipo nakuja jamani.”. Nickson alisogea taratibu...
  5. E

    Nafasi ya kuwa mtunzi wa kwanza kuandika story kwenye http://www.equatorstory.com/

    Habari mambo naitwa Mr Equator Nimeandika ujumbe huu kuku omba swala moja tu! Mimi nimetengeza website ya ku share story ambayo ni http://www.equatorstory.com/ Je umekuwa ukipata tabu kupost story zako hapa? Hili ndo suluhisho lako. Mimi nataka nkupe nafasi ya kuwa mmoja wapo wa kwanza kutumia...
  6. E

    Habari nataka kujua kama kuna e-wallet kali kama hii

    Habari mimi ninayo application ambayo ina husisha ama ina hitaji malipo. Hii application ni ya kuuza bidhaa Fulani nataka pale mteja anapo taka kununua mzigo aweke hela kwenye account yake then atumie kiasi kilichopo kuweza kumlipa muuzaji mara baada ya kumlipa muuzaji then anapata hiyo huduma...
  7. E

    Namna ya kuweka website / system yako ya website kwenye internet

    Je una website iliopo offline? na unataka kuiweka kwenye intenet? pata msaada wako hapo WA BURE pia kwa wanaojua mnaweza kuchangia na kunikosoa!. Kwa mtazamo wangu naona kuna njia mbili kuuu. 1)Kutumia server ya bure(Japo kuna faida na hasara zake) Mifano ya server za bure(Ntazitaja kadhaa lakin...
  8. E

    Njoo nikupe msaada wa bure wa website na wordpress

    Je ikiwa unahitaji msaada wa maelekezo kuhusiana na yafuatayo uliza na utasaidiwa bure 1) Msaada kuhusu website (iwe ni kiushauri) 2) Chochote kuhusu Wordpress 3) Chochote na php au laravel 4) Python Nitakusaidia kadri ya uwezo wangu. Kwa bure kama unadhani ni siri njoo uni PM. Pako wazi kwa...
  9. E

    Idea for jf

    Hey mambo nimekuja hapa kudiscusss swala moja la idea from nowhere kwamba kumekuwa na wimbi kwamba watu wana double accounts! So mimi nlichokua nafikiria kwamba kungekuwa na "MACHINE LEARNING" ambayo ingekua ina zitaja accounts ambazo zimejirudia japokuwa accounts huku ni SIRI bado hiyo...
  10. E

    Nataka kujua kama kuna sheria juuu ya kuanzisha company ya it.

    Habari wanasheriana wengineo wa MMU .Mimi ni mdau wa mambo ya technologia na pia nina ka ujuzi kidogo. Nimekua na maswali mengi sana kichwani pangu kuhusu mambo ya sheria kuhusu mambo ya technical.Mimi swali langu kuuuubwa ni kwamba "Je kuna sheria katika kuanzisha makampuni ya ict mfano vile...
  11. E

    Swali kwa ma player na watu watu wagumu. kama wewe sio mgumu au player usisome

    Jaman habari zako? maaana najua akat unasoma uko mwenyewe!. Mimi ni kijana wa kiume nimetokea kupendwa na mdada mmoja hapa jirani juzi alianza kuonyesha dalili kitambo.Mfano nikikutana nae anikumbatia kwa nguvu anafrahi ana changamka sana!. lakin mimi kusema kwel ndo walaaaaaaa...
  12. E

    Jaman naitaji binti(19-23) wa arusha

    Mambo vipi jaman natamani kuwa na gf wa arusha Masharti Ataeka mwenyewe either strings attached au A friend with benefit Kuhusu mimi nina miaka 23 Nasoma Chuo flani hivi Hapa Arusha Usogope karibu kuni pm
  13. E

    Anaejua kifurushi cha vodacom(uni-ofa) cha chuo aje tuongee hela zipo nje nje

    Jaman habari naitaji mtu ambae anaweza kunsaidia kujiunga niwe nasajili watu kifurush cha university offer .Mambo ya Hela tutaongea zaidi unaweza ukafanya kucoment au ukanitext tu (0753395920) Nina shida nayo kwa kweeeli
Back
Top Bottom