katika uchumi kuna kitu tushakisoma kinaitwa (HIDDEN POVERTY) Ni njia ambayo serikal nying inaitumia katka hii issue case study nzur ni UNITES STATE OF AMERICA .
Kama mataifa mengine USA masikin pia wapo lakin unaambiwa mabadiliko ya kimaisha ya mtu masikin ni makubwa .Yaan mwaka hadi mwaka...
tafsiri yake n uchokozi.
ukiona adui anakuja kukufanyia vimbweka kwako basi jua kashakuona huna la kumfanya.
USA yy always yupo above the law ,China na Urusi nao wanadhihirisha wapo above the law.
Lakin ukishaanza kuona hivo ujue mambo hayajakaa sawa kama hawatatumia diplomacia usalama wa...
@HIMARS huna unaloelewa ktk ulimwengu wa uchumi kuwa na currency yenye thaman so kuwa na uchumi mkubwa kk .value ya currency ina impact moja kwa moja kwnye biashara za kimataifa
kama unataka kuelewa analyse mawazo ya watu usiwe conservative kushikilia iman yako. Mrusi Alisha forecast maybe patakuwa na battle kubwa zaid ya hata Ukraine unatakiwa ujipange kuangalia stock ya silaha unazokuwa nazo usije zubaishwa ukraine mbelen ukachapika.
kama umefuatilia vema habar...
ni nchi kubwa mambo yamekaa vibaya mno
USA yupo kuboresha sela zake za kifedha asipoteze say dunian.
USA yupo katika kupambana na lengo la brics wasilete sarafu yao isijewaumiza
Europe wao wapo na kulinda uchumi wao (inflation) mfumuko wa bei ni kikwazo kwao lakin hata kule wanakovunia...
unaakili inayoangalia upande mmoja Urusi hajakabwa peke yake .The whole Europe haielew nchi zote zina inflation, kati kati zote zina experience negative environmental effects.
Mwez mmoja au miwil iliyopita ilibainika kuwa Germany iko kwenye recession, Jana naona Central Bank ya England...
purchasing power parity(PPP) ni kipimo cha economic productivity na standard of living na sio national income
Gross domestic product (GDP) ni kipimo cha National income.
sasa hapo ni mtu na mtu coz kipimo cha maendeleo ni subjective .
kama bado hujaelewa nishtue
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.